Wanawake ni majasiri

attachment.php
 
Mjadala kama huu ungenoga na kupata majibu sahihi sana kama swali hili ungewauliza wanawake walio karibu kabisa na wewe mfano dada zako, mkeo, mama yako , shangazi zako, etc. Ukishawauliza, majibu watakayokupa yalete hapa kisha tutajadili vizuri.
Asante na samahani kwa watakaokwazwa na jibu langu.
 
Back
Top Bottom