Wanawake wa kabila gani wanaongoza kwa uchafu?

Ndio hapo.

Sioni umuhimu wa kuchangia mada yenye kashfa hvi.
Muweke Mada za kueleweka.
Japo me ni mtu wa Tanga.
af hii humu mbona sio field yake humu siye twacheka na kujiachia kwa vicheko haya ya kunza kubezana ndo nini!ATUPISHE
 
sasa na wale wanaohudumiwa since utoton tuwajue vp coz kuna mabint since utoton hizo shuruba za kufanya kaz za nyumban hawajui
 
Ukitaka kuoa, njoo uoe Tanga, wanawake wasafiiiiiiiiiiii.
Ukikuta mchafu huyo wakuja

Week nzima hujaoga leo tu umeoga ndio unauliza kina nani wasafi?...

Primary School kuna jamaa alikuwa hapigi mswaki na siku moja alipiga basi akawa anamnusa kila amkutae mdomo huku akimzodoa kuwa wewe umepiga mswaki kweli!!!
 
Week nzima hujaoga leo tu umeoga ndio unauliza kina nani wasafi?...

Primary School kuna jamaa alikuwa hapigi mswaki na siku moja alipiga basi akawa anamnusa kila amkutae mdomo huku akimzodoa kuwa wewe umepiga mswaki kweli!!!

Wa wapi huyo?
 
Uchafu ni sujective. Inategemea utamaduni wa watu. Kuna makabila kujipakaa samli ndo urembo. Hao hawapendi kusikia juu ya mapafyumu ya kileo. Je hap utawaita wachafu? Kwa kigezo gani? Kuna makabila wavaa nguo mpaka inachanika bila kuifua lakini kwao ndo bora kwani wanapenda harufu ya mwili inayosikika kupitia nguo hiyo. Je huo ni uchafu? Kwa kigezo gani? Ngumu kuhukumu
 
Jamani acheni mzaha na makabila ya watu. uchafu wa Wamasai uko wapi?
Kudumisha mila ndiyo uchafu?
Wamasai sisi si wachafu, ndo hvhv tulivyo asilia.

Fagiliaaa masai....tena me napenda masai vivazi vyao na mapambo

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom