Wanawake wa Kinyakyusa

Status
Not open for further replies.
Ni wakalimu sana kiukweli lakini enzi zile ilikuwa unaweza kutambulishwa makaka mia kidogo mpaka unachanganyikiwa lakini mambo yamebadilika siku hizi. Swali ulikuwa unawauliza hao wanawake kwa mantiki ipi au unataka kukamata toto la kinyakyusa?
 
Ni wakalimu sana kiukweli lakini enzi zile ilikuwa unaweza kutambulishwa makaka mia kidogo mpaka unachanganyikiwa lakini mambo yamebadilika siku hizi. Swali ulikuwa unawauliza hao wanawake kwa mantiki ipi au unataka kukamata toto la kinyakyusa?


pole ndugu yangu.....huo ukarimu ulikuwa una maana yake ati...si bure....

nasikia katika makaka unaotambulishwa kuna wengine sio, ni waume wenzio hao.....

unakuta mgeni kakaribishwa nyumbani, kapewa na hifadhi ya siku 2, 3..

mume ukatambullishwa kuwa ni shemejio huyo.......

lol..unakuta kilichojificha nyuma ya pazia....kumbe ni mume mwenzio...lol..

sijui wameacha siku hizi haka kamtindo?
 
Ila tatizo lingine hawapo straight foward wanapenda sana kudanganya danganya ukiwa nae inatakiwa uwe mtaratibu ndo utamsoma vizuri.uzuri wanashaurika
 
Mama Yangu ni Mnyakyusa, Bibi yangu pia, Nimelelewa na Wanyakyusa kwa muda wa kutosha.

One Love to all nyakyusa ladies!, What u r Talking is Personal Attributes!, and i dont think kama kuna haja ya Generalize!.
Hata kabila unalodhani ni Zuri basing on Experience utasikia Vitu za Ajabu sana!.
 
nimezaa nao'hawajui kukataa'kila mwanaume wanamwita shemeji'wanazukwa na guest kibao za bei rahisi'ni wachapa kazi
 
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!


washari km wanawake wa kihaya...THOU I HATE GENERALIZATION BT MAJORITY NDO WAPO IVO..sjui kwa vile wana maumbo makubwa...nishawai kupanga nyumba moja na wahaya then wanyakyusa wana swaga flan ivi za kibfu bifu wanapenda kuwa kiongoi/msemaji mkuu/director ata km akil yake inamfaa awe mfagizi au mlinda geti...WENGI WAO WASHARI..then si wachoyo wa ile MAMBO....AFU WANAPENDA MAFAGIO ao acha tu

m ready 4battle.
 
nimezaa nao'hawajui kukataa'kila mwanaume wanamwita shemeji'wanazukwa na guest kibao za bei rahisi'ni wachapa kazi

halafu wewe una kama na madharau flani na watu wa mby vile,..nimekusoma jana kwenye ile thread ya kibonde ukileta madharau yako,..nilivyotaka kukupa ukweli wako mod waka imovuzisha....acha upuuzi director
 
proud kyusa hata msemeje,na hakuna madem wanajiheshimu na kuchakarika tz km kyusa.kaoe mchaga au mrangi ujute kuzaliwa

mwambie huyo directior...labda itamsaidia kuacha mitazamo yake hasi kwa watu wa mby
 
Wanawake wa Kinyakyusa wengi ni wababe sana na kwa wale wasio na kazi/elimu wakija town kazi wanayotaka ni u-bar maid, hata ukichukua house girl haichukui mwezi keshakimbialia bar.
Wanaume wao wanapenda mfumo dume sana and they are so arrogant.
In general Wanyakyusa hawatofautiani sana na Wahaya; arrogance, tharau, ubinafsi; Sorry kama nimeoffend Mnyakyusa yeyote humu but thats my experience nimesoma na wanyakyusa , ukimwomba mnyakyusa kitabu atakupiga chenga ili mradi asikupe na ampe mwenzie hata asiyehitaji.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom