nimepita leo asubuhi huku jukwaani nikakuta mtu kauliza swali la wanawake wa kabila gani wachafu sasa mimi nawajua wanawake wa kabila la ki''colour'' nahisi wao ndio wanaoongozaa. Wewe unadhani nani waanaongoza na wanaoshika mkia??
Kwenye ule uzi wa uchafu watu waligopa sana kujilipua, waliishia kuguna tu, sasa huu uzi wa usafi naona watajibu,
For me ,Wazanzibari wako juu kwa usafi
mimi nakumbuka nilijifunza kuwa USAFI NI TABIA...... haina relationship na kabila.
ila mimi naweza kusema kuwa inategemea na malezi, kuna watu ambao mama zao ni manesi (najifagilia), huwa wanakuwa wasafi sana. pia nasikia walimu wanapenda sana usafi na kupanga nyumba vizuri
warangi bwana,kama umewahi kuishi nao,kila saa wanasugua miguu,alafu malapa yao masafiii,yanameremeta kila saa,wanapenda kuoga haoo,...ila usafi wao mkubwa upo kwenye malapa na kubrashia waume zao viatu,,,huko kwingine sijui