Wanawake wa Kikenya

Jaman ndugu hunijui humu jamvini na sikujui na tuna majina ya bandia nakuomba sana tena sana mkenya hata kama amekaa tz.miaka 20 hawafai kuolewa na mtanzania vinginevyo awe ni demu wa kupiga na kuchapa lapa lakini kuoa NAKUOMBA NDUGU YANGU TAFUTA MWANAMKE WA TZ UNAYEMMUDU kwani zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Yaliyonikuta ni uzoefu wa kutosha na shule kwa wengine
 
go for it..
wanawake wa kikenya wako open minded...na wako independent minded zaidi....
kwa ufupi uta enjoy....
 
Jaman ndugu hunijui humu jamvini na sikujui na tuna majina ya bandia nakuomba sana tena sana mkenya hata kama amekaa tz.miaka 20 hawafai kuolewa na mtanzania vinginevyo awe ni demu wa kupiga na kuchapa lapa lakini kuoa NAKUOMBA NDUGU YANGU TAFUTA MWANAMKE WA TZ UNAYEMMUDU kwani zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Yaliyonikuta ni uzoefu wa kutosha na shule kwa wengine

Tueleze yaliokukuta na itasaidia
 
Mkuu sio kwamba ni mmoja aliyekutenda lakini unachukia dunia nzima?
 
Sikushari mkuu tena kama inawezekana achana nae mapema....me imenibidi nichangie hii topic ni kweli wanapenda sana pesa na hawana huruma,hata umpe leo baada ya siku 3 atakuja kukuomba tena...hawana mpango...mademu wa kibongo tu ndio mwisho wa watoto
 
Ati?
Acha njaro zako mazee.
Hebu furuta iyo handle ya generator Tanesco wamekata stima huku pande ya westiii. Mazee hii stima ya mgao sio mchezo. Ngoja nipande ma-three naelekea pande hii ya mjini.
Tuonane.
Nitakuita =nitakupigia simu!.
 
Mkuu sio kwamba ni mmoja aliyekutenda lakini unachukia dunia nzima?

VOR sijawahi kuwa na mmoja nimejaribu zaidi ya mara tatu kwa nyakati tofauti siyo jamani hata wale ambao tu wamechanganya damu na ya kitanzania na wakakulia huko ni matatizo matupu sipendi kumwonea mtu katika maisha yangu na sitaki kuchangia kishabiki zaidi ila ukweli unabaki palepale kama huamini jaribu hata kutega mtego na wewe uataelewa nasema nini ingawa sumu haijaribiwi kwa kuonja.
jamani hawa wenzetu utadhani wao wanatoka sayari nyingine HAPANA SIYO WANAWAKE WA KUOA!!!! Kachape upite zako kama unaona ni mtamu sana na usijenge kibanda hapo hapafai na ni lazima ujue kuna wanawake wa kutumia tu kwa starehe, kutoka naye, kuwa naye kama spea na kuna mwanamke wa kuoa na ambaye atakuwa mama wa watoto wako na atakuwa na jamaa yako yote katika maisha yote fanya maamuzi sahihi usije kujuta
 
Hayo ni maneno mazito sana mkuu:coffee:
 
Kenyan men urge their sorority to fetch their husbands from TZ who are handsome but lazy.................asks yourself where you fit in all this.........................
 
Wanawake wa Kenya Wengi ni Vipoly as in Polygony, Sura za kiblaza blaza.
Wengi, hasa wakikuyu dental formula yao ikomessed up.
Sura zao kama wanakula limau kwa mtindo wa chungwa.
Yanini kujitosa kwa vihunde hao wasio jua penzi hali mademu bomba wa kibongo wapo wamekolea??
 
Tukimaliza Kenya Tuanze Rwanda na Burundi hasa Watusi, ndio mambo ya East Africa Common Market hayo, maana sasa tunaelekea kuchanganyika
 
Back
Top Bottom