lutamyo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 641
- 159
wanajua kulia sana,
wanauwezo wa kukaa msibani hata mwaka mzima,
wanauwezo wa kupata mimba huko huko msibani na wakarudi nyumba na mtoto,
ni hodari kubeba watoto mgongoni,
ni hodari kuvalisha watoto nguo za kuwakinga na baridi,
anauwezo wa kwenda mbali na nyumbani kwa ajili ya biashara yake ya ndizi,
atakaporudi nyumbani ni lazima amnunulie mume wake shati na suruali hata kama ya mtumba.
wagumu sana kutoa msaada,
Wanyaki hawauzi ndizi alafu tambua kuwa siyo kweli wanaweza kukaa msibani kwa muda mrefu kama huo................... arafu huko kwenu mbona wanaweza kuzaa na wakwe zao mmmh!!