Wanawake wa kigoma balaa!

Waisambaze hiyo janja tuangamize ukimwi ndani ya ndoa
hutouangamiza ukimwi bali utauongeza uCameron,hebu vuta picha kwamba wewe mke umekufa ghafla! ina maana mumeo hatodi nda tena maishani mwake na kumfanya awe Cameron,mie siikubali hii dawa hata mdhikiri u chi.ɟɟo ƃoןɐu
 
Kuna mmoja anaitwa mama ronaldo ni balaa mdada hatari sana kitu tigo k kwa mkeo we mulize mtu yeyote wa kigoma kuna mkuu wa wilaya alimwacha mke.

Jamani acheni hizi kashfa za ukabila,akifanya mmoja ndiyo kabila zima! mbona mimi natokea kigoma nisiwe hivyo! mwanaume ukiwa mtata wa wanawake na kuzidiwa na tamaa unaweza kujikuta unaacha mkeo hata kama source si kutoka kigoma...beware:A S 465:
 
kama kweli dawa hiyo ipo SAFI SANA. Kinachotakiwa ni waTZ kuona fursa iliyopo na kuiweka sokoni 'kiukweli'. Itasaidia kuimarisha ndoa, kupunguza watoto wa mitaani, Ukimwi, etc. mwenye facts tuwasiliane TUTOKE.
hutouangamiza ukimwi bali utauongeza uCameron,hebu vuta picha kwamba wewe mke umekufa ghafla! ina maana mumeo hatodi nda tena maishani mwake na kumfanya awe Cameron,mie siikubali hii dawa hata mdhikiri u chi.ɟɟo ƃoןɐu
 
Habari wana jf.
Rafiki yangu mmoja amenisimulia juu ya bro wake aliyeoa mke kutoka kigoma. Sasa jamaa alikuwa anatoka nje ya ndoa ila kila akikutana na hawara yake, jogooi hasimami ila akirudi kwa mkewe mambo shwari, amehangaika sana mpaka kwa waganga ndipo akaja kuambiwa kuwa wanawake wengi wa kigoma kuna dawa wanatumia kwamba ukienda kwa mwanamke mwingine huwezi fanya lolote ila ukiwa kwa mkeo mambo yanakuwa safii! Wadau mnalizungumziaje hili, kuna ukweli wowote?

Haya mambo siku hizi yapo kila mahali.Inategemea kama mtu anataka kujihusisha na mambo hayo.Wapo wanawake wengi waha wanaume wao vicheche,nawafahamu wanne!
 
Jamani acheni hizi kashfa za ukabila,akifanya mmoja ndiyo kabila zima! mbona mimi natokea kigoma nisiwe hivyo! mwanaume ukiwa mtata wa wanawake na kuzidiwa na tamaa unaweza kujikuta unaacha mkeo hata kama source si kutoka kigoma...beware:A S 465:
Bora uwaambie.....
 
Tutajuaje kama nawe hutumii hiyo dawa? Tena kuna staili nyingi kuna wengine mwanaume akitoka nje ya ndoa huko mwanamke anayekutana naye anaanza bleed ya ghafla na mchezo unaishia pale, CHEZEA KIGOMA WEYE???????
 
tunaopinga kitu hii huku tumo ndani ya ndoa halali tupo, lakini si kwa matakwa yetu, bali kwa kutekwa kingono (brainwashed)na vimada. Kutoka kifungoni hadi kwa grader.
 
habari wana jf.
Rafiki yangu mmoja amenisimulia juu ya bro wake aliyeoa mke kutoka kigoma. Sasa jamaa alikuwa anatoka nje ya ndoa ila kila akikutana na hawara yake, jogooi hasimami ila akirudi kwa mkewe mambo shwari, amehangaika sana mpaka kwa waganga ndipo akaja kuambiwa kuwa wanawake wengi wa kigoma kuna dawa wanatumia kwamba ukienda kwa mwanamke mwingine huwezi fanya lolote ila ukiwa kwa mkeo mambo yanakuwa safii! Wadau mnalizungumziaje hili, kuna ukweli wowote?
natafuta shost wa kigoma anipe nimuwekee wangu mana hasikii loh!
 
Habari wana jf.
Rafiki yangu mmoja amenisimulia juu ya bro wake aliyeoa mke kutoka kigoma. Sasa jamaa alikuwa anatoka nje ya ndoa ila kila akikutana na hawara yake, jogooi hasimami ila akirudi kwa mkewe mambo shwari, amehangaika sana mpaka kwa waganga ndipo akaja kuambiwa kuwa wanawake wengi wa kigoma kuna dawa wanatumia kwamba ukienda kwa mwanamke mwingine huwezi fanya lolote ila ukiwa kwa mkeo mambo yanakuwa safii! Wadau mnalizungumziaje hili, kuna ukweli wowote?

Kumbe kuna dawa, ngoja nami nitafute dawa kwa ajili ya huyu wangu aache kuwa kicheche!
 
wanawake kweli ni wavumilivu....yaani unafahamu kuwa wako ni kicheche halafu bado hujachukua hatua zozote kumnusuru?
 
Kumbe kuna dawa, ngoja nami nitafute dawa kwa ajili ya huyu wangu aache kuwa kicheche!
wacha kabisa mawazo ya kutumia hii kitu,ukifa ghafla mumeo atakuwa Cameron maana jogoo litakuwa halipandi mtungi.Nalog off
 
Bora uwaambie.....

kweli Rejao inanishangaza sana pale tabia ya mtu au baadhi ya watu inapohusishwa na kabila zima au mkoa at large! zote hizi ni element za ukabila kumbe popote pale mtu anaweza kupewa limbwata na mengineyo
 
Back
Top Bottom