Wanawake tupeni jibu ....

Itategemea na mtu anayening'ang'ania yuko je na wakati huo nikoje. .....
Sina jibu la moja kwa moja hasa kwa mie ambae sijaolewa ila.........

Kama ni mume wa mtu na simchekei chekei hata kidogo. Uso wa mbuzi na kibuti juu.

Kama ni mkaka anayejielewa naweza ishia kuwa best friend ake tuu na tukawa kampani ya disco na mazoezi (mara nyingi mtu anayening'ang'ania atakuwa tayari kufanya hobbies zako hata kama yeye hazipendi hadi hapo atakako atakapo kata tamaa) hivyo hapo hata visafari vyangu atanisindikiza ila mzigo nooop hapati atakuwa anabeba pochi zangu tuu. Ni tabia mbaya ila mie huwa nawatumia (using them) sana ving'ang'anizi and life goes on. Akisepa sawaa tuu coz hayupo moyoni mwangu.

So huwa simkubalii awe mpenzi ila anakuwa best friend.

Kuna wale wavaa milegezo na kuweka bling bling shingoni na masikioni na mkanda wa suruali una bacon kubwaa ya fuvu la mtu au nge. ..... aiseee hawa hata salamu siitikii.
Niko very keen na muonekano.
Pamoja na kuwatumia kote huko mzigo hauwapi?
 
Nadhani wanawakubalia sababu wanafikiri hao watu watakuwa na mapenzi ya dhati kwao. .

Ila mimi najua ninachokitaka, jibu langu linatoka palepale, afu nasepa
 
ata kama mtu akiwa king'ang'aniz vp kama simpendi simpendi tuuu na wala siwez mkubali eti kisa king'ang'aniz upendo ni mpendo tuu tena kwa mtu umpendaye kwa dhatiiii
Utampendaje mtu (mwanaume) kwa dhati kwa kupigwa sound kwa siku moja tu au hat week moja na papuchi unatoa?
 
Itategemea na mtu anayening'ang'ania yuko je na wakati huo nikoje. .....
Sina jibu la moja kwa moja hasa kwa mie ambae sijaolewa ila.........

Kama ni mume wa mtu na simchekei chekei hata kidogo. Uso wa mbuzi na kibuti juu.

Kama ni mkaka anayejielewa naweza ishia kuwa best friend ake tuu na tukawa kampani ya disco na mazoezi (mara nyingi mtu anayening'ang'ania atakuwa tayari kufanya hobbies zako hata kama yeye hazipendi hadi hapo atakako atakapo kata tamaa) hivyo hapo hata visafari vyangu atanisindikiza ila mzigo nooop hapati atakuwa anabeba pochi zangu tuu. Ni tabia mbaya ila mie huwa nawatumia (using them) sana ving'ang'anizi and life goes on. Akisepa sawaa tuu coz hayupo moyoni mwangu.

So huwa simkubalii awe mpenzi ila anakuwa best friend.

Kuna wale wavaa milegezo na kuweka bling bling shingoni na masikioni na mkanda wa suruali una bacon kubwaa ya fuvu la mtu au nge. ..... aiseee hawa hata salamu siitikii.
Niko very keen na muonekano.
Watoto wa vyuo wanasema kwamba unamfanya kuwa mshika pembe wakamuaji wengine!!!!
 
Binafsi SIPENDI USUMBUFU . ONE SHOT ONE KILL.
Nikisema sitaki, namaanisha sitaki na huo ukurasa nimeufunga. Ukirudia tena hiyo topic tutakosana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom