Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,235
Halafu mie nadhani ni ushamba tu ,mbeya pamoja na kuwa ni jiji lakini bado sana maendeleo.Yani mimi nina ushahidi wa ndugu zangu wa jirani nyumba moja wenye mikorogo,ngozi zao zimeharibika balaa na kukunjana vibaya.Kwa kweli ni hatari nadhani wanahitaji elimu.