Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia

Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia.
Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu huwa ni wazazi wao. Hawataki kabisa tuoane na vijana wao.
Je kwanini wazazi wa vijana watokao bara wanatuogopa?

Hapana bana, sio kweli.
Mnapendwa sana na wapemba(wazanzibara), ukifika nungwi kule mabinti wa kitanga wamejazana kwakuwa wazanzibara wakishikwa hushikamana, hawana uwezo wa kucholopoka, hadi wanawake wa kizanzibara wamewahi kupeleka malalamiko yao serikalini wakiomba waTanga watimuliwe, wanaume wametelekeza familia zao.
 
inawezekana tabia zenu haziridhishi ndio maan wazazi hawapendi muolewe na watoto wao.
 
Kudadaddadadaddaadadeki.
Limwanamke langu la kitanga linalala kama gogo, halijui kupika, lina majungu, ugomvi na majirani kila siku, nyumba chafu, hata kujitunza lenyewe haliwezi. Kazi yake kubwa kujimimiminia mi ina mwili mzima kama jini


Punguza jazba ndugu!!!
 
mbona mimi mtu wa Tanga lakini bado sijayaona......naona napokelewa vizuri tu niendako.......ngoja nikamuulize kaka Shossi.....:laugh::laugh:

Uchawi hatuna,tunajua kupenda na kumlisha bwana kitu roho inapenda na kuridhia......na shule tunaenda kujifunza hayo........:coffee:

Hivi Michelle, unatokea majani mapana, chumbageni,
au barabara ya 12?
 
siku hizi esp wale wasomi wanaokuta huku mijini hawana mambo kama hayo!
 
Wanawake wa Tanga "Wavivu"! Kuanzia asubuhi amevaa "night dress" mpaka saa ya kulala! Halafu "wambea" sana!
 
Mothers Knows Best..., So they Say....,

Binafsi sioni ubaya wowote kuhusu mtu kutoka sehemu yoyote...
Even kama wapo ambao hawana kabila its all good.
 
acheni siasa tanga mafundi wa mapenzi,na ni watundu kila idara usafi,mapishi,malove nk. Wengine mpaka wapigwe ngwala,bakora,wakimbizwe,lakini sio kwa tanga
 
acheni siasa tanga mafundi wa mapenzi,na ni watundu kila idara usafi,mapishi,malove nk. Wengine mpaka wapigwe ngwala,bakora,wakimbizwe,lakini sio kwa tanga
 
Back
Top Bottom