Wanawake tuupinge huu mchezo!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu wako.Wito kwa wanawake tuache tamaa na tusikubali hata kupewa gari ili tukubali kufanyiwa huu mchezo.
 
Umewahi kujaribu kushawishiwa kuingiliwa kinyume na maumbile kwa ahadi ya kupewa gari na ukakataa?Maana wanawake wenzio unaowaambia wanaota kupata hayo magari kwa gharama yoyote.
 
Boflo samahani ndugu yangu

wewe ni mama?
au umewaongelea tu wakina mama

kuhusu hiyo hoja una utafiti wowote uliowahi kuufanya kuhusu wa kina mama kuingiliwa kinyume na maumbile?
 
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
 
mmmnh hayo mgari yapeanwa wapi natafuta usafiri kwi kwi kwi.... Hizi tamaa za makubwa zitamaliza watu eti. Wacha nipige route 11 to the end of time.
 
Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu wako.Wito kwa wanawake tuache tamaa na tusikubali hata kupewa gari ili tukubali kufanyiwa huu mchezo.

Inatisha sana maana hata mie nimesikia wanawake wa cku hizi wameingiliwa, wanafanya vitu vya ajabu kabisa!

Inabidi maombezi makubwa yafanyike kukemea uovu huu
 
Boflo samahani ndugu yangu

wewe ni mama?
au umewaongelea tu wakina mama

kuhusu hiyo hoja una utafiti wowote uliowahi kuufanya kuhusu wa kina mama kuingiliwa kinyume na maumbile?
Mimi ni dume lakini nimeamua kutetea haki zao kwa sababu wanawake ndio mama zetu,
Kuhusu ushahidi, ninao mwiingi sana kwa sababu hata mimi nimewahi kuahidiwa nitapewa huu mchezo endapo
Nitawatekelezea matakwa yao
 
Hapa Boflo anatetea soko lake!!!
 
Mimi ni dume lakini nimeamua kutetea haki zao kwa sababu wanawake ndio mama zetu,
Kuhusu ushahidi, ninao mwiingi sana kwa sababu hata mimi nimewahi kuahidiwa nitapewa huu mchezo endapo
Nitawatekelezea matakwa yao
Mh na hiyo Id yako, au ?
 
Nadhani wanaofanyiwa hivi wenyewe wana utshi wao, si suala la kupewa ushauri ni ujinga wao na uroho wao wa magari, fedha na utajiri.
 
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa

:hand: MMMMMHmmmmmmmmmmmmmmmmmmh tutaamije sa mbona hukuuliwa au walimaliza tu............
 
Waachie wenyewe bwana na katabia kao, hata ukiwaambia hapa unafikiri watasikia!Ukikutana nao mtaani wanasema wanajuta kuchelewa kuanza kufanya hako kamchezo.
 
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa

kwa kuwa mpaka sasa hivi bado unachangia kwenye JF mi nahisi ulichagua option namba mbili......we umeshaliwa kitu
 
Back
Top Bottom