Wanawake wa Kimasai

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Bandugu,

Nataka kujua tabia za wasichana hawa,kuna wengine wapo mjini wameenda shule.Tabia zao please!
 
Unawezaje kuwa-label watu wa jamii fulani kwa ujumla wao? Ridiculous ...
 
Bandugu,

Nataka kujua tabia za wasichana hawa,kuna wengine wapo mjini wameenda shule.Tabia zao please!

Mkubwa! Kwa kweli hili kabla la Maasai,karibu 65% nimekuwa nao ktk mazingira ya kazi na hakika nakwambia,wale wamasai wa hapa A town hasa wale wanaozaliwa hapa hapa na kujichagulia kujiita waarusha wale ni kufanya uchaguzi kwani wamekuwa wajanja kushinda wale ndg ze2 wa pale Mkoani Kilimanjaro wale wanaoenda kwa jina la Machame maana wale wengi wao ni moto wa kuotea mbali na sasa hawa Masaai wanaozaliwa pale A town mtaa wa Sekei,Sinoni na hata baadhi ya Sanawari ya juu ikichukua Ilboru kwa upande hakika nao hawafai kbs Kamanda wangu! Na kwa ufupi ndiyo walivyo.
 
Wanaume kama wanawake, wamasai wanaaminika. I am married to one...

Ni kweli kuwa kina baba huwa wakienda jando a.k.a kukata mkono wa sweta wana namna yao tofauti ya kuchonga penseli kama wengine? maana nasikia sikia wana huo utamaduni, atleast kumbe naweza kupata proof sasa.......
 
Wakali saNa ukiwakera.. Kwa sababu ya kula damu mbichi.. Ukiwaudhi wana hasira isiyodhibitika.. Pia ni ngumu sana wao kukasirika.. Hawana wivu wala hawajui wivu manaake nini.. Hata rafiki yako akitembelea hom wao wanagawa tu. Na ukiwaFUMANIA live simple atakujibu ngojea kwanza rafiki yako amalize..
 
Ni kweli kuwa kina baba huwa wakienda jando a.k.a kukata mkono wa sweta wana namna yao tofauti ya kuchonga penseli kama wengine? maana nasikia sikia wana huo utamaduni, atleast kumbe naweza kupata proof sasa.......
Unaumwa wewe, sio bure! No wonder liavar lako linaona aibu! maswali gani haya jamvini jamani?
 
Kwa hiyo na wewe ndio unamwagia mafuta ya taa kwenye moto unaoanza kuwaka? Mchokozi wewe!

hapana, siyo lengo langu hilo mkuu. Ni kwamba sikutarajia kwamba RR angekuja juu kiasi hicho, manake nimezoea kumwona RR mpole na asiyekubali kughafilika kirahisi..! (eti hadi avatar inaona aibu, lol)
 
Back
Top Bottom