Wanawake wakimachame si wakuoa!

Tupate commercial break kidogo!!

PICHA+2.jpg
 
asee siaminii hizii story,wanawake wakimachame ni wambambanajii na wataftajii sanaaa,wanajua kusakaa helaa na kutengeneza maisha mazuri,tatizo ni sisi wa babaa,tukipata malii tunajisahau na kujiona head.mwanamke wakimachame ana weza kukufanyia hivyo endapo mtakuwa mmetafuta wote mali na ukamfanyia hayaaa...[1]kuto mshirikishaa kwenye maamuzi ya miradi na malii mlio chuma pamojaaa [2]naagundue maliii mnayo chuma unatumia na kimada au nyumba ndogo....hapo mzazii tafuta pa kukimbiliaaa
 
Niko hapa pembeni yako, ukianza kudundwa nakuamua kwa style ya kuchangia... Haya aseme upesi.

Ndo maana hata mie sikutegemei kwa sababu najua wewe na eksi gelo lenu moja!! Kwanza siogopi kudundwa, na istoshe maandazi ya sa god hayauzwi, nitayatumia effectively!!!
 
Ndo maana hata mie sikutegemei kwa sababu najua wewe na eksi gelo lenu moja!! Kwanza siogopi kudundwa, na istoshe maandazi ya sa god hayauzwi, nitayatumia effectively!!!
Khaaa! Yamekuwa hayo tena???


Walah tena mie niko upande wako kwa shida na raha mpaka kifo kitutenganishe..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom