Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

aouch.......aluuu........oohooo...
Dena ga mila, ka sayumamita, laway ama, i am just 6'6" without shoes, nyama na maziwa sana nilipokuwa mdogo Arusha, hadi sasa, but genetics matters most, wairaqw warefu bana.
 
Hii thread imenisaidia kutambua wanaume warefu na wafupi! Wafupi utawajua tu kwa comments zao.

Umeonae? ??
Kiukweli wanaume warefu wanavutia wanapendeza hata wakipigilia pamba! Ila pia asiwe mrefu kiviiile, urefu nnaouongelea mimi ni ule wa kawaida let say futi 6 wanapendeza mno.
Sisemi wanaume wafupi hawapendezi, wanapendeza ila sio km hao warefu. Na kuna wengine ni wafupi mpaka looo hata avae nini hapendezi kabsaa !
 
Reference na standards za vipimo vya urefu wa mwanaume vipoje? labda tuanzie hapo kwanza,
kwa sababu binadamu hatengenezwi kama bidhaa za viwandani zenye standard za vipimo vinavvyojulikana, na kuwa certified kuwa zimekidhi viwango, kama ISO n.k.
 
Kuvutia ni one thing na performance ni another. Ila wanaume wafupi wale wafupi kweli kweli wana inferiority ya hali ya juu which to me is a problem. Kuna kaka nafanya naye kazi yaani anajihisi sana. Yaani waweza kuta bosi kamwambia kitu yeye anaona anamwonea na kumdharau na kumchukulia kama mtoto kwa kuwa ni mfupi. Japo asemi anadhalauriwa sababu ya ufupi, but you can tell yeye kutwa ni kujihisi anadharauliwa. Na hii uwafanya wawe na katabia ka kujitutumua ili nao waonekane wana exist.

Ukija kwenye mapenzi that will depend ufupi na urefu unakuwa ni relative term. Waweza kuta bibi na bwana wote wafupi hapo mi sioni tatizo. Ila ukute bibi mrefu bwana mfupi. Mh hawapendezi kabisa kama couple na wanawake wengi niliokutana nao maishani wanaokuwa na wanaume wafupi kuliko wao utakuta wanajiongelesha kuwa ooh mume wangu ana akili ooh ana kazi nzuri, kujustify the choice.
 
no matter TALL or SHORT what they need is MIKITO YA UKWELI mpaka wapige bao moja au zaidi na kuhisi kuzimia kwishney.......
 
  • Thanks
Reactions: MC7
mwenzangu, na miguu ikinasa tu eti ndio anapata sapoti, duniani kuna mambo, warefu ni wazuri kwa kututolea tu vitu kwenye shelf za juu

Aagh Shamtel naona leo unawakomesha kweli watu warefu...naona wamekuharibia sana bed room yako!!!bwabwaaah
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom