Wanawake tupeni jibu ....

Itategemea na mtu anayening'ang'ania yuko je na wakati huo nikoje. .....
Sina jibu la moja kwa moja hasa kwa mie ambae sijaolewa ila.........

Kama ni mume wa mtu na simchekei chekei hata kidogo. Uso wa mbuzi na kibuti juu.

Kama ni mkaka anayejielewa naweza ishia kuwa best friend ake tuu na tukawa kampani ya disco na mazoezi (mara nyingi mtu anayening'ang'ania atakuwa tayari kufanya hobbies zako hata kama yeye hazipendi hadi hapo atakako atakapo kata tamaa) hivyo hapo hata visafari vyangu atanisindikiza ila mzigo nooop hapati atakuwa anabeba pochi zangu tuu. Ni tabia mbaya ila mie huwa nawatumia (using them) sana ving'ang'anizi and life goes on. Akisepa sawaa tuu coz hayupo moyoni mwangu.

So huwa simkubalii awe mpenzi ila anakuwa best friend.

Kuna wale wavaa milegezo na kuweka bling bling shingoni na masikioni na mkanda wa suruali una bacon kubwaa ya fuvu la mtu au nge. ..... aiseee hawa hata salamu siitikii.
Niko very keen na muonekano.
Unasema tu labda ujue sio celebrit, Daimond akija na mlegezo, chupi yko hailoi?
 
Hapana,huyo alikuwa unampenda ndo maana akamkubali,mm siwezi kukubali kuwa ukigandwa sana unaamua kukubali,lkn hatuwezi jua moyo wa MTU,mwngine anaamin kuwa akin'gan'ganiwa sanaa ndo anapendwa basi anakubali,kiukweli,ktk hilo ni wawili hao ndo wanaujua ukwel ktk kukubaliana kwao ilikuaje.
 
Hyo ni kutokana na kwamba.. Mwanamke ukimtongoza kama hakupendi na akiwa na mtu wake atakuzingua sana lakn inapofika kwamba Yule akiyekuwa anamtegemea akimpiga chini ndio utakuta anaanza kujisogeza kwako ambaye alikuwa anakukataa
Ukiona hivyo unapiga na kusepa, yeye ndo ataanza kukusumbua na wewe unaanza kumpiga chenga hadi akome.
 
Hapana,huyo alikuwa unampenda ndo maana akamkubali,mm siwezi kukubali kuwa ukigandwa sana unaamua kukubali,lkn hatuwezi jua moyo wa MTU,mwngine anaamin kuwa akin'gan'ganiwa sanaa ndo anapendwa basi anakubali,kiukweli,ktk hilo ni wawili hao ndo wanaujua ukwel ktk kukubaliana kwao ilikuaje.
uking'ang'aniwa sana huwa mindset inachange juu ya muhusika.....kumbuka bnadam ni dynamic huwa anabadilika so ni rahisi kujikuta unampenda mtu ambaye mwanzo hukua ukimpenda
 
Unasema tu labda ujue sio celebrit, Daimond akija na mlegezo, chupi yko hailoi?

Wacha nikupe type za watu ninaowazimikia.....
Dr . Carson (yule neuro surgeon wa US)

Mtangazaji mmoja wa BBC

And the like. Yaani jinsi walivyo muonekano mitazamo yao... mie roho kwatuu.

Huyo dai wallah hata hanistui.
 
Hahahaha usiombe kukutana na mwanamke mtata kama Kasie aiseeh. Watakaoona kuwa ni bwege ni wenzako ila wewe utajiona unafanya makea hehehehehe.
Teh teh..Hayo makea ya shuruti mi siyawezi..Hata kama mwanamke mtata vipi..Bora nichape lapa kuliko kugeuzwa katuni
 
Lkn wanawake kufall inlove hua inaanzia 0%. So juhudi za mwanaume km ana nia znaweza mfksha mwanamke kny 100.
 
Hyo ni kutokana na kwamba.. Mwanamke ukimtongoza kama hakupendi na akiwa na mtu wake atakuzingua sana lakn inapofika kwamba Yule akiyekuwa anamtegemea akimpiga chini ndio utakuta anaanza kujisogeza kwako ambaye alikuwa anakukataa
Hahahaaa
Umenikumbusha kitu.
Kuna dem mmoja pande za home nilimpenda kweli toka moyoni nikamuita akaja gheto tukaongea sana nikamwambia nampenda akaniambia nimpe muda atafakar kwakuwa alikuwa hajajua wito wangu ulikuwa nini?

Wiki ikapita nikampgia simu hapokei nikituma msg hajibu mwisho wa siku nikaona siyo kesi hivyo nikampotezea.
Imepita miaka miwili hivi majuzi kaanza kunitext watsup nikawa najibu ila simjui maana profile picha aliweka gari.
Nikamwambia anitumiye picha zake nikaziona nikamkumbuka tukaanza tena kuchati yeye ndo alikuwa very fasta kutext mara Call
Umeamkaje,umekula. Unafanya nini mpz.

Nikaona sasa mambo mazur nikamwambia aje gheto hakuja nikamwambia tena mara kadhaa pia hakuja.
Nikaona anazingua hivyo nikauchuna kimyaaa.
Baadaee akaniambia nakupenda kweli ila kuna jambo nataka nikwambiye kama kweli unanipenda utanielewa.


Akaniambia kazalishwa Mapacha wawili jamaa kakataa mtoto hivyo hakuna wakumlea zaidi ya yeye na ndugu zake.

Dah! Nikamwambia Amsorry then nikajifunza wanawake wanatabia yakukutafuta pindi akiwa katka matatizo ndiyo anajua umuhimu wako.
From that akituma msg sijbu akicall sipokei untill now sina mawasiliano naye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom