Wanawake tupeni jibu ....

ata kama mtu akiwa king'ang'aniz vp kama simpendi simpendi tuuu na wala siwez mkubali eti kisa king'ang'aniz upendo ni mpendo tuu tena kwa mtu umpendaye kwa dhatiiii
 
Mie kuna jinga moja lilikuwa linanosumbua, naona likawa king'ang'anizi sijui lilikuwa linapata ushauri huku jf, ohh hata kama unamume naomba niwe mchepuko wako, siku likanichosha eti oh najua wanipenda kusema washindwa tu, nikaamua kulitolea uvivu, nikamwambia hakuna tabu, ila mie naishi na vvu, mume wangu mwenyewe si wamwona kwahiyo endelea at your own risk, mpk leo hata salamu hatoi, labda ukute bwege ndio atakukubali kisa king'ang'anizi hata mie ujuzi na jinsi ya majibu ya maswali yote napata jf.
 
Hyo ni kutokana na kwamba.. Mwanamke ukimtongoza kama hakupendi na akiwa na mtu wake atakuzingua sana lakn inapofika kwamba Yule akiyekuwa anamtegemea akimpiga chini ndio utakuta anaanza kujisogeza kwako ambaye alikuwa anakukataa
 
Baada ya kufanya utafiti wangu nimekumbana na kaluli hii " Alinisumbua saana kwa siku nyingi ... nikaamua nimkubali". Je ni kweli unaweza kumkubali mwanaume kisa eti amekusumbua sana?
Tafadhali akina dada fungukeni hapa kama kweli tukiwa wasumbufu tutafanikiwa.
Naangalia cash zaid....
 
Hahahahaha uwiiii
 
ata kama mtu akiwa king'ang'aniz vp kama simpendi simpendi tuuu na wala siwez mkubali eti kisa king'ang'aniz upendo ni mpendo tuu tena kwa mtu umpendaye kwa dhatiiii
Hujapata kinganganizi wewe unasema tu. Usisahau singanganii kwa kunipenda hapana, nangangania papuchi tu nikishaipata hapo wewe ndio utanitafuta
 
Mie kuna jinga moja lilikuwa linanosumbua, naona likawa king'ang'anizi sijui lilikuwa linapata ushauri huku jf, ohh hata kama unamume naomba niwe mchepuko wako, siku likanichosha eti oh najua wanipenda kusema washindwa tu, nikaamua kulitolea uvivu, nikamwambia hakuna tabu, ila mie naishi na vvu, mume wangu mwenyewe si wamwona kwahiyo endelea at your own risk, mpk leo hata salamu hatoi, labda ukute bwege ndio atakukubali kisa king'ang'anizi hata mie ujuzi na jinsi ya majibu ya maswali yote napata jf.
Unanikumbusha kikademu flani kiliniambia hivyo kina VVU na mimi nikamwabia nina tetenasi tokea shule nikakila mpaka leo nipo fiti kinomaaa
 
Itategemea na mtu anayening'ang'ania yuko je na wakati huo nikoje. .....
Sina jibu la moja kwa moja hasa kwa mie ambae sijaolewa ila.........

Kama ni mume wa mtu na simchekei chekei hata kidogo. Uso wa mbuzi na kibuti juu.

Kama ni mkaka anayejielewa naweza ishia kuwa best friend ake tuu na tukawa kampani ya disco na mazoezi (mara nyingi mtu anayening'ang'ania atakuwa tayari kufanya hobbies zako hata kama yeye hazipendi hadi hapo atakako atakapo kata tamaa) hivyo hapo hata visafari vyangu atanisindikiza ila mzigo nooop hapati atakuwa anabeba pochi zangu tuu. Ni tabia mbaya ila mie huwa nawatumia (using them) sana ving'ang'anizi and life goes on. Akisepa sawaa tuu coz hayupo moyoni mwangu.

So huwa simkubalii awe mpenzi ila anakuwa best friend.

Kuna wale wavaa milegezo na kuweka bling bling shingoni na masikioni na mkanda wa suruali una bacon kubwaa ya fuvu la mtu au nge. ..... aiseee hawa hata salamu siitikii.
Niko very keen na muonekano.
 
Baada ya kufanya utafiti wangu nimekumbana na kaluli hii " Alinisumbua saana kwa siku nyingi ... nikaamua nimkubali". Je ni kweli unaweza kumkubali mwanaume kisa eti amekusumbua sana?
Tafadhali akina dada fungukeni hapa kama kweli tukiwa wasumbufu tutafanikiwa.
Sijawahi kumtongoza mwanamke kwa zaidi ya dk.15..ndani ya huo muda naku nishajua hapa ni +ve au neg...naangaliaga body language zao...sisubiri kuambiwa jibu kwa maneno...sijawahi kukosea...so sijui maana ya kung'ang'ania!!!
 
Mie kuna jinga moja lilikuwa linanosumbua, naona likawa king'ang'anizi sijui lilikuwa linapata ushauri huku jf, ohh hata kama unamume naomba niwe mchepuko wako, siku likanichosha eti oh najua wanipenda kusema washindwa tu, nikaamua kulitolea uvivu, nikamwambia hakuna tabu, ila mie naishi na vvu, mume wangu mwenyewe si wamwona kwahiyo endelea at your own risk, mpk leo hata salamu hatoi, labda ukute bwege ndio atakukubali kisa king'ang'anizi hata mie ujuzi na jinsi ya majibu ya maswali yote napata jf.
Sasa umeandika ushuzi tupu na tena umejiharishia na chupi imejaa mavi,nenda kaivue uitupe kefule wewe.
 
Mie kuna jinga moja lilikuwa linanosumbua, naona likawa king'ang'anizi sijui lilikuwa linapata ushauri huku jf, ohh hata kama unamume naomba niwe mchepuko wako, siku likanichosha eti oh najua wanipenda kusema washindwa tu, nikaamua kulitolea uvivu, nikamwambia hakuna tabu, ila mie naishi na vvu, mume wangu mwenyewe si wamwona kwahiyo endelea at your own risk, mpk leo hata salamu hatoi, labda ukute bwege ndio atakukubali kisa king'ang'anizi hata mie ujuzi na jinsi ya majibu ya maswali yote napata jf.
Hujakutana na chizi unamwambia hivo na yeye anakujib hata mimi hali yangu kama yako hivo usijal.Ha!ha!ha! hapo lazima uchoke
 
Mie kuna jinga moja lilikuwa linanosumbua, naona likawa king'ang'anizi sijui lilikuwa linapata ushauri huku jf, ohh hata kama unamume naomba niwe mchepuko wako, siku likanichosha eti oh najua wanipenda kusema washindwa tu, nikaamua kulitolea uvivu, nikamwambia hakuna tabu, ila mie naishi na vvu, mume wangu mwenyewe si wamwona kwahiyo endelea at your own risk, mpk leo hata salamu hatoi, labda ukute bwege ndio atakukubali kisa king'ang'anizi hata mie ujuzi na jinsi ya majibu ya maswali yote napata jf.
eeeh yame kuwa hayo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom