mussolin dickie
New Member
- Mar 14, 2013
- 2
- 0
kwakwer kabisaa..
Mwatupiga fitna tu.
Sisi si washirikina, ila mapenzi twayajua, mapishi , usafi na handling nzima ya mwanamume.
Twajua mwanaume ana hitaji nini na kwa wakati gani. Thtas all.
Nikiwa
mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe
na kwa wenzangu pia.
Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu
huwa ni wazazi wao. Hawataki kabisa tuoane na vijana wao.
Je kwanini wazazi wa vijana watokao bara wanatuogopa?
inategemea ni Tanga hipi, wanawake wenye sifa za kitanga sio wote japo wote ni WaTAnga
Tanga kubwa bi Nazjaz, maana kuna Wadigo, Wasambaa, Wabondei, Wasegeju na wengine wengi
Hebu tujuze unazungumzia TAnga ipi?
I love Ta totoz
Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia.
Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu huwa ni wazazi wao. Hawataki kabisa tuoane na vijana wao.
Je kwanini wazazi wa vijana watokao bara wanatuogopa?
Iwapo Tanga wako hivi, acha nihamie huko.
Naunga mkono hoja kwani hata mimi ni wa kiume toka bara, moja ya sababu zinazotolewa ni kwa nini mnaogopwa ni kwamba, eti mkimkamata mtu hawezi tena kuwakumbuka kwao, tena ndo mnamhamishia Tanga kabisaaa... yaani atatumikishwa huyo.... kisha akishachakaa, anatimuliwa -arudi Bara akiwa mikono mitupu huku akimuacha mke akifurahia mali walizochuma pamoja na mme! Haambulii hata watoto.-Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia.