Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia

Hawakuogopeni.
Ila wana mashaka kuwa hamtaweza kulima shamba!
Lakini pia mna tabia ya kumwekea mtu Limbwata ili akikuoa asahau kwao, na awakane ndugu zake naukoo wake!
Hii ni kweli, kuna jamaa nilihusika kwenda kwenye msafara wa kumkomboa baada ya kulowea huko miaka 17 bila kurudi nyumbani!
Yaliyotupata huko ni siri yangu!..../huh!

Limbwata !
 
01pic2.jpg

Ebwana eeee !
 

Mnahaki ya kupendwa maana mnafanya juhudi ya kupendwa. Kwenye commerce tulifundishwa division of labour nadhani katika style hiyo nyie wa Tanga mgao wenu ni hapo kwenye mapenzi.:laugh:
 
Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia.
Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu huwa ni wazazi wao. Hawataki kabisa tuoane na vijana wao.
Je kwanini wazazi wa vijana watokao bara wanatuogopa?

Mmm,wazo hili lanichanganya.Kwanza ni lazima uolewe na kijana wa bara?Vijana wa Tanga hawapo?
 
acheni siasa tanga mafundi wa mapenzi,na ni watundu kila idara usafi,mapishi,malove nk. Wengine mpaka wapigwe ngwala,bakora,wakimbizwe,lakini sio kwa tanga

Mkuu umepatia sifa zote wanazo mabinti wa kitanga na mwanaume anataka mapenzi akiyakosa ndio uhangaika na ikiwa mwanaume chovya chovya kama yule mwanamuziki wa bendi "M" aliemuoa binti wa kitanga halafu yeye ikawa kutwa majukwaani mke hamjali ilimbidi amwage na kurudi zake Tanga.

Tanga ndipo mapenzi yalipo zawaliwa, mwanamke wa kitanga sio mvivu illa anajua kazi iliyomfanya aolewe nayo ni ya kumhudumia mume. Mwanamke wa Kitanga katu hawezi kukuambia nimechoka..............
 
tanga ndio mwisho wa yote bana, watu wataponda wee, lakini hata siku moja historia haibadiliki, Tanga kutabaki kuwa kitovu cha maloveeeeeeee
 
Sio siku hizi jamani!!! kila mwanamke ameamka wengi wanajitahidi na mnajua mtu anapojitahidi kitu huwa anapitiliza hadi kumshinda aliyembele yake.
 
Mmm,wazo hili lanichanganya.Kwanza ni lazima uolewe na kijana wa bara?Vijana wa Tanga hawapo?

wanataka wa bara fweza ta vijana choka mbaya unga wanapanga kuzamia meli waibukie south au europ mpk uzee wanapiga story za kuzamia meli
 
Kudadaddadadaddaadadeki.
Limwanamke langu la kitanga linalala kama gogo, halijui kupika, lina majungu, ugomvi na majirani kila siku, nyumba chafu, hata kujitunza lenyewe haliwezi. Kazi yake kubwa kujimimiminia mi ina mwili mzima kama jini

Dah we kiboko haa hebu punguza ukali wa maneno bana mkeo huyo
 
:first:Mie natoa uzoefu wangu, wanawake wa Tanga wanajua sana mavituziiiiiiiiiiiiiiii yanu kama haupo makini, unaweza kusahau kwenu kabisaaa. Ila wanatatizo moja la kuwa busy zaidi na mapenzi na kusahau shighuli za kimaendeleo! Nashauri wajifunze kubalance mambo yote!:sick:
 
Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

quote_icon.png
Originally Posted by Sumbalawinyo
01pic2.jpg




Astaghafirrwwwwwwwwwwwwwwwwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhiiiiii........................................
 
:clap2:Lakini jamani msisahau wanawake wa-Kingoni, maana nao wamo sio mchezo, hasa ukapate kale kalikotokea unyagoni yaani raha utakayo pata we acha tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:clap2:
 
Back
Top Bottom