Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,467
Kuna jambo nitalisema,ngoja nije kwanza!
Honey, najua sijakamilika bila weye; kama vile weye hujakamilika bila mimi. Si ndicho ulichotaka kusema si eti eeh?
Mwaah!
Kuna jambo nitalisema,ngoja nije kwanza!
Kaunga mbona kama unatutusi tena wakaka? Ishu hapa siyo hoja ya ukamilifu wa wanaume na mambo ya ki-cameroon, uzi unazungumzia namna Mungu alivyoumba mwanamke na mwanaume na namna gani tafiti zinaonyesha jinsi ambavyo mwanamke anamtegemea mwanaume ktk ukamilifu wake! Mtambuzi amemention maeneo kadhaa ikiwemo namna ambavyo mwanamke anapenda kusifiwa kivipande vipande hoja ambayo ina ukweli ndani yake.
Tutake radhi aisee!
Not this time broda; kama kupenda kusifiwa ndio ukipande pande then hata wanaume ni vipande pande pia.
na hata kama huyo ya uumbaji kuwa sijui ubavu ulinyofolewa kwa mwanamume (which can be just a metaphor), then mwanamume naye hajakamilika coz he is less one ubavu (kama ulinyofolewa just one).
Mkuu, nimesoma huu uzi, na kwa kiasi fulani sipingani na watafiti hao, hasa kwa kuwa umeweka dhana ya jumla bila ya data. Lakini pia mimi ninao ushahidi wa mmoja ninayemjua (sitauita utafiti) wa rafiki yangu msichana, ambaye "kwa kukosa mapenzi ya baba utotoni, na kwa kukosa mahusiano mazuri na baba yake" ameishia kutafuta "yule baba aliyemkosa alipokuwa mtoto" ndani ya wanaume watu wazima sana kuliko yeye. Hii ni kwa kwa mujibu wa maneno yake mwenewe baada ya kumwuliza na kunielezea mkasa wake.lolyz ... nakubali kutofautiana kimtazamo na yeyote yule...... Sitaki kuigeuza mada hii kuwa ya kidini, kwani itapoteza uhalisia......
Kuhusu wanandoa kufanana, naomba usome zaidi link hii hapa chini, niliwahi kuzungumzia jambo hilo wakati fulani.....
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/160484-mabinti-hawa-huolewa-na-baba-zao.html
Fixed Point .... Na nimewaza kwa usahihi kabisa...........au?ndo unavyowaza?
usi-generalize Mtambuzi, hii iishie kwa hao hao wanaojihisi vipande vipande, kuna wengine wengi tu tunajiona TUMEKAMILIKA.Fixed Point .... Na nimewaza kwa usahihi kabisa...........au?
Mtambuzi :i beg to differ....Mungu aliona Adam hajakamilika ndio maana akachomoa kambavu kamoja ili kufanya msaidizi aliona Adam yu mpweke mno...sababu ya kuchomoa mbavu ni simple ili wafanane na ndio maana wanandoa wakikaa sana kwenye mahusiano mwishowe watu huona wamefanana ...so mwanamke ndiye anayemkamilisha mwanaume na c vipande kama unavyodai.
Kazi kweli kweli, mpambano maridadi kati ya KE na ME. MI NIPO UPANDE WA ME, Tuanze mpambano. Wanawake hawajakamilika ndo maana mwaume akapewa uhead of the Family.
unajaribu kusema nini?
kuwa sisi ambao hatujirembi kucha na kadhalika ni nini?
Wao wamekamilika bwana ndio maana siku hizi wanaoana wenyewe kwa wenyewe! They real dont need us at all; go guys Cameroon ameshawapa go ahead na wala si MUNGU.