Wanawake wana mapenzi ya PAKA ukimtongoza mara ya kwanza

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,830
16,664
Hi 2 u all, Experience is the best thing, wakati unaanza tongozo kwa mara ya kwanza kwa mwanamke yeyote, tarajia jibu la NO, Kama mwanaume usikate tamaa wala kuonyesha pressure saana, then mwache aende, take her contact, then ukimtongoza now kwa umakini kidogo na use ur brain man, utasikia NO-YES, yaani sitaki nataka, hii inamaana kakubali, now tuliza ball man, do a surprise, mnunulie kitu kizuri kisiwe cha gharama, eg hereni nzuuri, kitenge, shanga, just some urembo, wanawake wanapenda sana kukumbukwa kwa vijizawadi, now vaa Sox, match ya Barca na Man U, imefika, piga simu for appointment ya match, utasikia YES, na atakupa day ya match, then match zinazofuata ww mwanaume ndiye atakufuata, ndivyo ilivyo mwanzo mgumu, timing timing usikosee, so ukimtongoza mwanamke yeyote kwa mara ya kwanza hatakubali, then nataka, sitaki, then nataka, like mapenzi ya paka,Sio mwanaume kanyimwa match tena ndio first time or second time umemtongoza mwanamke unalalamika au unakuja hapa mmu kuomba msaada, common man, simba hafundishwi kuwinda, akisubiri kufundishwa njaa itamuua, Good day
 
Hi 2 u all, Experience is the best thing, wakati unaanza tongozo kwa mara ya kwanza kwa mwanamke yeyote, tarajia jibu la NO, Kama mwanaume usikate tamaa wala kuonyesha pressure saana, then mwache aende, take her contact, then ukimtongoza now kwa umakini kidogo na use ur brain man, utasikia NO-YES, yaani sitaki nataka, hii inamaana kakubali, now tuliza ball man, do a surprise, mnunulie kitu kizuri kisiwe cha gharama, eg hereni nzuuri, kitenge, shanga, just some urembo, wanawake wanapenda sana kukumbukwa kwa vijizawadi, now vaa Sox, match ya Barca na Man U, imefika, piga simu for appointment ya match, utasikia YES, na atakupa day ya match, then match zinazofuata ww mwanaume ndiye atakufuata, ndivyo ilivyo mwanzo mgumu, timing timing usikosee, so ukimtongoza mwanamke yeyote kwa mara ya kwanza hatakubali, then natakata, sitaki, then nataka, like mapenzi ya paka,Sio mwanaume kanyimwa match tena ndio first time or second time umemtongoza mwanamke unalalamika au unakuja hapa mmu kuomba msaada, common man, simba hafundishwi kuwinda, akisubiri kufundishwa njaa itamuua, Good day[/QUOT

kumbe ndo hvi
 
Hi 2 u all, Experience is the best thing, wakati unaanza tongozo kwa mara ya kwanza kwa mwanamke yeyote, tarajia jibu la NO, Kama mwanaume usikate tamaa wala kuonyesha pressure saana, then mwache aende, take her contact, then ukimtongoza now kwa umakini kidogo na use ur brain man, utasikia NO-YES, yaani sitaki nataka, hii inamaana kakubali, now tuliza ball man, do a surprise, mnunulie kitu kizuri kisiwe cha gharama, eg hereni nzuuri, kitenge, shanga, just some urembo, wanawake wanapenda sana kukumbukwa kwa vijizawadi, now vaa Sox, match ya Barca na Man U, imefika, piga simu for appointment ya match, utasikia YES, na atakupa day ya match, then match zinazofuata ww mwanaume ndiye atakufuata, ndivyo ilivyo mwanzo mgumu, timing timing usikosee, so ukimtongoza mwanamke yeyote kwa mara ya kwanza hatakubali, then nataka, sitaki, then nataka, like mapenzi ya paka,Sio mwanaume kanyimwa match tena ndio first time or second time umemtongoza mwanamke unalalamika au unakuja hapa mmu kuomba msaada, common man, simba hafundishwi kuwinda, akisubiri kufundishwa njaa itamuua, Good day

inaelekea huna exposure ya kutosha, wanawake wengine unawatongoza the same day gemu inachezwa, hawana sitaki nataka.
wengine piga ua galagaza, nenda kwa waganga, honga uhongavyo, huwapati ng'o!, hujawahi kuona wanaume wanajiua,ama kuua
kisa kakataliwa na mwanamke? ina maana mpaka akachukua hatua hizo alikuwa hana plan A au B au C .....?
 
sio wote wako hivyo.mimi kama sikutaki hata useme nini,utajisumbua bure.msitudhalilishe jamani
 
Ungeongea vizuri, kwakumanisha hayo unasema. Ila niukwel usiofichika wanawake wanamapenz ya paka jike. Unajuwa paka jike sm tm b4 ajafika joto/kupevuka dume lakwanza kumtoke anapata shida sana,lakini cku akiwa na ham atamtafuta yule yule dume wakwanza. That is amazing
 
Hi 2 u all, Experience is the best thing, wakati unaanza tongozo kwa mara ya kwanza kwa mwanamke yeyote, tarajia jibu la NO, Kama mwanaume usikate tamaa wala kuonyesha pressure saana, then mwache aende, take her contact, then ukimtongoza now kwa umakini kidogo na use ur brain man, utasikia NO-YES, yaani sitaki nataka, hii inamaana kakubali, now tuliza ball man, do a surprise, mnunulie kitu kizuri kisiwe cha gharama, eg hereni nzuuri, kitenge, shanga, just some urembo, wanawake wanapenda sana kukumbukwa kwa vijizawadi, now vaa Sox, match ya Barca na Man U, imefika, piga simu for appointment ya match, utasikia YES, na atakupa day ya match, then match zinazofuata ww mwanaume ndiye atakufuata, ndivyo ilivyo mwanzo mgumu, timing timing usikosee, so ukimtongoza mwanamke yeyote kwa mara ya kwanza hatakubali, then nataka, sitaki, then nataka, like mapenzi ya paka,Sio mwanaume kanyimwa match tena ndio first time or second time umemtongoza mwanamke unalalamika au unakuja hapa mmu kuomba msaada, common man, simba hafundishwi kuwinda, akisubiri kufundishwa njaa itamuua, Good day

Speaking of experience, seven years of practice.
 
Kuna ambao wako simple,ukiwatongoza mara ya kwanza dalili zinaonyesha amekubali,wengine wakisema NO wanamaanisha kweli.Ila sikubaliani kwamba wote ni sitaki nataka,kuna wanaomaanisha NO ya ukweli na YES ya ukweli.
Pia ukiambiwa Yes sio kwamba umependwa au kukubaliwa wengine wanatania kwa ajili ya usumbufu wako mwingi,unaambiwa YES ukipiga simu haipokelewi na sms haijibiwi,kesho unashangaa anakatiza mtaani na boyfriend wake halafu ukiwaona unakufa presha eti alikukubali,ndo utajua YES ilikuwa NO,ukiambiwa YES sio unapiga makofi na kufurahi wengine hawamaanishi.
 
Hi 2 u all, Experience is the best thing, wakati unaanza tongozo kwa mara ya kwanza kwa mwanamke yeyote, tarajia jibu la NO, Kama mwanaume usikate tamaa wala kuonyesha pressure saana, then mwache aende, take her contact, then ukimtongoza now kwa umakini kidogo na use ur brain man, utasikia NO-YES, yaani sitaki nataka, hii inamaana kakubali, now tuliza ball man, do a surprise, mnunulie kitu kizuri kisiwe cha gharama, eg hereni nzuuri, kitenge, shanga, just some urembo, wanawake wanapenda sana kukumbukwa kwa vijizawadi, now vaa Sox, match ya Barca na Man U, imefika, piga simu for appointment ya match, utasikia YES, na atakupa day ya match, then match zinazofuata ww mwanaume ndiye atakufuata, ndivyo ilivyo mwanzo mgumu, timing timing usikosee, so ukimtongoza mwanamke yeyote kwa mara ya kwanza hatakubali, then nataka, sitaki, then nataka, like mapenzi ya paka,Sio mwanaume kanyimwa match tena ndio first time or second time umemtongoza mwanamke unalalamika au unakuja hapa mmu kuomba msaada, common man, simba hafundishwi kuwinda, akisubiri kufundishwa njaa itamuua, Good day

Mr P, wengine wanazidi, miaika miwili bado wanakuzingua tu, wanaleta mapenzi ya Adam na Hawa wakati siyo, ni chinese product kabisa!!
 
Hi 2 u all, Experience is the best thing, wakati unaanza tongozo kwa mara ya kwanza kwa mwanamke yeyote, tarajia jibu la NO, Kama mwanaume usikate tamaa wala kuonyesha pressure saana, then mwache aende, take her contact, then ukimtongoza now kwa umakini kidogo na use ur brain man, utasikia NO-YES, yaani sitaki nataka, hii inamaana kakubali, now tuliza ball man, do a surprise, mnunulie kitu kizuri kisiwe cha gharama, eg hereni nzuuri, kitenge, shanga, just some urembo, wanawake wanapenda sana kukumbukwa kwa vijizawadi, now vaa Sox, match ya Barca na Man U, imefika, piga simu for appointment ya match, utasikia YES, na atakupa day ya match, then match zinazofuata ww mwanaume ndiye atakufuata, ndivyo ilivyo mwanzo mgumu, timing timing usikosee, so ukimtongoza mwanamke yeyote kwa mara ya kwanza hatakubali, then nataka, sitaki, then nataka, like mapenzi ya paka,Sio mwanaume kanyimwa match tena ndio first time or second time umemtongoza mwanamke unalalamika au unakuja hapa mmu kuomba msaada, common man, simba hafundishwi kuwinda, akisubiri kufundishwa njaa itamuua, Good day

Too General Mdau;
Wapo wanawake wenye msimamo ambao hata ukiwa nani na una nini hupati kitu, akisema No amemaanisha
Wapo wanawake unaotongoza muda huo na kuondoka nae kwenda kumaliza kazi
Wapo wa No kumbe na maanisha Yes body language ndo itakujulisha.
Wapo wanaokupenda hata kama hujamtongoza yaanianakupenda yeye.

Hao uliowaanisha wewe ni wanafunzi wa Standard Seven, Form one na Form two!
 
sio kila mwanaume anauwezo huo, wengine hawatamaniki na hawavutii sio wacheshi, wanatongoza kibabe nk. Hayo mambo uliyoainisha kwenye thread hii tunaweza wachache sana.
 
nadhani hakuna kitu kama kutokuvitia au kutokutamanika kila mtu anauwezo wa kupata mtu.., ikishindikana kabisa kuna alternative ya kutafuta wale materialistic
 
dah! bora mi huwa nahonga inakua rahic km kumsukuma masele vile.
 
we waponze wenzio tu, tupo wenye misimamo yetu hapa hata uje na nn tukisema NO tonamaanisha..... NO
 
inaelekea huna exposure ya kutosha, wanawake wengine unawatongoza the same day gemu inachezwa, hawana sitaki nataka.wengine piga ua galagaza, nenda kwa waganga, honga uhongavyo, huwapati ng'o!, hujawahi kuona wanaume wanajiua,ama kuuakisa kakataliwa na mwanamke? ina maana mpaka akachukua hatua hizo alikuwa hana plan A au B au C .....?
Pota here we go....Anayekubali on the spot mara ya kwanza huyo ni malaya vibaya mno, au changu or mlupo etc si mwanamke mstarabu na mwenye heshima zake, hapa naongelea mwanamke asiyejiuza, periodKuhusu mwanamume kujiua kisa demu kumkataa huyo ni Punguani hana akili, uchi ni ule ule, location ileile tofauti sura tu why ujitoe uhai? Ni upuuzi tu, Take this, no woman can escape a clever man seduction amkose, ila uchumi kigezo muhimu, walau mwanaume awe juu kidogo itakuwa easy,So kaza buti, use all technics, press hard, harder but softly, okey here we go, YES utasikia, usichelewe mzigo utapoa juu kwa juu, next time utasikia Pota nimekumissssssss...., now but vaa sox carefully
 
we waponze wenzio tu, tupo wenye misimamo yetu hapa hata uje na nn tukisema NO tonamaanisha..... NO
Tena kama ww Ma'swagga huwaga watamu, maana unakataa, chenga huku, mara kule, siku ukitoa mzigo mnatoaga mfululizo, maana umebanaaa utamu umekujaaaa, ukiachia siku moja utataka mfululizo, then utaanza YES, YES.....Right thereeeee.....ooohh.... take my words
 
Mapenzi nichaguo la kila mtu kwa kuuridhisha moyo wake.
Na kila mwanamke/mume anamtindo wake wakuyaendesha, "nisumbue sumbue usinikubali haraka" fid Q na mwisho huwa mtamu.
 
Back
Top Bottom