Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

LOL! Hivi akili za Mungu ulizijulia wapi!?..... yale yale ya mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Kwa hiyo wewe kuwa Baba kwa mtoto wa nje ni sawa lakini Mwanaume mwingine kuwa Baba wa mtoto kupitia mkeo ni kosa kubwa sana!!!!! Fungua macho kaka acha umimi!!!! Dunia ya 2012 ni tofauti na mwaka 47.
Akili za mungu nimezijuwa wapii mbona kitu sio cha kufikiria hicho, wenye akili wanajua.

Aliye kupa wewe akili ndo kanipa mimi akili, sasa hapo nilazima tujuwe anaye gawa akili ndo anazo nyingi na anazicontrol nani ampe na nani asimpe.

Tatizo wewe unarudia niliyo yaongea kama wenzako...yani mmeishiwa hamna point za mana.

Umekalia mke wako azae na mwanaume mwingine, wewe mruhusu mke wako azae na wengine...wewe si unaishi dunia ya 2012.

Wache dada zako waowe wanaume si unaishi dunia ya 2012.

Tulizana kijana kama umeishiwa point, hapa tunatoa point sio pumba.
 
Akili za mungu nimezijuwa wapii mbona kitu sio cha kufikiria hicho, wenye akili wanajua.

Aliye kupa wewe akili ndo kanipa mimi akili, sasa hapo nilazima tujuwe anaye gawa akili ndo anazo nyingi na anazicontrol nani ampe na nani asimpe.

Tatizo wewe unarudia niliyo yaongea kama wenzako...yani mmeishiwa hana point.

Umekalia mke wako azae na mwanaume mwingine, wewe mruhusu mke wako azae na wengine...wewe si unaishi dunia ya 2012.

Wache dada zako waowe wanaume si unaishi dunia ya 2012.

Tulizana kijana kama umeishiwa.

hahahahahaha lol! Huna hoja wewe naona unaanza kulalama tu blah blah. Fungua macho uache kuja na dhana za mwaka 47. "Sex differs from love" lakini wafanye Wanaume tu wakifanya wanawake kosa kubwa sana!!!! Duh!!!! Na kama yuko Mwanamke hapa jamvini anakubalian na "siri kuhusu sisi wamaume" basi anahitaji msaada wa hali ya juu.
 
Moja ya hulka inayo tofautisha wanyama na wanadamu ni hili la kuweza kuwa na controle juu ya matamanio yako katika mahusiano na opposite sex. Tafiti nyingi zilizo fanywa juu ya jambo hili zimeonyesha kuwa wanaume wana vutiwa kwa wanawake walio na sifa za kuendeleza kizazi. Hii ni kweli hata kwa wanawake wanavutiwa na wanaume ajili hiyo. Sasa kama anatokea mtu ambaye anatamani kila amuonaye basi ana mapungufu katika ubinadamu wake. Kwa dharura unaweza kuongeza mwenza lakini sio kawaida. Kama wanadamu tukianza kuanza kujamiiana na kila umwonae kwa hila ya kufanya hivyo kifichoni haiwi tafauti na jogoo kupanda kuku lakin guest house.
Tuanza kujifunza ubinadamu.
 
hahahahahaha lol! Huna hoja wewe naona unaanza kulalama tu blah blah. Fungua macho uache kuja na dhana za mwaka 47. "Sex differs from love" lakini wafanye Wanaume tu wakifanya wanawake kosa kubwa sana!!!! Duh!!!!
Aisay mimi naona wewe umetoa mpya, yani karibuni utatuwachia tule mke wako sio...Ama kweli 2012 ina mambo.

Aaaa mimi bora nibakie na maendeleo ya miaka ilio pitwa na wakati, mke wangu hagusi mwanaume yoyote.
 
Naona sasa unageuza kibao na kutaka kubadilisha huu mjadala, hizi ni dalili za kuishiwa hoja yenye nguvu.. Jibu hoja usibadilishe mjadala na kutaka kuufanya kama vile unanihusu mimi. Eti siri kuhusu sisi wanaume hahahahahah lol! Sex differs from love but only for men!!!!!! Bado una mawazo ya kusadikika ambayo yamepitwa na wakati.

Aisay mimi naona wewe umetoa mpya, yani karibuni utatuwachia tule mke wako sio...Ama kweli 2012 ina mambo.

Aaaa mimi bora nibakia na maendeleo ya mika ilio pitwa na wakati, mke wangu hagusi mwanaume yoyote.
 
Naona sasa unageuza kibao na kutaka kubadilisha huu mjadala, hizi ni dalili za kuishiwa hoja yenye nguvu.. Jibu hoja usibadilishe mjadala na kutaka kuufanya kama vile unanihusu mimi. Eti siri kuhusu sisi wanaume hahahahahah lol! Sex differs from love but only for men!!!!!! Bado una mawazo ya kusadikika ambayo yamepitwa na wakati.

Aisay mimi naona wewe umetoa mpya, yani karibuni utatuwachia tule mke wako sio...Ama kweli 2012 ina mambo.

Aaaa mimi bora nibakia na maendeleo ya mika ilio pitwa na wakati, mke wangu hagusi mwanaume yoyote.
 
Moja ya hulka inayo tofautisha wanyama na wanadamu ni hili la kuweza kuwa na controle juu ya matamanio yako katika mahusiano na opposite sex. Tafiti nyingi zilizo fanywa juu ya jambo hili zimeonyesha kuwa wanaume wana vutiwa kwa wanawake walio na sifa za kuendeleza kizazi. Hii ni kweli hata kwa wanawake wanavutiwa na wanaume ajili hiyo. Sasa kama anatokea mtu ambaye anatamani kila amuonaye basi ana mapungufu katika ubinadamu wake. Kwa dharura unaweza kuongeza mwenza lakini sio kawaida. Kama wanadamu tukianza kuanza kujamiiana na kila umwonae kwa hila ya kufanya hivyo kifichoni haiwi tafauti na jogoo kupanda kuku lakin guest house.
Tuanza kujifunza ubinadamu.
Yani sasa wewe sijakuelewa unataka kusema kila anaye owa mke wa pili ni mnyama? Au wanao zini ndo wanyama?

Kwenye highlighted unasema kwa dharura anaweza kuongeza mke, hapo niko na wewe...Na mwanaume gani anaongeza mke kama sio dharura.
 
Naona sasa unageuza kibao na kutaka kubadilisha huu mjadala, hizi ni dalili za kuishiwa hoja yenye nguvu.. Jibu hoja usibadilishe mjadala na kutaka kuufanya kama vile unanihusu mimi. Eti siri kuhusu sisi wanaume hahahahahah lol! Sex differs from love but only for men!!!!!! Bado una mawazo ya kusadikika ambayo yamepitwa na wakati.

Hehehehe. . . BAK umenikumbusha, kuna mada iko pale chiti chati inaitwa WAKOSA HOJA. . . embu kadondoshe senti zako.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Wewe ndo umekuja ukanza kusuggest wanaume wawache wake zao wafanye sex na wanaume wengine....sasa unakwepa unasema nakugeuzia kibao.

Uliona raha wanawake walipo kusifia, hukujua hapo kama unamtangazia mke wako afanye hayo.

Mbona nimeisha jibu maswali yote tokea thread ianze, au wewe hujayaona soma toka mwanzo utapata jawabu.

Eti nakugeuzia kibao naona unanua kesi wakati wewe ndo uliileta.
 
Hehehehe. . . BAK umenikumbusha, kuna mada iko pale chiti chati inaitwa WAKOSA HOJA. . . embu kadondoshe senti zako.

Haya Malkia nitapita huko nafasi ikiruhusu. Wakosa hoja wakiishiwa hoja basi hubadilisha mjadala na kuanza matusi ya rejareja na wakati mwingine hata ya nguoni.
 
Hebu weka ushahidi wa pale nilipoandika/kushauri kwamba Wanaume wawaache wake zao wafanye mapenzi na Wanaume wengine.

Wewe ndo umekuja ukanza kusugest wanaume wawache wake zao wafanye sex na wanaume wengine....sasa unakwepa unasema nakugeuzia kibao.

Uliona raha wanawake walipo kusifia, hukujua hapo kama unamtangazia mke wako afanye hayo.

Mbona nimeisha jibu maswali yote toke ahii thread ianze, au wewe hujayaona soma toka mwanzo utapata jawabu.

Eti nakugeuzia kibao naona unanua kesi wakati wewe ndo uliileta.
 
inasikitisha kuona at this modern age kuna wanaume wanaona wanawake ni kama sex slaves aka burudani kwao sio human beings wenye feelings....kama shida yako ni kupata sex as much as you want wewe kama mwanaume,why get married then?kaa mseja kila leo uwe na mwanamke huyu au yule....
 
Haya Malkia nitapita huko nafasi ikiruhusu. Wakosa hoja wakiishiwa hoja basi hubadilisha mjadala na kuanza matusi ya rejareja na wakati mwingine hata ya nguoni.
Hahaha sina tabia hizo, nenda zako ukatafute wagomvi wenzako, unanitafutia kesi za uwongo.

Wewe ndo ulianza mabo yakusema turuhuse wake zetu wafanye sex, eti tuko 2012.

Yala siku njema.
 
kwani Kaizer kule kwa zamani ulikuwa unatumia jina hili hili????
mangeka yupo wapi?

Aisee.....kule nilikuwa 'underground bana' ila am sure unampata fazaa na mambo yake lol....he is back na mistari yake ile ile...enzi zile bana..:tape2::tape2::tape2:
 
Weka ushahidi wa kile ulichoandika hapo juu, usianze kujibaraguza baraguza

Wewe ndo umekuja ukanza kusugest wanaume wawache wake zao wafanye sex na wanaume wengine
Hahaha sina tabia hizo, nenda zako ukatafute wagomvi wenzako, unanitafutia kesi za uwongo.

Wewe ndo ulianza mabo yakusema turuhuse wake zetu wafanye sex, eti tuko 2012.

Yala siku njema.
 
Haya Malkia nitapita huko nafasi ikiruhusu. Wakosa hoja wakiishiwa hoja basi hubadilisha mjadala na kuanza matusi ya rejareja na wakati mwingine hata ya nguoni.
I know. . . bora ujisogeze taratibu kabla mabomu hayajalipuka. Will see you there. . . .
 
Back
Top Bottom