Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni- Pata ufafanuzi wa kina, ushauri na tiba ya tatizo hili

Kutakuwa Na Maambukizi,Aende Hospitali Mara Moja kwa Vipimo
 
Siki ni nini na kirefu cha gv ni nini? Na je uke unatakiwa kuoshwa na nini
Kwa ndani? Kwa mtua ambae hana tatizo ili asilipate hasa harufu mbaya ukeni. Bt thnx kwa elimu
 
Wapendwa bila shaka hamjambo wote, kuna dada rafiki wa kawaida tu na mimi, aliniomba nimsaidie nikamuahidi msaada kwa kutegemea wana Jf mpo, kwa kuwa amini hamta niangusha. Shida ya huyo dada anatokwa uchafu mweupe ukeni mfano wa maziwa ya mgando. Tatizo uchafu huo humuasha sana sehemu za mashavu ya uke. Na anapojaribu kusex na bf wake uke huvimba sana na zaidi kinembe. Hadi mda huu hajanza tiba, anataka kujua huu ni ugojwa gani na tiba yake naomba kuwasilisha.
 
hiyo ni vagina thrush yaani fungus anunue dawa za fungus mfano fluconazole atapapona
 
Pamoja na uwepo wa JF lakini msaada mkubwa zaidi uko hospitali, mwambie awahi kumuona Dr kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Pamoja na uwepo wa JF lakini msaada mkubwa zaidi uko hospitali, mwambie awahi kumuona Dr kabla hali haijawa mbaya zaidi.

Jf si aminia wengi wamepata tiba hapa na wamepona. Uko wapi dr MziziMkavu msaada tafadhali na wengineo najua mpo wengi jitokezeni basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom