Yaan utakuta mwanaume kaangaika sana, kimaisha, wengine mpaka wanapata majeraha makubwa, au wananusurika na vifo wakiahangaikia maisha. mungu si athumani anawajalia hawa waangaikaji vijipesa, vijigari, na hata vinyumba vingi so hawa watu wanakuwa tunasema matajiri.
sasa itatokea siku moja tu huyu mwanaume anasema nataka kuoa then anatafuta mwanamke anamuweka ndani, eti mali zinakuwa za wote wawili..kisa mke wake....
teh teh teh teh nimekaa nimefikiria sana naanza kukubaliana na usemi wanawake wameumbwa kuwaburudisha mwanaume. yaani utake usitake
magari yao.afu wengine utakuwa wanalingia magari ya waume zao!!! Kweli nimeamini dunia imekwisha sasa
Nampenda sana MAMA yangu namshukuru MUNGU kuzaliwa kidume,kwa sisi vijana wa kuanzia 80's ni bora upambane na WANYAMA wakali msituni kuliko wasichana/wanawake ni HATARI kama mke wa lutu macho juu juu.
inamaana ndo alichokuwa akimaanisha??
only mama!!! mama atabaki kuwa mama i love her tooo!...wanawake wengine wote .....i hate them
kuniangalizia watoto wangu
Hata dada zako? Bası wewe utakuwa sı mtu wa kawaıda unahıtajı msaada.only mama!!! mama atabaki kuwa mama i love her tooo!...wanawake wengine wote .....i hate them
Hata dada zako? Bası wewe utakuwa sı mtu wa kawaıda unahıtajı msaada.