Aaaa huyo mrembo wako ana akili sana, anataka kukutisha tu.Hahahaha,dah imebidi nicheke tu maana mrembo wangu kacheka sana
baada ya kusoma hapa na kuniita nije kuona,sijui ana maanisha nini.
Kama spendi vipi nipende.Useme kabisa ni wanaume wa aina gani nyie, pengine wapo wasiopenda wa aina yako wasije wakajisumbua na hiyo "siri".
Wewe kwani uko sayari gani...mimi nipo duniani.
Dark City.....yuko waapi??????
tumepata Chairman wa polygamy club.......hapa......lol
Babe wacha kuongea uko kwenye hasira haya ndo matatizo yake.Kweli sex si love unaonaje kama unamke au mchumba umruhusu tu afanye hiko kitendo na mwanaume mwingine ili akuapriciate na kukupenda zaidi coz atakua haku cheat atakua anakuambia ukweli kila kitu.
Nimeuliza ni wanaume wa aina gani wanaohusika na hiyo "siri" unaniambia habari ya wewe kupenda.Kama spendi vipi nipende.
AFU NINI MANA YA KUPENDA, kupenda kuna mana nyingi sana....hata kuwa na wanawake wengi lazima ujuwe kupenda kama huji kupenda huwezi kuwapata.
Sawa sawa hapa niko na wewe....Big up!@Fazaa,mie wala ckimbilii kwenye dini ila ww ndio unanipeleka huko,na tangu mwanzo nilishasema cpingan na mada yako wala ckubalian nayo,najua ndoa inachangamoto nyingi ikiwapo,ww mtazamo wako ni huu nami pia nikishaolewa nitakua na mtizamo wangu kulingana na nitakayokutana nayo!na namwamin mungu wangu chochote nitakachomwomba kwa iman atanipa haijalishi ni kitu gani!
Na wewe naye Sometimes hujuwagi kuliza...ungesema toka mwanzo hivyo :biggrin:Nimeuliza ni wanaume wa aina gani wanaohusika na hiyo "siri" unaniambia habari ya wewe kupenda.
Kaaaazi kweli kweli.
Kuna ukweli ktk alichosema mwanzisha thread ila atofautishe zama.
Zama zileeee nature iliweza kudhibiti mwanamke - alizaa, akanyonyesha na kuzaa tena na kunyonyesha mfululizo hadi ama afe au afike menopause. Hiakuwa mali kwa mwanamke kumfuatilia mume kujua anafanya nini.Pia wanaume waliweza kuwa na rundo la wake/wanawake -na hata watumwa na wajakazi na wote walikuwa halali yake.Mfalme Suleiman alikuwa na wake 300 na concubines 700!
Siku hizi wanawake wako huru kutokuzaa, umri wanaishi miaka mingi, hawana kazi za shurba kiviiile... so muda mwingi wanahaha kujua waume zao wanafanya nini.
Pia wanaume wa siku hizi nanyi msijishebedue sana.Performances zenu zimeshuka inabidi mpunguze mishemishe.NATURE HAINA UBAGUZI NI SWALA LA WAKATI TU.MTATULIA BILA KUPENDA KULIKO KWENDA KUJIAIBISHA HUKO MNAKOENDAGA
Na wewe naye Sometimes hujuwagi kuliza...ungesema toka mwanzo hivyo :biggrin:
Well kuhusu wanao fanya hayo ni wengi aisay siwezi kuwahesabu, mana nikianzia China mpaa South Africa ni Billion ya watu.
Yani kwenye kamtaa taa haka napo ishi basi kila mmoja lazima ana babe'z pembeni sijui mitaa yenu, hebu wachunguze afu unipe feed back...Sawa.
Hahaha we wacha mazee, mana kila tukikuwa ndo wasichana wanazidi kujipodoa.....Inabidi tuwarudie tu.