Wanawake wa kitanzania!

ukipendeza kila mtu akakutazama unajiskia vizuri zaidi inakupa confidence........tunaacha wazi tukijua tutavutia attention na tunaipata haswaa!
<br />
<br />
cku zote psychology ya mwanaume inajaji vile ww ulivyo.ukimuona mwanamke anayeachia maungo yake unafikiria,nikimpata huyu kwa cku moja itakuwa safi sana.ila ukikutana na aliyejiheshimu unatamani hata angekuwa nkeo.! Lakini,kwa nn mnakuwa kimauzo hata sehemu za kazi.?
 
View attachment 34959

A proudly African Woman...ana heshima zote kwa jamii yake inayomzunguka nami pia. Mavazi mengine ya kidhungu tunaiga na hatuwezi kukurupuka na tukasema tunajivunjia heshima na kulalamika.. Kuna vitu vingi vinatuvunjia `values` zetu kama waafrika.. Kwanza zamani waafrika hatukuwa wezi, mafisadi, etc..hivyo ndivyo vitu vya kupigia kelele..

Kuna unafiki wa hali ya juu kwa wale watetezi wa hizo zinazodaiwa kuwa ndiyo mila na tamaduni za Kiafrika.
 
Duh! mjadala wa tamaduni bado upo tu?

Tutapiga sana kelele... lakini tukumbuke Mila, tamaduni, Values..tumeshachakachua . Hatuna cha kujivunia tena ..tumeviuza vyote kwa mazingira, utandawazi, ukoloni.. n.k

By the way... tusijali sana ..naona mamlaka zinachukua hatua madhubuti kurudi tulikotoka kwa spidi kali.....mfano zamani hawakuwa na umeme waliishi kwa viginga vya moto..nadhani Mgawo wa Tanesco ni matayarisho kurudi kwenye giza totoro kwani iko siku tutaona Tanesco wanatoa minara ya umeme kufanya kuni..... Huduma za afya ..zamani waliishi kwa mizizi....Mambo ya vikombe vya loliondo ni dalili tosha hatuitaji dawa za mdhungu.... Mafuta ya magari hakuna tena..baada ya miezi michache tutatupa mikweche yetu na kuanza kutembea kwa miguu.. Maji ya Nuwa yanatoka kwa kubahatisha...ni mafundisho ya kujifunza kuchimba visima na kujisadia porini...

Tanzania = Back to square one!

Ni kweli utamaduni umeshachakachuliwa kwa wachakachuaji kufikiria uigwaji ya kigeni kwamba ndio maendeleo. Na sasa kwa mbali naona uigwaji wa tamaduni za kigeni wa biashara ya ukahaba umeanza kushamizi ambao katika nchi za wenyewe unajulikana kama escort. Wanafunzi badala ya kufanya homework weekend tusipoangalia watajiingiza kwenye hii biashara ya escort na madhara yake tutakuja yaona, kwani kwa sasa ni usiri tu lakini vyombo vya usalama ambavyo vina dhamana ya kulinda hayo kama umoja wa wanawake hawaigutui serikali na vyombo husika.
 
<br />
<br />
cku zote psychology ya mwanaume inajaji vile ww ulivyo.ukimuona mwanamke anayeachia maungo yake unafikiria,nikimpata huyu kwa cku moja itakuwa safi sana.ila ukikutana na aliyejiheshimu unatamani hata angekuwa nkeo.! Lakini,kwa nn mnakuwa kimauzo hata sehemu za kazi.?

Huo ndio ukweli na hali halisi ilivyo. Ni kama mtu hana akili nzuri vile wakati wapo wazee wanajadili mambo muhimu halafu mwingine ananza kupiga ngoma ya utamaduni. Au Hakimu kuingia mahakamani amevaa pajama, mcheza mpira kuingia uwanjana amejitanda kanga, au mchungaji au shehe kuingingia madhabahuni kuongoza ibada hukua kavaa bukta na cape za yanga ua simba, au rais kwenda kukagua gwaride anajitokea kavaa kaputula ya ngumi(boxing) ni vichekesho tupu wandugu. Kila kitu kina nafasi yake. Hata wale wanaopita kwa mfalme Mswati ni katika tukio muhimu lililoandaliwa kwa nafasi hiyo sidhani kama wasichana wale wanajirahisisha hivyo kila siku vinginevyo wasingebaki bikira.
 
Back
Top Bottom