Wanawake Uganda waandamana kumpinga rais wa Uganda Yoweri Museveni

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,932
32,337
Wanaukumbi.

1920155_1397906473807422_1394986986_n.jpg


Baada ya rais Yoweri Museveni wa Uganda kupitisha sheria ya marufuku kwa wanawake Kutembe utupu barabarani, na kutaka wanawake wa nchi hiyo kujistili miili yao.

Wanawake hao eti wameandamana na kudai sheria hiyo inawanyanyasa wanawake.


Kwenye hili Museveni kaonyesha msimamo wa kupambana na tabia za kishenzi.
 
Mie ntashaangaa kama kuna wanaompinga Museven juu ya ku-sign kwake muswaada ule.

Na kama pia pana watanzania ati wanampinga ningeliomba waje na ushawishi wao maana huenda tukautumia kumshawishi jiranietu Y. K .Museven kufuta maana si mas-hafu ati haifanziwi renovation.

Tofauti na hapo nadhani nao watakuwa na agenda yao nyumba ya pazia.
 
Museveni amefanya vizuri kwa sheria ya mashoga, lakini ameharibu kwa sheria ya vimini!
 
Japo katika dunia ya leo ya utandawazi ni ngumu lakini kama kuna usimamizi juu ya sheria hii, ni sheria nzuri na ya kuigwa kama mzuri mzuri kuna haja gani umuoneshe mtu paja lako au ---- lako? Kujistiri ni jambo jema vitu vyako aone yule tu anayepaswa kuvifaidi . Namuunga mkono museven asilimia mia
 
Back
Top Bottom