wanawake wa zamani ni watanu

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Habari za jioni,

Leo nimeona nijiachie kwa stail hii,

nimevumilia sana nimechoka, nilianza mapenzi miaka mingi iliyopita, nikiwa dsr la 6, sikuwa najua raha yake pamoja

na kutembea na wadada wanne kabla ya la saba. Niliingia form one Forodhani na pale niligonga wanafunzi nane, wa3

walijigonga na watano nilitongoza, kule shule ya msingi na wakati wa Olevel sijasisimka kwa ngono yoyote ingawa

wawili watatu nakumbuka walikuwa watamu kwa kufikirika, raha nliiyoona form 5,6 na baadae chuoni, huko ndiko

nilpata penzi safi, wadada wanne niliotembea nao chuo kikuu kimoja nchini walinidatisha sana, wakati mwingine

nilidogde lecture. Pamoja na kuwa mdogo katika tendo, bado nakumbuka niliinjoi penzi kuliko wa leo, Nilisafiri marekani miaka kadhaa baadae kule nilijiunga na kila pahala nilipofanikiwa kutoa

hamu ya ngono. Hata hivyo kila levo niliyosogea mabinti utamu wao huwezi kufananisha na wale wa 80 hadi 90. hii ilinipekea kuanza kumtafuta mpenzi wangu wa miaka ya 90 alizaliwa kunako themanini na, nikampata tukaoana, na

nalifutahia sana maana penzi lake na watoto wa miaka hii 89 kuja 2000 hawana utamu kama wale wa zamani.

Hivi wenzang wanawake hawa mbona sio watamu?

wakati huo huo vijana waliozaliwa miaka ya 80 na kuendelea wanalalamikiwa kukosa nguvu na k

ufanya wadada wengi kuamua kutafuta wakuu wa 70 70 amabo wanaonekana kuwa na kungu na kutoa hudma, naomba mufunguke wakuu.

sourse, utafiti mimi mwenyewe
 
Wanabodi, baada ya kuisoma headline, mimi sikuona haja ya kuisoma posti ya kwanza, nali nimeamua kuunga mkono hoja moja kwa moja kuwa ni kweli kwa asilimia 100%, Wanawake wa zamani ni Wa TANU, kwa sababu zamani chama kilichochokuwepo kilikuwa ni TANU tuu hivyo ni kweli wanawake wa zamani walikuwa wa TANU!. Kwa vile sasa tuna vyama vingi, wanawake wa sasa baadhi ni wa CCM na wengine ni wa vyama vingine!.
 
hapa shigogngo tu hamna chochote maana mi naona ongeza story iwe ndefu ili watu wanunue kitabu bwana
 
Wanawake wa zamani walikuwa katika mfumo wa analogue hawa wa sasa ni digital kwa hiyo antenna yako haiwezi kufanya kazi vizuri,tafuta king'amuzi.
 
utamu wa mchuzi ni ufundi wako wa kupika.....

Ila kuna watu mnaweza kujaza coaster eeeeeh?
Au ni mijishauo ya wanaume tu?
 
Hukuona utamu sababu ya kibamia chako sasa viagra imekolea utamu umeujua weye
 
Wanabodi, baada ya kuisoma headline, mimi sikuona haja ya kuisoma posti ya kwanza, nali nimeamua kuunga mkono hoja moja kwa moja kuwa ni kweli kwa asilimia 100%, Wanawake wa zamani ni Wa TANU, kwa sababu zamani chama kilichochokuwepo kilikuwa ni TANU tuu hivyo ni kweli wanawake wa zamani walikuwa wa TANU!. Kwa vile sasa tuna vyama vingi, wanawake wa sasa baadhi ni wa CCM na wengine ni wa vyama vingine!.

aahahhahahahhahahhhhaha watu mna maneno nyie!dah JF pana kununa humu!
 
Naunga mkono hoja!

Back
Top Bottom