Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,708

Sijakuelewa kabisa...au ndo kilugha chenu hicho?!

Yap!Kilugha chetu hicho,maana yake.......

Sijakuelewa kabisa...au ndo kilugha chenu hicho?!
Mkuu..umesoma historia? Kabla hatujaiga nguo za wazungu ..kule kwetu nyanda za juu ..kina dada na kina kaka walikuwa wanaficha sehemu ya nanii tu...yaani baba mama mjomba mkwe kaka wote ni fursa kuona matiti..
Usijali mtu kavaa nini au anafanya nini na mwili wake..kwani wewe sio mdau wa mwili wake na haitakusaidia ...
Kikubwa angalia Roho ya huyo mtu na sio mwili... Anaweza akavaa unavyotaka lakini akawa mnafiki kupindukia!

hahahaha, wanatumia uhuru wao, mbona tuliiga kuvaa nguo, hatukulalamika, sasa tunaona kuvaa nguo ni utamaduni wetu, na ule wa awali wa kutokuvaa nguo ni wa kuiga, hivyo tunalalamika, kwa ujumla swala la kuvaa ni uhuru wa mtu, tuwache watu wavae wanavyotaka.

Standard za kusema kuvaa nguo, au kutofunika sehemu fulani ni wa kuletwa na hao hao.

Angalia hii picha ilipigwa miaka ya 1900, moshi  angalia mabinti nyuma ya huyu jamaa je waliiga wapi kutokufunika matiti?
labda wanaona biashara ni matangazo...any way kuna places ambazo nguo fupi ndio mahali pake,u cant rock in da club na truck-sut o hijab...u cant swim wit a geans...tatizo wadada ze2 jamaniiiiiiii mnachanganya mambo,nguo za ucku mnavaa mchana,za casual mnavaa ofcn na za beach mnavaa kariakoo.....fashion language kwa bongo imechkachuliwa.
Wanaume wakiwabaka watalalamika wameonewa kumbe wenyewe wanateneneza mazingira hayo

Kwanza, bado sinaona mwanamke wa Kitanzania ambaye anaachia matiti yake nje wazi; lakini wapo wengine wanaoachia kwa sababu wananyonyesha wala si tatizo. Lakini kama unamaanisha wanaonesha "clevage" yaani sehemu ya juu ya matiti bila kuonesha chuchu basi wala si tatizo ni mapambano tu ya watoto wa kike.

NI sawa na nyumba nzuri ambayo ina bustani nzuri pale nje. Sasa siyo kila nyumba nzuri ina bustani nzuri na siyo kila bustani nzuri ina nyumba nzuri. Lakini jingine, siyo unapopita kwenye nyumba nzuri unaambiwa "karibu" au uanze papara zako kufungua milango, nyingine unapita nje na kuadmire tu kwa mbali. Ukikaribishwa heri yako ukiishia kutamani hivyo. Lakini wakati mwingine, inakuhamisha na wewe kuona nyumba yako inakuwa na kajibustani kazuri... so do the needful.

Huku kijijini hata maofisini watu wanavaa hayo isipokuwa ni kiasi gani tu kinaoneshwa, wakati mwingine mtu haitaji kuachia wazi, anahitaji kujibanda vizuri au push-up bra na mambo yanakuwa hivyo. SAsa vinginevyo mtataka dada zetu hata wasivae push up bras!

Mzee Mwanakijiji;2328861]Kwanza, bado sinaona mwanamke wa Kitanzania ambaye anaachia matiti yake nje wazi; lakini wapo wengine wanaoachia kwa sababu wananyonyesha wala si tatizo. Lakini kama unamaanisha wanaonesha "clevage" yaani sehemu ya juu ya matiti bila kuonesha chuchu basi wala si tatizo ni mapambano tu ya watoto wa kike.
NI sawa na nyumba nzuri ambayo ina bustani nzuri pale nje. Sasa siyo kila nyumba nzuri ina bustani nzuri na siyo kila bustani nzuri ina nyumba nzuri. Lakini jingine, siyo unapopita kwenye nyumba nzuri unaambiwa "karibu" au uanze papara zako kufungua milango, nyingine unapita nje na kuadmire tu kwa mbali. Ukikaribishwa heri yako ukiishia kutamani hivyo. Lakini wakati mwingine, inakuhamisha na wewe kuona nyumba yako inakuwa na kajibustani kazuri... so do the needful.
Huku kijijini hata maofisini watu wanavaa hayo isipokuwa ni kiasi gani tu kinaoneshwa, wakati mwingine mtu haitaji kuachia wazi, anahitaji kujibanda vizuri au push-up bra na mambo yanakuwa hivyo. SAsa vinginevyo mtataka dada zetu hata wasivae push up bras!
View attachment 34959
A proudly African Woman...nami pia.ana heshima zote kwa jamii yake inayomzunguka
Mimi nitakuwa the "devll's advocate" ili kuonyesha upungufu uliopo kwenye value systems zetu na ugumu au uhafifu wa kujenga hoja linapokuja swala la kupinga " upotofu wa maadili". Tunapinga au kukataza based on what? Mila na desturi zipi? Za kiafrika au za "kigeni"?
Hiyo picha hapo juu inaonyesha utamaduni wa kiafrika. Wamaasai wa Tanzania nao uvaaji wao wa kitamaduni kuna watakoukosoa kuwa hauna maadili ya "kiafrika"? Je mtu asiye mmaasai akiamua kuvaa vazi hilo ataonekana anaenzi utamaduni wa kiafrika? Tukubali kuwa kwa siku hizi hakuna "mila na desturi au utamaduni wa Kiafrika per se bali ni muingiliano wa imani itikadi na tamaduni za kigeni zaidi.
Nitalitazama hili kwa kuzingatia post hiyo hapo chini kama mfano kujenga hoja yangu.
Napata picha yasheria za kiislamu ingawa zinapokeleka kwa mtazamo tofauti lakini zima maana fulani kwa ajili ya kulinda heshima ya mwanamke.
MWENZETU unazungumzia "uafrika" au imani ya dini ya kiislam? Ukichanganya vitu viwili utapoteza maana ya unalotarajia.Tuklisema UAFRIKA per se mbona kuna kazi? UAFRIKA mbona ulimwacha mwanamke "mtupu" kama hiyo picha hapo juu! Mi nadhani kwenye hoja kama hizi tusiweke hoja ya "Uafrika" bali tujikite zaidi kwenye mila-mapokeo kufuatia watu kukumbatia mila, desturi na imani za "kigeni" - wazungu, wahindi, waarabu n.k na imani za kigeni - ukristo, usilam n.k. Mapokeo haya ya kigeni yametuletea "ustaarabu" na "staha" tulizo nazo leo - staha ambazo zimefunika UAFRIKA!
Hapa kwenye bold napata shida kidogo, Heshima tunazolinda ni za kiafrika au za kigeni? Kwanini basi hatuoni fahari kulinda "utamaduni wa kiafrika? Je Wamaasai wakitukuza na kuenzi utamaduni wao bado utasema kama ulivyosema hapo juu kwa Wasomali?Hatuwezi binadamu wenye akili timamu kujifanya kama ua ambalo lipo kwa nature tofauti na binadamu mwenye kupevuka kwa akili, na kuchagua lenye kufaa kwa kulinda heshima na utamaduni wao. Hii imekukumbusha mbali niwaonapo wasomali, na jamii nyingine za kiarabu wawapo nchi za magharibi jinsi wanavyojidai na utamaduni wao bila kificho na kweli umetukuka na wameeleweka na kuheshimika hivyo.
Jambo la msingi tunaloongelea hapa ni mila na desturi zetu zinavyoenda na wakati bila kujidhalilisha. Hatuwezi kuchukulia mababu na mabibi zetu walivyoishi uchi kipindi cha stone ages, ambapo walikuwa na sheria kali za kuwalinda na ndio maana kuna makabila tangu enzi hizo hayakuruhusu wasichana na wavulana kukaa pamoja ila katika matukio fulani muhimu kama nguma chini iya uangalizi wa wakubwa na pindi wanapofikia kuvutiana kuwa wamoja taratibu za kimila zilichukua mkondo wake.
Unadhani tatizo ni mtu/watu au ni mifumo?
Pamoja na mie kuiona dunia hii ya mataifa mbalimbali ilivyo, kuna mengi tu yanayolinda heshima na utamaduni wao wa asili bila kuathiriwa kiasi kikubwa cha mwingiliano na mataifa mengine pamoja na tamaduni mbalimbali duniani.
N andio haswa maana ya utandawazi - Kuona na kuchagua kufuatana na kinachokuvutia.Kuacha kile unachoona hakina manufaa kwako.Bahati mbaya sana hakuna formula kwenye hili. Na ndio hata hii mada utaona watu wanaijadili katika angle tofauti. Wengine watasema "uhuru wa mtu, haki yake" kuvaa apendavyo. Wengine watasema ni kukosa heshima/adabu etc.
Na walisikia furaha nilivyokuwa najivunia utamaduni wangu na msimamo na hata instructor alitusisitizia kuibukia utamaduni wa kigeni unaweza kushtukia umekuwa kiraka ndani ya mila na desturi zako za asili ukaonekana popo.
Ulijivunia utamaduni upi sasa maana ukiangalia Watanzania au waafrika wengi wamemezwa kwenye tamaduni za wengine, wakaona tamaduni zao ni mbovu, za kizamani, uncivilised etc kwa sababu waliokuja kutupa tamaduni zao walianza kuponda na kutukana tamaduni za kiafrika kuwa ni za " kishenzi"
Fikiria mwanamke mwenye mume wake anapohangaikia kunadisha jiografia ya mwili wake kwa watu wengine inajenga dhamira gani wakati ameshakuwa na commitment na mumewe? Labda kwa dada zeti ambao bado wanajaribu kupata soko la kuwa na mwenzi wa maisha, ila ingekuwa vema kuangalia mazingira gani kwani wengi siku hizi wenye tamani ya kweli ya mwenzi wa maisha tabia na mwenendo wa mtu ni kigezo cha awali. Maa hii ya plastic surgery, bra zenye foam za kuinulia matiti, kuongeza ukubwa wa makalio kwa kudungwa sindano, kurefusha kucha kwa kuweka kucha bandia, kurembusha wanja usoni nk havitamsaidia mtu kubadilisha tabia yake ila ni make up ya kuvutia tu nyuki kulifikia ua ingawa si ishara ya kuwa na utomvu unaofuatwa na nyuki.
Hapa kuna tatizo kubwa sana. Kuna mitizamo tofauti sana baina ya wanawake na wanaume kwenye hapo bold.nIMEJARIBU KUULIZA WANAWAKE KADHAA kuwa urembo unaofanyw ana mwanamke ni kwa sababu gani.Majibu yalikuwa tofauti:
Kuna wenye kufanya hivyo kwa sababu wanapenda wao wenyewe na siyo kuwafurahisha watu wengine. Hawa nao ni wengi - wako walio single na walioolewa, watu wazima na vijana pia. Pia kuna wanaojiremba ili kuvutia mbele za watu wengine - hawa mara nyingi ni vjana zaidi au wako single. Kuna wanaojipamba kwa sababu wenza wao wanapenda pia. Hii ina maanisha kuwa siyo kila mwanamke anavaa/kujipamba ili kujinadi! Bahati mbaya wanaume wengi nao wanatafsiri zao tofauti na hizi kuhusu mampambo ya mwanamke.Wapo wengi kama wewe wenye kudhani ati mwanamke kujipamba ni kujinadi!
Nilishangaa mara kadhaa nilipokuwa nafanya interview na kuajiriwa wakati ni mwanafunzi nchi fulani ya ughaibuni, moja ya mashari tuliyopewa na kazi ni kama ifuatavyo:
Wanaume hakuna kuvaa heleni, kusuka rasta, na ni sheria kuvaa nguo zenye kulinda heshima ya utu na makampuni yaliyeenda mbali zaidi ni sare za kampuni na usipovaa unafukuzwa kazi. Serikali ndo usiseme, sheria zao na masharti ya kulinda heshima ya utu ni dondoo ya kwanza.
Nakubaliana na wewe kabisa, mivao na mapambo lazima kuangalia muktadha. Bahati mbaya sana watu wengi hawaangalii hili. Ni suala pia la utamaduni mpana zaidi ya utamaduni wa kabila au race. Ni utamaduni wa taasis. Nikiangalia hili la kusuka rasta kwa wanaume nasikia kucheka kidogo. Huko South Africa rasta/dreadlock ni "identity' ya mwafrika na kunatukuzwa.Huwezi kufukuzwa kazi kwa vile una dreadlock.Hii ni kwa wote wanawake na wanaume. Ila kwa wazungu na hata waafrika kama Tanzania mtu mwenye dreadlocks huonekana kivingine na hakubaliki! Hereni kwa mwanaume pia ni kitu kinachoonekana si maadili mema.
.Sijajua hii ya kusema majuu wanavaa wapendavyo imetoka wapi. Tatizo wabongo wanaiga mivao ya night club na kuipeleka public, na siku tusipokuwa makini wataingia ofisini na bikini wakifikiria wako kuogelea ufukweni mwa bahari
Hili nalo neno!! Ila bahati nzuri Serikali inayo dress code.Kama haifuatwi ni tatizo la kiutendaji.
A proudly African Woman...
ana heshima zote kwa jamii yake inayomzunguka
nami pia.
Mimi nitakuwa the "devll's advocate" ili kuonyesha upungufu uliopo kwenye value systems zetu na ugumu au uhafifu wa kujenga hoja linapokuja swala la kupinga " upotofu wa maadili". Tunapinga au kukataza based on what? Mila na desturi zipi? Za kiafrika au za "kigeni"?
Hiyo picha hapo juu inaonyesha utamaduni wa kiafrika. Wamaasai wa Tanzania nao uvaaji wao wa kitamaduni kuna watakoukosoa kuwa hauna maadili ya "kiafrika"? Je mtu asiye mmaasai akiamua kuvaa vazi hilo ataonekana anaenzi utamaduni wa kiafrika? Tukubali kuwa kwa siku hizi hakuna "mila na desturi au utamaduni wa Kiafrika per se bali ni muingiliano wa imani itikadi na tamaduni za kigeni zaidi.
Nitalitazama hili kwa kuzingatia post hiyo hapo chini kama mfano kujenga hoja yangu.
Napata picha ya sheria za kiislamu ingawa zinapokeleka kwa mtazamo tofauti lakini zima maana fulani kwa ajili ya kulinda heshima ya mwanamke.
Mwenzetui unazungumzia "uafrika" au imani ya dini ya kiislam? Ukichanganya vitu viwili utapoteza maana ya unalotarajia.Tuklisema UAFRIKA per se mbona kuna kazi? UAFRIKA mbona ulimwacha mwanamke "mtupu" kama hiyo picha hapo juu! Mi nadhani kwenye hoja kama hizi tusiweke hoja ya "Uafrika" bali tujikite zaidi kwenye mila-mapokeo kufuatia watu kukumbatia mila, desturi na imani za "kigeni" - wazungu, wahindi, waarabu n.k na imani za kigeni - ukristo, usilam n.k. Mapokeo haya ya kigeni yametuletea "ustaarabu" na "staha" tulizo nazo leo - staha ambazo zimefunika UAFRIKA!
Hatuwezi binadamu wenye akili timamu kujifanya kama ua ambalo lipo kwa nature tofauti na binadamu mwenye kupevuka kwa akili, na kuchagua lenye kufaa kwa kulinda heshima na utamaduni wao. Hii imekukumbusha mbali niwaonapo wasomali, na jamii nyingine za kiarabu wawapo nchi za magharibi jinsi wanavyojidai na utamaduni wao bila kificho na kweli umetukuka na wameeleweka na kuheshimika hivyo.
Hapa kwenye bold napata shida kidogo, Heshima tunazolinda ni za kiafrika au za kigeni? Kwanini basi hatuoni fahari kulinda "utamaduni wa kiafrika? Je Wamaasai wakitukuza na kuenzi utamaduni wao bado utasema kama ulivyosema hapo juu kwa Wasomali?
Jambo la msingi tunaloongelea hapa ni mila na desturi zetu zinavyoenda na wakati bila kujidhalilisha. Hatuwezi kuchukulia mababu na mabibi zetu walivyoishi uchi kipindi cha stone ages, ambapo walikuwa na sheria kali za kuwalinda na ndio maana kuna makabila tangu enzi hizo hayakuruhusu wasichana na wavulana kukaa pamoja ila katika matukio fulani muhimu kama nguma chini iya uangalizi wa wakubwa na pindi wanapofikia kuvutiana kuwa wamoja taratibu za kimila zilichukua mkondo wake.
Unadhani tatizo ni mtu/watu au ni mifumo?
Pamoja na mie kuiona dunia hii ya mataifa mbalimbali ilivyo, kuna mengi tu yanayolinda heshima na utamaduni wao wa asili bila kuathiriwa kiasi kikubwa cha mwingiliano na mataifa mengine pamoja na tamaduni mbalimbali duniani.
N andio haswa maana ya utandawazi - Kuona na kuchagua kufuatana na kinachokuvutia.Kuacha kile unachoona hakina manufaa kwako.Bahati mbaya sana hakuna formula kwenye hili. Na ndio hata hii mada utaona watu wanaijadili katika angle tofauti. Wengine watasema "uhuru wa mtu, haki yake" kuvaa apendavyo. Wengine watasema ni kukosa heshima/adabu etc.
Na walisikia furaha nilivyokuwa najivunia utamaduni wangu na msimamo na hata instructor alitusisitizia kuibukia utamaduni wa kigeni unaweza kushtukia umekuwa kiraka ndani ya mila na desturi zako za asili ukaonekana popo.
Ulijivunia utamaduni upi sasa maana ukiangalia Watanzania au waafrika wengi wamemezwa kwenye tamaduni za wengine, wakaona tamaduni zao ni mbovu, za kizamani, uncivilised etc kwa sababu waliokuja kutupa tamaduni zao walianza kuponda na kutukana tamaduni za kiafrika kuwa ni za " kishenzi"
Fikiria mwanamke mwenye mume wake anapohangaikia kunadisha jiografia ya mwili wake kwa watu wengine inajenga dhamira gani wakati ameshakuwa na commitment na mumewe? Labda kwa dada zeti ambao bado wanajaribu kupata soko la kuwa na mwenzi wa maisha, ila ingekuwa vema kuangalia mazingira gani kwani wengi siku hizi wenye tamani ya kweli ya mwenzi wa maisha tabia na mwenendo wa mtu ni kigezo cha awali.Maa hii ya plastic surgery, bra zenye foam za kuinulia matiti, kuongeza ukubwa wa makalio kwa kudungwa sindano, kurefusha kucha kwa kuweka kucha bandia, kurembusha wanja usoni nk havitamsaidia mtu kubadilisha tabia yake ila ni make up ya kuvutia tu nyuki kulifikia ua ingawa si ishara ya kuwa na utomvu unaofuatwa na nyuki.
Hapa kuna tatizo kubwa sana. Kuna mitizamo tofauti sana baina ya wanawake na wanaume kwenye hapo bold.nIMEJARIBU KUULIZA WANAWAKE KADHAA kuwa urembo unaofanyw ana mwanamke ni kwa sababu gani.Majibu yalikuwa tofauti:
Kuna wenye kufanya hivyo kwa sababu wanapenda wao wenyewe na siyo kuwafurahisha watu wengine. Hawa nao ni wengi - wako walio single na walioolewa, watu wazima na vijana pia. Pia kuna wanaojiremba ili kuvutia mbele za watu wengine - hawa mara nyingi ni vjana zaidi au wako single. Kuna wanaojipamba kwa sababu wenza wao wanapenda pia. Hii ina maanisha kuwa siyo kila mwanamke anavaa/kujipamba ili kujinadi! Bahati mbaya wanaume wengi nao wanatafsiri zao tofauti na hizi kuhusu mampambo ya mwanamke.Wapo wengi kama wewe wenye kudhani ati mwanamke kujipamba ni kujinadi!
Nilishangaa mara kadhaa nilipokuwa nafanya interview na kuajiriwa wakati ni mwanafunzi nchi fulani ya ughaibuni, moja ya mashari tuliyopewa na kazi ni kama ifuatavyo:
Wanaume hakuna kuvaa heleni, kusuka rasta, na ni sheria kuvaa nguo zenye kulinda heshima ya utu na makampuni yaliyeenda mbali zaidi ni sare za kampuni na usipovaa unafukuzwa kazi. Serikali ndo usiseme, sheria zao na masharti ya kulinda heshima ya utu ni dondoo ya kwanza.
Nakubaliana na wewe kabisa, mivao na mapambo lazima kuangalia muktadha. Bahati mbaya sana watu wengi hawaangalii hili. Ni suala pia la utamaduni mpana zaidi ya utamaduni wa kabila au race. Ni utamaduni wa taasis. Nikiangalia hili la kusuka rasta kwa wanaume nasikia kucheka kidogo. Huko South Africa rasta/dreadlock ni "identity' ya mwafrika na kunatukuzwa.Huwezi kufukuzwa kazi kwa vile una dreadlock.Hii ni kwa wote wanawake na wanaume. Ila kwa wazungu na hata waafrika kama Tanzania mtu mwenye dreadlocks huonekana kivingine na hakubaliki! Hereni kwa mwanaume pia ni kitu kinachoonekana si maadili mema.
Sijajua hii ya kusema majuu wanavaa wapendavyo imetoka wapi. Tatizo wabongo wanaiga mivao ya night club na kuipeleka public, na siku tusipokuwa makini wataingia ofisini na bikini wakifikiria wako kuogelea ufukweni mwa bahari