Wanawake wakiwagomea wanaume itakuwaje???

Teh Amyner anakataaa....hebu mthibitishie

mkuu hawa wanapiga. Itabidi nimdhibitishie kwa picha kwa hisani ya funza dume. Ila itabidi twende private je atakubali??

Subiri nimtafute funza anipe ruhusa ya kutumia picha zake. Si unajua mambo ya copy rights.
 
Hahahaa mtafute then tuongee na Amy twende pembeni akazione mara moja ndo aache kubisha
 
mkuu hawa wanapiga. Itabidi nimdhibitishie kwa picha kwa hisani ya funza dume. Ila itabidi twende private je atakubali??

Subiri nimtafute funza anipe ruhusa ya kutumia picha zake. Si unajua mambo ya copy rights.

Hahahaha mpatanishi na ricky mnahatari nyie! Mi nimekatazwa nisije kuota nkapiga kelele bure..
 
Pole ngoja niongee na Mpatanishi tusikuonyeshe tena maana nawewe hukawii kuiga wa kwenye picha wakati tunakujua wewe ni mtoto mzuri

tukimuonyesha tukiwa watatu ataona aibu, huoni hapa anakataa.

Basi Amyner nitakuonyesha peke yangu. Sawa eenh??
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom