Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Umeonae...

Na hili limewafanya wanaume wengi warefu kufail mambo mengi katika maisha, kwa kudhani kuwa kila mtu anawaadmire...
Kwenye interview wanashindwa kirahisi sana na wafupi kwa kudhani urefu wao utawabeba. Lakini kwenye kutafuta ela pia...

This is new findings which are very interesting! did not know much about wanaume warefu!
 
urefu wa mnara sio wingi wa network bana
hapa mimi mfupi lakini wadada nimeshawachoka
mimi nashughulika na mambo ya network!! lol!!!!! ni kweli urefu wa mnara sio wingi wa network lakini urefu wa mnara ni UMBALI WA NETWORK INAPOKWENDA!
 
Reference na standards za vipimo vya urefu wa mwanaume vipoje? labda tuanzie hapo kwanza, kwa sababu binadamu hatengenezwi kama bidhaa za viwandani zenye standard za vipimo vinavvyojulikana, na kuwa certified kuwa zimekidhi viwango, kama ISO n.k.
halafu mtoa mada anasahau kuwa mtu kuwa mrefu au mfupi inategemea umemlinganisha na nani.. Juma anaweza kuwa mrefu kwa Asha lakini akawa mfupi kwa Amina.
 
Sijui mi mfupi au mrefu . . . . mmmh!Kwa kweli nime-experience wanawake kupenda wanaume warefu, tena akiwa mweupe wa rangi ya ngozi then unajimudu kimaisha ndo balaa zaid, unawashika wadada mpaka basi. Lakin haya yalikuwa kipindi fulan cha nyuma.Ila kwa kizazi cha sasa, wanawake wanapenda wanaume waliojengeka mwili kimazoezi zaidi, na kimo wala sio ishu tena. Huhitaji kabisa kufika futi 6 tena. We piga tizi, tengeneza 6 pak tumboni, kuwa smart na nadhifu, na wakati wa mitoko ile isiyo ya kikazi kama kutembelea rafiki, au ile ya weekend unaweza kuvaa zile nguo za kushika mwili kiasi, kama T - Shirts, then check mambo uone.Nakwambieni hao warefu, sijui white, sijui Em Bii Ooo ndefu wataonekana ka midori tu. Na pia kwa sasa wengi wenye ndoa imara na wanaooa kwa wingi si wanaume warefu. Hapo ndo mtajua wanawake hawababaiki tena na U-Tall wa mwanaume.
 
Mtoa mada mimi sijakuelewa hata chembe pamoja na kusoma post zote. Unazungumzia urefu upi? Urefu wa kuanzia kidole gumba cha mguu hadi utosini au urefu wa bailojia? Hebu fafanua na mimi nichangie eksipiriensi yangu hapa.
 
Kwanza mamtu marefu hayawezi kwenda round zaidi ya mbili, yakiwa kitandani yanakosa balance na pia huchoka mapema.raha kwa mtu mfupi, atambinua mwanamke kwa staili yeyote na mahali popote, mfano hata kwenye sofa la kukaa mtu mmoja.

wewe ni she au he
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Sijui mi mfupi au mrefu . . . . mmmh!Kwa kweli nime-experience wanawake kupenda wanaume warefu, tena akiwa mweupe wa rangi ya ngozi then unajimudu kimaisha ndo balaa zaid, unawashika wadada mpaka basi. Lakin haya yalikuwa kipindi fulan cha nyuma.Ila kwa kizazi cha sasa, wanawake wanapenda wanaume waliojengeka mwili kimazoezi zaidi, na kimo wala sio ishu tena. Huhitaji kabisa kufika futi 6 tena. We piga tizi, tengeneza 6 pak tumboni, kuwa smart na nadhifu, na wakati wa mitoko ile isiyo ya kikazi kama kutembelea rafiki, au ile ya weekend unaweza kuvaa zile nguo za kushika mwili kiasi, kama T - Shirts, then check mambo uone.Nakwambieni hao warefu, sijui white, sijui Em Bii Ooo ndefu wataonekana ka midori tu. Na pia kwa sasa wengi wenye ndoa imara na wanaooa kwa wingi si wanaume warefu. Hapo ndo mtajua wanawake hawababaiki tena na U-Tall wa mwanaume.

mmmh!vijana mna mambo ....mwe....?
 
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu
Wanawake % kubwa Tz ni wafupi haina ubishi sasa sijui unapoongelea wanaume wafupi unamaana wale wanaolingana urefu na wanawake zao au?
 
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu

Mambo Motomoto;
Acha ubahili. Umeona watu ukiwapelekea hizo questionnaire zako watakuomba hela? Yaani unataka kupata taarifa at zero cost halafu kesho uje uanze kutamba kwamba "degree yangu niliisotea kweli", wakati ulikuwa unakusanya majibu kwa kuibia (getting the right and correct information from people without their being aware (consent) of their provision of such information to a second part, in this case YOU, is an outright THEFT!). Ni sawa tu na mtu anatizamia mtihani wakuandika kwa mwanafunzi aliye kipanga darasani! I am going to distort the discussion so that you may not continue gettingenjoying this free service. Hakuna huduma ya bure siku hizi!
 
Hii thread imenisaidia kutambua wanaume warefu na wafupi! Wafupi utawajua tu kwa comments zao.
Huyu jamaa mimi namfahamu. Anafanya PhD ya saikoloji. Anataka kutumia majibu yenu kama CONTROL ya data alizonazo pasipo kutumia hata senti tano kutoka mfukoni mwake. Yaani mapaka sasa hivi ana 90% ya kile alichokuwa anatafuta. Mnaonaje tukimwachia hapa? Sababu majibu aliyopata mpaka sasa anaweza kuandika kurasa 500 kuhusiana na sisi watu wafupi, halafu warefu wao anaweza akawaandikia a maximum of kurasa 5 tu!
 
alah, kumbe mnajuana.......................?
lakini sio mbaya mwache aendelee na huo utafiti wake,
ndo faida ya kuwa member kwenye jukwaa hili!!!!!!!
 
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu

Mshiko ni sawa kabisa,mambo ya urefu si hoja nadhani.
 
alah, kumbe mnajuana.......................?
lakini sio mbaya mwache aendelee na huo utafiti wake,
ndo faida ya kuwa member kwenye jukwaa hili!!!!!!!

Nakuunga mkono. Na zaidi ya yote thesis zatakiwa kuleta insights ambazo ni accurate na si cooked data kama baadhi wafanyavyo. Hapa anapata valid and accurate data kama kweli anafanya andiko.
 
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu

Telling from my own experience mimi ni mfupi. Lakini girl friends zangu wote toka nlipoanza kudate ni wasichana warefu kwa kimo zaidi yangu. Hii ni toka secondary school years hadi college days, na sasa uraiani katika kutafuta maisha. Kwa indicators zangu wote hao (hadi huyu wa sasa) walikuwa wanajiskia fahari kuwa nami bila influence ya pesa (coz till now I'm unemployed). Na by the way niliwa outwin taller guys kuwin hearts za wadada hawa.
 
Mimi ni mfupi kama EMORO WA EMPIRE BAKUBA lakini madada mpaka nachoka mwenyewe. Kuna rafiki yangu M-Nigeria ni tall lakini anatamani kulia anavyopigwa chenga za mwili na akina dada. Haya mambo kwa ujumla inategemea sana uono na maamuzi ya mwanamke mwenyewe. RIHANNA alisema yeye hupenda someone who is BIG IN THE TROUSER DEPARTMENT sio lazima mrefu.
 
Back
Top Bottom