Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

Mtambuzi ukitaka kushare cost na wewe nenda ujerumani ukadate huko, sisi ni waafrica, tena watanzania
mwanaume shurti uonyeshe uanaume wako....... Pia kidate wewe si umeomba? Kisaa cha kunilipisha wakati mie sikuweka bajeti ya videti?

Narudia tena, kidate nichangie,
bado unitongoze loh.......
Nikilipa ujue nitatongoza mie alaaaah

kweli kabisa ukizingatia kuwa yy ndo amekualika why not asitoboke mifuko, aka mwanaume sharti ujipinde.
 
Sikumbuki kulipia outing yoyote wakati nina-date, kwanza sikua najua hata kama natakiwa kushare cost! Siku hizi mara chache tukitoka na hubby namwambia acha nilipe, but huwa hayuko comfortable so most of the time namwacha alipe.
 
Kama uinajijua huna hela ukialikwa si ukatae? Kwani ni msiba huo? Kuna watu ni ma-snitch sijawahi ona! Yeye kila siku hana hela! Wadada especially, afu hata akiona mdada mwingine anataka kumchuna! Mweeh!
Nikikualika nitakua nimejiandaa japo naweza nisilipe kama nikiona Mwanaume anataka kulipa yeye au tutashare cost kama Mwanaume ataonekana hataki kulipiwa Jumla.
Ila kama umenialika ujiandae kugharamia, nilijijua sina hela nikatuli nyumbani, wewe umenitoa alipie nani?
 
Well, mimi kulipia BF au mchumba mtoko haiko kwenye dictionary yangu, naweza kumfanyia labda iwe surprise ikiwa ni birthday yake au nicompansate with some other gift maybe. Lakini huwa silipi na wala sitoi offer za outings. LoL
 
Kama uinajijua huna hela ukialikwa si ukatae? Kwani ni msiba huo? Kuna watu ni ma-snitch sijawahi ona! Yeye kila siku hana hela! Wadada especially, afu hata akiona mdada mwingine anataka kumchuna! Mweeh!

kumbe Snitch ni mtu asie na hela kila siku?
aiseee lol
 
Kama uinajijua huna hela ukialikwa si ukatae? Kwani ni msiba huo? Kuna watu ni ma-snitch sijawahi ona! Yeye kila siku hana hela! Wadada especially, afu hata akiona mdada mwingine anataka kumchuna! Mweeh!

Naenda, anajiamini ndio maana kanialika
Tena nafurahi kweli maana hata mimi nilikua na hamu ya kutoka nae ila kwa kua sina hela nikanyamaza
 
Kweli kabisa.......FINANCIAL RAPE indeed!!!!!!!!

Utongozwe halafu ulipe, yaani kutongozwa ni gharama siku hizi eeeh?????

Haaaaaaaa!!!!!

yani unanifanya nispend my cash bila kutegemea kisa unataka kunitongoza??..hiyo ni financial rape....you invite me out na unilipie tuuu...
 
Ni kweli inapendeza mwanaume kulipa lakini ndio iwe ni kila siku........! Hata hakuna kulipa nusu hasara.............?

si mmekula wote, hasara ipo wapi tena mkuu! isitoshe hajakuomba umtoe OUT.Yaelekea umechunwa sana sheikh mm nilikuwa mjanja kidogo, mtoko wa kwanza tu nikiona ni mtumiaji mzuri ni stop hata akitaka anitoe yeye mwenyewe bado issue. Si nilishabaini ni mtumiaji mzuri? nani awe masikini angali rahisi kidogo wapo bwana!
 
Kweli kabisa.......FINANCIAL RAPE indeed!!!!!!!!

Utongozwe halafu ulipe, yaani kutongozwa ni gharama siku hizi eeeh?????

Haaaaaaaa!!!!!

du sasa hii ni hatari, ukibahatika kumwingiza ndani si ndio atataka umlipe kwa mwezi esp. kwa masiku yale ya ugeni?
 
Well, mimi kulipia BF au mchumba mtoko haiko kwenye dictionary yangu, naweza kumfanyia labda iwe surprise ikiwa ni birthday yake au nicompansate with some other gift maybe. Lakini huwa silipi na wala sitoi offer za outings. LoL

Hahaa,nimeipenda,hii. HAIKO KWENYE DICTIONARY YANGU..nimeongeza msamiati kichwani,thx.
 
Hivi wewe ulikuwa wapi toka jana......? Wanaume wengi wamekwepa kuchangia hii mada kwa kuogopa kuonekana ni wabahili........ Nilikuwa nasubiri mtu mwenye mtazamo tofauti ili kujaribu kubadili mindset za dada zetu, na kwa bahati mbaya sana, wanawake wanaochangia huu uzi wote wameolewa, wale wanaotarajia kuingia katika mahusiano wamekimbia, au wanachangia juu juu tu..........
Mtambuzi nadhani ungetuomba radhi wanaume tuliochangia huu uzi..
Kiukweli tunaishi kwenye mfumo-dume ambao mwanaume anataka kusifiwa na mwanamke anataka kunyenyekewa na Jamii inaelewa hivyo..Inakuwa ngumu kidogo kwa jamii iliyozoea maisha haya kubadilika at once..Sana sana watakuambia toa uzungu wako hapa..as if mambo ya uzunguni hawayataki. Yako mambo mengi tumeiga uzunguni pengine ni issue ya muda tu na hili litaanza kuwa applied..

Unaona mtu anasema mm bill ya mtoko silipi lakini ntalipa ada za watoto au ntanunua vyombo vya ndani au nitamnunulia hubby wangu zawadi..Na unaweza kukuta anachokufanyia kina gharama kubwa kuliko hata bill ya mtoko..Kwa hiyo unaweza kuona kuwa issue hapa sio gharama bali ni athari tu ya malezi na makuzi ya mtoto wa kike na kiume ndani ya mfumo tulionao.
 
Last edited by a moderator:
si mmekula wote, hasara ipo wapi tena mkuu! isitoshe hajakuomba umtoe OUT.Yaelekea umechunwa sana sheikh mm nilikuwa mjanja kidogo, mtoko wa kwanza tu nikiona ni mtumiaji mzuri ni stop hata akitaka anitoe yeye mwenyewe bado issue. Si nilishabaini ni mtumiaji mzuri? nani awe masikini angali rahisi kidogo wapo bwana!

Nimepata wazo hapa...
 
Kweli kabisa.......FINANCIAL RAPE indeed!!!!!!!!

Utongozwe halafu ulipe, yaani kutongozwa ni gharama siku hizi eeeh?????

Haaaaaaaa!!!!!
sio gharama kutongoza kama ukifanya tu kitaa lakini ukiamua kuifanya hyo shughuli restaurant ujiandae kumlipia huyo msichana...
 
mie silipii hadi tuambizane uhusiano wetu ni wa kimagaharibi au wa kiafrika?

Kama ni wa kimagharibi, inayomaanisha nitapata haki zote kulingana na makubaliano ya Beijing, basi kila mtoko nitagharimia nusu kwa nusu.

Ila kama anataka mahusiano ya kiafrika ambayo mwanamme ana sauti kama kiongozi wa kundi la wanawake anaowaongoza, basi sitalipia asilani.

Mie hapa huwa naona wanamme wanajikanganya, anataka um-treat kama african king halafu kwenye cost sharing anataka twende kimagharibi, hii haiwezekani na haikubaliki.

me like this yaani wanaume wetu wanataka usawa kwenye pesa tu, kupika na kuonsha vyomba hawataki hata kusikia
 
Back
Top Bottom