Wanawake njooni bedroom fungukeni, tujue mnataka mfanyiwe nini, semeniii yote hapa

Khabari ndo hiyo!! Iniume, iniume nini sasa?? If that is the way you accredit people basi next time think twice!! Umemsoma lakini alivokuquote hapo au unajifanya kuziua?? I wonder, that weak reason of yours!! Nimeuliza na vilevile nimesema nilichokiona cha ajabu unaniletea hizo bwelele bwelele zako, try to be reasonable na sio kutoa visingizio!!

Lol... They didn't choose me by trials & errors or by mistake or by default, or by chance or lucky, noooo, is bcoz of ma reasoning power, of questioning humbly, judging, awarding rightfully & fairly, powerful words
formation @ point, with all my morals & orals i awarded
her Best inner beauty of EXPRESSION, of which u don't possess either, kwelea kwelea sipendi, sichezi league za michangani, u don't Fit hapa plseee....i'm nauseated.... Ooorrrghh....
 
President vile nataka nifanyiwe 6/6 Mpenzi wangu anajua fika, na mengi kabuni mwenyewe kua AshaDii nimfanye nini afurahi zaidi.... Sasa basi kutoa huo ujuzi hapa nimeona haina tija.... Hopefully Umeridhika....[/QUOTE]

Always inspring me with your words girlie, aah! THANKS for this useful talk
 
Lol... They didn't choose me by trials & errors or by mistake or by default, or by chance or lucky, noooo, is bcoz of ma reasoning power, of questioning humbly, judging, awarding rightfully & fairly, powerful words
formation @ point, with all my morals & orals i awarded
her Best inner beauty of EXPRESSION, of which u don't possess either, kwelea kwelea sipendi, sichezi league za michangani, u don't Fit hapa plseee....i'm nauseated.... Ooorrrghh....

Ofcoz I don't posses that thing of hers but I do appreciate her very much!! As far as sijaweka kauzibe na wala sijamsemea vibaya mdada wa watu, sioni shida!!! U can call me whatever u like or give me any definition of your choice, its ok with me!! Nimekuelewa mr president, though u've rejected makusudically to come across with what I potrayed! Twaweza endelea na topic!!
 
In courtesy ya energy kubwa umetumia kupiga mbiu, naomba tu niongee the following...

IMO Sex is "art" an art ambayo hubadilika from one to another or from time to time... Waweza kua na Sex partner anakufikisha ile mbaya - yaani HAKUNA mfano! Lakini kumbe huyo ukamuona ni the best for the simple reason kua ulowahi kua nao huko nyuma walikua ni wachovu katika hilo tendo... Hivo ukamkuta huyu ulonae si mvivu na kukufikisha pia.... HOWEVER hapo hapo waweza pata mwingine, labda kwa kutoka nje ya penzi lenu AMA tu mmeachana na wa siku zooote. Ukamakuta lahaula.... Jamaa ni hodari, sio tu sio mvivu but mtu wa kujituma ile mbaya na mtundu kupita maelezo... Ukashangaa hata ni kwa ni vipi ulikua unaridhika na alokuwehua mara ya mwisho....

Hivo basi naomba nikuambie kua mimi ninavoelewa kuna kitu pia cha ziada katka Sex ambacho ni cha muhimu saana kwa wale wanatofanya hilo tendo... "COMPATIBILITY" Waweza kua ni mbovu kwa huyu But mkaree kwa yule... Pamoja na kusema ni muhimu kujua mpenzi wako nini hasa anataka ni vizuri pia kumsoma kwa kutumia vitu kama expression ya macho ya mwenza wako, sauti, kuhema, (hivi vitu hutoa mwongozo for IMO, nahisi mtu apende asipende kama yupo pleasured results ni evident).

President vile nataka nifanyiwe 6/6 Mpenzi wangu anajua fika, na mengi kabuni mwenyewe kua AshaDii nimfanye nini afurahi zaidi.... Sasa basi kutoa huo ujuzi hapa nimeona haina tija.... Hopefully Umeridhika....

Ubarikiwe wewe mwanamke!
 
kwa matazamo wangu, sex una enjoy kutegemea na ufanyaye, umemshiba na kumpenda kiasi gani na yeye performance yake ikoje. hili tendo linataka uwajibikaji wa pande zote mbili. Japo mwanamke anategemea sana uwajibikaji wa wananammme ndio na yeye apate kuchenguka sawasawa. ukibweteka na nini nitabweteka, ukidorora nitadoroa pia. ukinipagawisha, nitakupagawisha. kila mwanamke ana sehemu zake, hazifanani kwa wote, kama vile ambavyo na nyie wanaume mnatofautiana. muhimu nikuambiana. napenda uninyonye chuchu inategemea utanyonya vipi, nikikuambia nenda uvinza inategemea pia unaendaje, kwa bajaj au Fly540. kuna wanawake wanapenda uende uvinza kwa bajaj na mwingine anataka upande Fly540. kila mmoja na mapenzi yake. kujadili mara nyingine na kumjua mwenzio anapenda nini ni muhimu. huwezi kukurupuka tu ukaanza kwenda uvinza wakati mie sipendi vile tu ulieachana nae alikua anapenda. haiko hivyo. hapa kila mmoja atakuambia anavyochenguka yeye lakini si lazima na alieyekutuma wa kwake iwe hivyo.
Hope nimeeleweka japo mimi si mwandishi mzuri.
 
Ofcoz I don't posses that thing of hers but I do appreciate her very much!! As far as sijaweka kauzibe na wala sijamsemea vibaya mdada wa watu, sioni shida!!! U can call me whatever u like or give me any definition of your choice, its ok with me!! Nimekuelewa mr president, though u've rejected makusudically to come across with what I potrayed! Twaweza endelea na
topic!!

Now me like this, hii ndio tabia nzuri ya wanawake wazuri wa hapa home Tz, nice Kipipi, if it was US demu angejibu LMAO, but humbly u come back, karibu, njoooo.... Appreciate... sorry if i oppressed u verbally....,
 
kwa matazamo wangu, sex una enjoy kutegemea na ufanyaye, umemshiba na kumpenda kiasi gani na yeye performance yake ikoje. hili tendo linataka uwajibikaji wa pande zote mbili. Japo mwanamke anategemea sana uwajibikaji wa wananammme ndio na yeye apate kuchenguka sawasawa. ukibweteka na nini nitabweteka, ukidorora nitadoroa pia. ukinipagawisha, nitakupagawisha. kila mwanamke ana sehemu zake, hazifanani kwa wote, kama vile ambavyo na nyie wanaume mnatofautiana. muhimu nikuambiana. napenda uninyonye chuchu inategemea utanyonya vipi, nikikuambia nenda uvinza inategemea pia unaendaje, kwa bajaj au Fly540. kuna wanawake wanapenda uende uvinza kwa bajaj na mwingine anataka upande Fly540. kila mmoja na mapenzi yake. kujadili mara nyingine na kumjua mwenzio anapenda nini ni muhimu. huwezi kukurupuka tu ukaanza kwenda uvinza wakati mie sipendi vile tu ulieachana nae alikua anapenda. haiko hivyo. hapa kila mmoja atakuambia anavyochenguka yeye lakini si lazima na alieyekutuma wa kwake iwe hivyo.
Hope nimeeleweka japo mimi si mwandishi mzuri.

Wooooooo.....!!!! umegonga IKULU, wamekusikia Sal mamaaa, yaaaniiiii i am speechless, nikiongeza nitakosea, i just copied hii naya AshaDii for my MEMORIES, aiseeeeee
I believe now sisi wanaume tusiwe BUBU, tuulize tutajibiwa deeply, with true feelings, spiritually too, haya ndio majibu, yamefika, stay blessed kipenzi.....
 
Sal......
NIMERUDIA KUISOMA TENA NA TENA, copied & i will prractice bana.... Asanteeeee.....

kwa matazamo wangu, sex una enjoy kutegemea na ufanyaye, umemshiba na kumpenda kiasi gani na yeye performance yake ikoje. hili tendo linataka uwajibikaji wa pande zote mbili. Japo mwanamke anategemea sana uwajibikaji wa wananammme ndio na yeye apate kuchenguka sawasawa. ukibweteka na nini nitabweteka, ukidorora nitadoroa pia. ukinipagawisha, nitakupagawisha. kila mwanamke ana sehemu zake, hazifanani kwa wote, kama vile ambavyo na nyie wanaume mnatofautiana. muhimu nikuambiana. napenda uninyonye chuchu inategemea utanyonya vipi, nikikuambia nenda uvinza inategemea pia unaendaje, kwa bajaj au Fly540. kuna wanawake wanapenda uende uvinza kwa bajaj na mwingine anataka upande Fly540. kila mmoja na mapenzi yake. kujadili mara nyingine na kumjua mwenzio anapenda nini ni muhimu. huwezi kukurupuka tu ukaanza kwenda uvinza wakati mie sipendi vile tu ulieachana nae alikua anapenda. haiko hivyo. hapa kila mmoja atakuambia anavyochenguka yeye lakini si lazima na alieyekutuma wa kwake iwe hivyo.
Hope nimeeleweka japo mimi si mwandishi mzuri.
 
Now me like this, hii ndio tabia nzuri ya wanawake wazuri wa hapa home Tz, nice Kipipi, if it was US demu angejibu LMAO, but humbly u come back, karibu, njoooo.... Appreciate... sorry if i oppressed u verbally....,

Hapana my dear, am not oppressed in any kind. Lets keep the fire banging......right!!!!
 
Kipipi... Dushelele shelelee dusheleleee.... President wa Kipipi ooohhh... Kipipi wa leoooo.... see u
 
Pole sana prezdaa, ni upweke unakusumbua bila shaka ndo maana unawaza maluelue, yawezekana pia utakua unaishi mwenyewe labda kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vingi, inakupelekea kuwa muoga sana pole bwana.
 
Ni kweli tumemtuma atuwakilishe,
Mmezidisha ishara ambazo ukweli nyingi hatuzielewi.
Ila Mr. Prezidaa kazi unaiweza kaka, wakati tunakuchagua siku ile sikuamini kama ungekuja kuifanikisha namna hii!!!
 
Eeeehhh.... loooong time•••£££$$$
Mamushka najua mnavyo tuvumiliaga, tupendagaa, ila OPENESS NOW IS ONLY WAY OUT IN LOVE MAKING, ukitaka mshikaki sema, samersault sema, upate Sea breeze b4 love sema, just semaaa, we are here, that's it
Mamushka ww unanijua inside out, sitii neno tutafutane my Sister.... $$$$$$ hizi zipo....
 
Ni kweli tumemtuma atuwakilishe,
Mmezidisha ishara ambazo ukweli nyingi hatuzielewi.
Ila Mr. Prezidaa kazi unaiweza kaka, wakati tunakuchagua siku ile sikuamini kama ungekuja kuifanikisha namna hii!!!

Thanking u Shark, big respect kwako, i come to understand even if mwanaume kasomaaa, ana pesaaa, lazima awe mtaalaam wa sanaa ya mapenzi, meaning is only sweet, courages, words can connect you & her perfectly haijalishi una ww tajiri/umesoma sana, keep watching tuwajue hawa ili tuenjoy fully.....
 
Nasikia Bujibuji kenda Libya kuanza kampeni za chinichini, anataka achukue nchi ya Waarabu.

Bujibuji i have to find you in person i admired most of ur posts, nipo Dar Airport working as an Aviatior, so ukiwa Libya nitafute tuanzishe Airlines ya Libya, even we can name it Gaddafi Airways to remember his legacy, sijui walibya watapanda, Mamushka anakusalimia sana sana
 
Iv chuo gan huwa kinafndisha haya mambo nataka nkamsomeshe baby wangu,au walimu wa humu ndan wanisaidie,wawe wanatoa contact zao
 
Back
Top Bottom