Wanawake wa kigoma balaa!

...hii isigeuke porojo za 'wabongo'. Kuna opportunity hapa, kuna ajira hapa, kuna solution ya mitafaruku majumbani hapa. Mwenye kujua ukweli kuhusu hii dawa ya Kigoma tuwasiliane fasta. Tuache kuishi ndani ya box kutegemea solutions za matatizo kutoka Ulaya (au kwa Wachina). Na sisi TUNAWEZA kutoa suluhisho.


umenichekesha saana mkuu afadhali nimeongeza afya,hebu m-PM evarm lolz
 
Mi nitaka ya kumuziba mke sehemu yake akitoka nje ya ndoa. Au kitu kinang'ang'ania kama cha mbwa.
Hii ipo pia???
 
...hatuogopi kupangwa foleni kwa nyumba ndogo, tunaogopa mke akifa, duh! kazi ipo Tz
Dawa yenyewe ukitoka nje unakuwa hudi ndi,mpaka ukirudi kwa my wife wako. Vuta picha mkeo kafa ghafla itakuwaje? Nalog off
 
Mwana Mpotevu, amini nikisemacho bwana mbona unataka kuwa tomaso lol..kimsingi nilitaka nipoint out kuwa yaweza kuwa tabia ya mtu binafsi au watu wachache lkn si vema kugeneralize maana hawa watu wanapatikana mkoa wowote TZ

Prishaz! Kunapofanyika quantitative study katika sample fulani, lengo lake mwisho huwa ni ku-generalize the whole population. Ikiwa wamanyema na waha wengi wana tabia hizo, obvious hata kama kuna wachache watakuwa hawana, lakini wanakuwa katika mkumbo mmoja. Inawezekana wewe ni mmoja kati ya wachache sana wasiokuwa na tabia hiyo, lakini ni kweli wanawake wengi wanaotoka Kigoma wana tabia hizo za kuwafanyia ushirikina waume zao IKILINGANISHWA na wanawake toka mikoa mingine kama Kilimanjaro, Dodoma na hata Arusha na Manyara.
 
Dawa yenyewe ukitoka nje unakuwa hudi ndi,mpaka ukirudi kwa my wife wako. Vuta picha mkeo kafa ghafla itakuwaje? Nalog off

hofu yako ni valid kabisa. Ndio maana tunawaomba wenye kuifahamu watujuze kuhusu eneo hili.
- Dawa inafanyaje kazi?
- Mipaka yake ikoje? Inaweza kutumika kwa jinsia zote?
- Ina muda maalum wa matumizi?
- Aliyeweka akiondoka inakuwaje?
- Unaweza kuitega na kuitegua mwenyewe, au mpaka kwa gagula? etc.

Twende kisayansi zaidi, tusiende kijumla-jumla.
 
hofu yako ni valid kabisa. Ndio maana tunawaomba wenye kuifahamu watujuze kuhusu eneo hili.
- Dawa inafanyaje kazi?
- Mipaka yake ikoje? Inaweza kutumika kwa jinsia zote?
- Ina muda maalum wa matumizi?
- Aliyeweka akiondoka inakuwaje?
- Unaweza kuitega na kuitegua mwenyewe, au mpaka kwa gagula? etc.

Twende kisayansi zaidi, tusiende kijumla-jumla.
Ni kweli kabisa lisijekuwa kama tego la Kilosa. Nalog off
 
hiyo safi,tena angewapa wanawake wenzie wote walio katika ndoa

ok! ni sawa, je mkapewa then akienda anatwanga mbaya but akirudi mnabaki mkitazamana! yaan i mean vice versa ya maada husika!
 
Back
Top Bottom