Wanawake wa Kinyakyusa

Status
Not open for further replies.
kwan nimekataa wanaume wasiwe kichwa cha nyumba?

unless othwise unambie AUJANIELEWA NIMEMAANISHA NINI JUU YA UDUMELISM...thats wanaume wa kinyakyusa wanapenda sana udumelism..

UDEMELISM maana yake ni: imani ya kwamba PEDI ni kwa ajili ya wanawake,umezoe mwanaume unaoshare naye PEDI eeh,sio wa kinyakyusa...
 
Mkuu thibitisha madharau yangu kwa watu wa mbeya'soma vizuri pale juu'nimezaa nao'mimi ni mkwe mbeya'kusema hawajui kukataa ni uongo?au thibitisha kuhusu guest bubu za bei rahisi'nimekaa pale mbeya sana mkuu'usinisome sivyo

Ulikuwa hutumii Condom eeh...
 
UDEMELISM maana yake ni: imani ya kwamba PEDI ni kwa ajili ya wanawake,umezoe mwanaume unaoshare naye PEDI eeh,sio wa kinyakyusa...

Hii post ni uthibitisho wa yaliyoongelewa, mtoa mada, kazi kwako. Kama hujakimbia bado, nakushauri ujifunike mwavuli, hili povu ni zaidi ya la CHIBUKU(pombe bora)
 
Nijuavyo mimi ni kuwa ukiacha mambo mengine yote yawe constant(ceteris peribus), mwanamke wa Kinyakyusa akikupenda anaweza akawa anakununulia vitochi kila siku kama mpo kijijini!...
Wana Ukarimu na upendo wa dhati na huruma nyingi(hata kama ni ya kuchonga!)...kama mpo mjini anaweza akakufadhili kuishi kwake bure hata mwezi mzima, kisha baada ya hapo tafuta kazi msaidiane kulipa pango!...
In general, ni wapole, ila maisha ya kisasa yanamuathiri kila mtu jamani, tuwe wakweli!

Kwa miaka hii huwezi kupata hata 60%purity ya kabila lolote lile tanzania kutokana na miingiliano ya makabila na mbadiliko ya maisha! mTUakiongelea kabila, basi afanye reference ya miaka ya 80 kushuka chini!
Nawasilisha!

Kwa tuliobahatika kuaoa huko we acha tu,wanashare nasi maisha kiukweli...naenjoy misha.ni ndoa yangu ya pili baada ya wa kwetu kumshindwa kwa kuwa alitaka niwe kama mme ***** sababu tu ya yeye kufanya kazi moja ya mashirika ya UN. huyu Mnyakyu nimegoti mwisho wa reli,ni MKARIMU japo sometimes anagangamala hataki kuonewa hata...
 
"Niangusage weeee! Si sambi sako mwenyewe!! Nikubali useme mi malaya ...niangusage weeee" hizo ndo swaga zao.
 
"Niangusage weeee! Si sambi sako mwenyewe!! Nikubali useme mi malaya ...niangusage weeee" hizo ndo swaga zao.
NO NO NOOOOOOOOOP!
Huna information nzuri za kabila linaloongelewa!
Wanaodaiwa kusema hivyo ni WANYALU toka Iringa!
Fuatilia vizuri!
Wanyaki wanaingia kwenye kamchezo kwa knowledge na mutual risk...nothing short, nothing more!
 
Inatakiwa mtu kabla hujaanza kuchangia una declare interest maana wengine hata makabila yenu mnaogopa kutaja,afu mseme kwenu mlienda mara ya mwisho lini. Na kwa uliyeuliza swali tabia inategemea na mtu,kuna wanawake wanyakyusa wana tabia nzuri wengine mbaya,so kama unataka kuoa mchunguze kwanza.

Mimi ni nyakyusa 100%
 
nine ngwitika nkamu!........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom