Wanawake wakimachame si wakuoa!

Mimi ni member wa JF na ni mmachame .sijawahi kucomment chochote katika forum hii; ila kwa hili nimeona niongee.Kama nilivosema ni mmachame na wanawake wamachame ni wanawake kama wanawake wengine .Sijui kwa nini watu wanapenda kuwasema vibaya kwamba wana roho mbaya , mara wakatili , sijui wanaua waume .That is very unfair kabisaa kwasababu tupo wastaaarabu, wenye upendoo , mapenzi ya dhati kwa waume na kadhalika.so mifano michache isifanywe general .wanawake wangapi wanafanya mambo hayo jewote ni wamachache tu ?? ebu tuheshimu makabila ya watu ....ni mawazo yangu tuu.
 
manka ngekukundi so much my dear.,..siwafichi natafuta binti wa kimachame.

wenzako wameshasema sisi wauwaji ilihali babu na bibi yangu bado wapo hai na wazaz wangu bado wapo duniani sasa sijui hao waliouwawa ni wakipande kipi cha machame uzuri machame kuna wakrsto na waislam na 2napendana
 
Khaaaaaa!!

Mojawapo wa Faida ya hii thread ni kwamba imeongeza member mmoja JF. Karibu mama...

Haya mambo ya kusema sijui kabila fulani wana silika fulani yashapitwa na wakati. inawezekana siku za nyuma yalikuwa yanatoa ujumbe fulani, lakini angalau kwa kizazi chetu hiki hayana tena maana. Yale ya kusema sijui wamachame (wapalestina), wanaua waume, wahaya ni mala.ya, wazaramo ni wavivu, wakurya wanapenda kupigwa na waume zao, wambulu ni wavivu, wahehe wanajinyonga nk., yamepitwa bana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom