Wanawake wana Mashetani?

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
WANA JF, kwa nini wanawake hawa wa mjini huwa wanajikiria wao tu, kuna mifano kadhaa kwa msichana wa kaka yangu, amemnunulkia zawadi mbalimbali ili aonekane wa kisasa.

cha ajabu msichana huwa anasahau yote aliyotendewa na kidogo hukata mawasiliano pale wanapoakwaruzana,

kwa nini kwani wasichana wana nini, mashetani au?
 
mbona wako kawaida tu... of course wanapima upepo kwanza wakiona ume-fall 'head over heels' ndio machejo yanaanza
 
Sio wote wenye tabia za aina hiyo,na huyu anafanya hivyo hakupendi na wala maana yakupendwa hajui,anajua kuchuna....
 
WANA JF, kwa nini wanawake hawa wa mjini huwa wanajikiria wao tu, kuna mifano kadhaa kwa msichana wa kaka yangu, amemnunulkia zawadi mbalimbali ili aonekane wa kisasa.

cha ajabu msichana huwa anasahau yote aliyotendewa na kidogo hukata mawasiliano pale wanapoakwaruzana,

kwa nini kwani wasichana wana nini, mashetani au?

You mean kaka yako ana uhusiano wa mapenzi na msichana wake, hiyo ni laana sasa!
 
Dooky.... Katika mahusiano kuna ile kitu inaitwa kusomana tabia... Kila mmoja wa wapenzi hao hufanya hivo ili kujua mipaka ya mambo ambayo aweza fanya ndani ya mahusiano na yale ambayo hawezi fanya. Kwa maelezo ulotoa thou very brief, inatoa picha kua kakako anamuendekeza saana mpenzi wake, na waishi katika mahusiano kama mtu na babake/mkubwa wake badala ya mtu na partner ama mpenzi wake. Na ni kua whatever the lady demands kakako yupo tayari kutoa kabisa bila hiana. sasa inapotokea kua kakako hana ama hawezi kamilisha kile huyo mpenzi wake anataka ndio hapo anageuka mbogo; na inaonesha kakako mara moja hu react kwa kukamilisha kile kilichopelekea hayo mambo.... Dawa ni kakako ajaribu mtingisha siku moja, amwambie nimeshindwa kutimiza... Kama hunielewi basi naona umenishinda... blive me huyo dada hatakubali kakako amuache... else kama alikua hampendi toka kipindi.
 
anamnyosha kakako ili aingie kwenye mstari waweze kuendana na hatimae wafanikishe ndoto zao za baadae
wala usihofu mdogo wangu ulimwengu wa mapenzi ndivyo ulivyo!!!!!
 
WANA JF, kwa nini wanawake hawa wa mjini huwa wanajikiria wao tu, kuna mifano kadhaa kwa msichana wa kaka yangu, amemnunulkia zawadi mbalimbali ili aonekane wa kisasa.

cha ajabu msichana huwa anasahau yote aliyotendewa na kidogo hukata mawasiliano pale wanapoakwaruzana,

kwa nini kwani wasichana wana nini, mashetani au?

Kaka yako pia alimpata kwa mbinu chafu!
 
Dooky.... Katika mahusiano kuna ile kitu inaitwa kusomana tabia... Kila mmoja wa wapenzi hao hufanya hivo ili kujua mipaka ya mambo ambayo aweza fanya ndani ya mahusiano na yale ambayo hawezi fanya. Kwa maelezo ulotoa thou very brief, inatoa picha kua kakako anamuendekeza saana mpenzi wake, na waishi katika mahusiano kama mtu na babake/mkubwa wake badala ya mtu na partner ama mpenzi wake. Na ni kua whatever the lady demands kakako yupo tayari kutoa kabisa bila hiana. sasa inapotokea kua kakako hana ama hawezi kamilisha kile huyo mpenzi wake anataka ndio hapo anageuka mbogo; na inaonesha kakako mara moja hu react kwa kukamilisha kile kilichopelekea hayo mambo.... Dawa ni kakako ajaribu mtingisha siku moja, amwambie nimeshindwa kutimiza... Kama hunielewi basi naona umenishinda... blive me huyo dada hatakubali kakako amuache... else kama alikua hampendi toka kipindi.

Naweza kubali maoni yako au kukataa
 
Yaani mtu akisema kuwa wanawake tunapenda sana kulalamika.......huwa namshangaa kweli!!

ndo mkohivyo nyie viumbe, ndo maana mnaolewa na yoyote mnapofika miaka 34 baada ya kuona hamna market.
 
Back
Top Bottom