Wanawake Tanzania bado wapo kwenye mfumo wa chama kimoja?

raymg

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
842
214
UWT....kwa maana ya Umoja wa Wanawake Tanzania, ndo wamemaliza uchaguzi wao wa ndani, but binafsi sion sababu kwa nn bado wanaendelea kujiita kua n Umoja wa Wanawake TZ, wakat huo n umoja wa wanawake wa CCM Tz, nafkr kuna kila sababu ya kubadir jina la umoja wao kwan c kwel kua wanawake wote n CCM....
 
Mimi kila siku huwa najiuliza sana hv kwa nini wanajiita UWT huwa sipati jibu afadhari umenisemea na mimi wabadilishe kabisa hilo jina!
 
Ni kweli haiko sawa hasa kwa sasa ambapo kuna vyama tofauti kina kijo bi simba wnatakiwa kulisemea hili maana wanawake wote tz wanawekwa kwenye chama kimoja bila ridhaa yao
 
5.jpg
12..jpg
huu ni umoja wa wanawake wa CCM inabidi wajibadili majina yao,kwanza wameniudhi kwani syrose kauliza swali la msingi wao wakampiga vijembe na matusi, kwao kuvaa sare ndio fasheni maendeleo kwao sio tija,HIvi huyu mama simba sijui sofia kafanya nini cha kujivunia kwa wanawake kwa miaka 4 aliokuwa kiongozi zaidi ya kuwakataza wanawake wasiwape waume zao unyumba?
 
U W T wamejipanga sana,vyama vingine vinatakiwa kuja na mikakati.
 
Back
Top Bottom