Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

Umeona ehhhhh??
Mapenzi ni mnavyoendana.Penzi changa/la kuiba siku zote tamu.Kinachowazuzua ni hivyo vitu viwili hakuna cha zaidi.Leo ni wanawake wa Tanga, kesho ukipata mmanyema utachanganyikiwa, ukimpata mzanzibari utazuzuka, ukimpata mhaya ndio usiseme.....mtazunguka mabucha yote lakini nyama ni ile ile - imechemshwa, ikaokwa, ikakaangwa, ikabanikwa, ikakaushwa juani, ikatiwa moshi, mara imewekwa kitunguu thaum........haya weeee!! Inategemea hujaila kwa mtindo huo kwa muda gani.Rule of the thumb "ZAFANANA".

Katika hili tuko pamoja Tausi,

Ni hysteria tu ndiyo inasumbua watu....

Mie nilipofika Tanga miaka ile, kitu cha kwanza kuambiwa ni kwamba nikamuage my wife aliyekuwa bara na mwanangu.....Niliwabishia na hadi sasa sijawahi ona hayo mambo yao wanayoyasema!

Ngoja niishie hapa ila nazidi kusema kuwa sikubaliani na haya maneno na nitakomaa nao hadi dakika ya mwisho!!
 
Simulizi za kale hizo cku hz wa makabila yote wanaweza

Kuweza ndio kitu gani???

Mie najua kwamba kila kitu lazima ujifunze kwa maana hiyo mtu aliyetia nia na kujifunza anaweza kufanya vizuri tu. Na pia hata huko kufanya vizuri kunategemea na wahusika!

Mapenzi ni mchezo ambao hauna refa na wote ni wachezaji...Ama mnashindwa wote au mnawin....Habari ya mchezaji mmoja kujua na mwingine kutojua ni automatic loss for the team!!

Naamini wajukuu zangu watayajua haya ili iwasijekupotenza muda kuhangaika na vivuli!!
 
Kweli wanawake wa Tanga nawakubali sana. Siyo kama Warangi wamekeketwa mpaka ndani! Ile kitu yao imekatwa utadhani mtu anang'oa kisiki!
Mwanamke wa Kirangi mpaka afike kileleni kunahitaji kazi kweli kweli, ni kama gari la dizeli ambalo halina betri!
 
Watu siku hizi mnasifia ngono badala yakusifia na kuleta mada zenyekuleta maendeo na kuibadili jamii yetu ya kimasikini
 
Mkuu DC, umemaliza. Na wala siyo enzi hizo tu, hata sasa hakuna ukweli wa hizi 'kampeni' zisizoisha juu ya wanawake na mapishi ya Tanga. Hakuna lolote la ajabu, si wanawake wala misosi kama watu wanavyopenda kupotosha.
wee mbara hujawahi pikiwa, wali wa nazi na maharage ya nazi yatkuhamisha kwenu !
 
Samahani mwana JF The great thinker ulikua na maana gani kupost hii
  • Unatupa taarifa.
  • Wasiooa waoe Tanga
  • Wenye ndoa watoke nje wawe na nyumba ndogo au waache wake zao ambao si waTanga?
  • Wanawake ambo co waTanga waende kupata ujuzi?
Me nadhani kila mtu anachoice yake na mke au demu wakuzugia amtakae, na ukiwa mwaminifu kwa huyo na kumwambia utakacho mtaenda sawa kwakuangalia penzi la dhati lililopo kati yenu na co v2 vyakupita,msimamo muhimu.
 
sio kama wanawake wa bukoba wanaogopa mshipa! Mama wa kitanga anauhudumia utafikiri uko saloon, Maji ya vuguvugu, sinia, taulo, mafuta ya nazi, sabuni ya omo, brush ya viatu! Shughuli yake na hizo zana eeh, lazima mshipa useme!
 
wee mbara hujawahi pikiwa, wali wa nazi na maharage ya nazi yatkuhamisha kwenu !

Ndugu unajua watu wanamitazamo na test tofauti kabisa,
wewe unaweza ukaisifia nazi lakini kwa mwingine
nazi ni chanzo cha magonjwa especially
cholesterol na kujiongezea mafuta yasiyo na sababu na anahakikisha ana avoid iwezekanavyo.

Hivyo kinaweza kuwa kizuri kwako kikawa kibaya kabisa kwa mwingine.
 
Wanachojua kupika sana sana na (nshakula sana) ni visheti, chapati na maandazi. Sasa mwanaume wa kisukuma umshindishe na visheti sijuhi chapati, lol.

Na huyo nlokutana nae mie wala hajali kuwa wakwe zake hawataki kula visheti, yeye anapika tu ili wakome wasimtembelee tena.
:juggle:

Mkuu DC, umemaliza. Na wala siyo enzi hizo tu, hata sasa hakuna ukweli wa hizi 'kampeni' zisizoisha juu ya wanawake na mapishi ya Tanga. Hakuna lolote la ajabu, si wanawake wala misosi kama watu wanavyopenda kupotosha.
 
wee mbara hujawahi pikiwa, wali wa nazi na maharage ya nazi yatkuhamisha kwenu !
Mkuu hicho kwako unaweza kuona ni chakula cha maana sana! Kwetu hakina heshima hiyo, no matter umekipika vipi siyo chakula cha wanaume hicho, tunakiita 'chakula cha ndege' mbegu tupu!! Tanga nimekaa tangu 1998, nimetembea na nina marafiki wengi mkoa huu, nimebalehe nikiwa tanga purukushani zote za ujana nimezifanyia tanga,hunidanganyi chochote kuhusu tanga na watu wake! Hebu waambie wasioujua mkoa huu wakifika tanga mjini au wilaya zake popote, ni mgahawa gani au hoteli gani watapata hayo mapishi ya kitanga?! au ni lazima watafute malaya na vimada wa tanga?!
 
Mi naendaga tanga mara kwa mara lakini sijawahi kukutana na haya manyoyazungumza humu, au kwa kuwa huwa nakuwa kikazi zaidi? Kuna maeneo maalum ambapo hizi huduma hupatikana?
 
Kuweza ndio kitu gani???

Mie najua kwamba kila kitu lazima ujifunze kwa maana hiyo mtu aliyetia nia na kujifunza anaweza kufanya vizuri tu. Na pia hata huko kufanya vizuri kunategemea na wahusika!

Mapenzi ni mchezo ambao hauna refa na wote ni wachezaji...Ama mnashindwa wote au mnawin....Habari ya mchezaji mmoja kujua na mwingine kutojua ni automatic loss for the team!!

Naamini wajukuu zangu watayajua haya ili iwasijekupotenza muda kuhangaika na vivuli!!

Babu DC uko juu ya juu!
Watu waliozoea kuibiwa utawasikia ohhh wanawake wakitanga, ukiwahonga unapata value for money!
Hiyo money mnayowapelekea, kwani mngewaachia wake zenu wangeshindwa kuwapikieni? Mngewabembeleza wake zenu kimahaba kwani wao ni magogo washindwe kujibu kwa mahaba?Jifunzeni kuishi na wanawake bana.
Wanaume nanyi mnatakiwa mfundwe namna ya kuishi na wanawake ili mjisikie kama wafalme.Simpo!
 
Hakuna kitu hapa Tausi,

Ni kurushana roho tu!!

Babu DC!!
 
Nyie danganyaneni tu.Hakuna cha bure.
Jiulize - kwanini mwanamke akubebe, kwanini maji ayaweke viungo...je hivyo viungo ndani yake mna nini?
Shauri zenu!

Hakuna ukweli wa zaidi ya uliosema.ndio hawa unamuachia 500 anakupa chakula cha 5000, mjinga unachekelea.
 
wakati wewe unasoma btn the line mie nasoma on top of the line ndo maana naelewa, by the way sija-jump nimekaa.

kasema anawahonga hela,wanatoa huduma sawa na hela walolipwa. Sasa utalipwa hela kama huuzi?

Acheni matusi
 
Back
Top Bottom