Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia

Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia.
Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu huwa ni wazazi wao. Hawataki kabisa tuoane na vijana wao.
Je kwanini wazazi wa vijana watokao bara wanatuogopa?
Jiulizeni kwanini mnapendwa zaidi na wanaume wa kutoka bara lakini wanaume wa pwani wanao kujueni vizuri hawawataki,lipo tatizo somewhere!
 
Jiulizeni kwanini mnapendwa zaidi na wanaume wa kutoka bara lakini wanaume wa pwani wanao kujueni vizuri hawawataki,lipo tatizo somewhere!

lipo tena kubwa tu,nimeishi na hawa watu. Na nimeishi pwani yote ya tanga ni balaaaaa,unayajua maji ya shurbati weye?
 
Kama wewe demu wa kitanga ni PM ni-enjoy maisha,uwe mweupe mahaga wezere ziwepo ntatanga ndoa ni PM fasta kama kuna demu wa kitanga na ana sifa hizo above
 
lipo tena kubwa tu,nimeishi na hawa watu. Na nimeishi pwani yote ya tanga ni balaaaaa,unayajua maji ya shurbati weye?
Wanawake wengi wa TA wanajisifia kuyaweza lovey dovey lakini wengi wao hawaolewi na hata wakiolewa hawadumu katika ndoa zao,kwa nini hawaolewi?au kwanini wakiolewa wanaachika?
 
Wanawake wengi wa TA wanajisifia kuyaweza lovey dovey lakini wengi wao hawaolewi na hata wakiolewa hawadumu katika ndoa zao,kwa nini hawaolewi?au kwanini wakiolewa wanaachika?

huwa twakutana na wrong persons. Ukimpa mapenzi nduguze wadai wamlisha mwana wao limbwata
 
Mnatumia sana ndumba ndio maana wazazi wa bara hawataki muole na watoto wao wanawaita cha saka
 
Mnatumia sana ndumba ndio maana wazazi wa bara hawataki muolewe na watoto wao wanawaita cha saka
 
Mwatupiga fitna tu.
Sisi si washirikina, ila mapenzi twayajua, mapishi , usafi na handling nzima ya mwanamume.
Twajua mwanaume ana hitaji nini na kwa wakati gani. Thtas all.

Mwarusha maji nyie kama wale wala ndizi?
 
we ni wa tanga sehemu gani,korogwe,lushoto,mkomazi,muheza,pangani, makorora,maramba,mtimbwani,duga,moa au horohoro?

Mwambie huyo, asije akawa mnguu wa songe eti naye ajidai ni mwanamke wa tanga. Na wanguu walivyo washirikina, acha kabisa wakuu. Ukipewa limbwata la kinguu inafika mahali hadi wewe mwenyewe unajikana
 
Hawakuogopeni.
Ila wana mashaka kuwa hamtaweza kulima shamba!
Lakini pia mna tabia ya kumwekea mtu Limbwata ili akikuoa asahau kwao, na awakane ndugu zake naukoo wake!
Hii ni kweli, kuna jamaa nilihusika kwenda kwenye msafara wa kumkomboa baada ya kulowea huko miaka 17 bila kurudi nyumbani!
Yaliyotupata huko ni siri yangu!..../huh!
Sina la kuongeza, watu wazima wanaelewa nasema nini!
 
Mnatumia sana ndumba ndio maana wazazi wa bara hawataki muolewe na watoto wao wanawaita cha saka

hamna cha uchawi wala ndumba, mapenzi yahitaji uyajue. Ukiyajua na kuyabobea utaitwa mchawi, hata pele si walisema ni mchawi kwa ujuzi wake wa mpira?
 
mie nawajua ndan nje watnga kwan na mie mmoja wao kmapenz ni balaa sana ila bnadam hakos kasoro bt kunako mapenz wanatishaa
 
Back
Top Bottom