Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

Canta usilinganishe vijana wa zamani na wa sasa. wazee wa zamani ni noma aisee. Wana nguvu ukilinganisha na hao vijana wako.
Ambao wanashindia mihogo, biscut, soda tena ya azam. baga
 
Siogopi ndoa Fazaa,
Ila najua sio kitu rahis,hakihitaji kukurupuka,
Inahitaji uingie ukiwa unajua nn kiko humo na namna ya kupambana na changamoto zake sio siku mbili natoka nduki,

Viatu namaanisha,je ingekuwa ww uwe kwenye position ya mwanamke,alafu mtu anakushauri unachotushauri hapa ungeichukuliaje?
OK nimekufahamu sana kwenye highlighted ya kwanza.

Highlighted ya pili, Ahh mfano ningekuwa mimi kama nimezaliwa mwanamke basi ningetoa ruksa....Mwanamke lazima ajiamini yeye kama ni mzuri, kuogopa ogopa mwanamke mwingine kuja kwenya life ya mme wake ni kwa sababu gani? Kama sikujiamini.

Hawajiamni ndo mana, kama wewe unajiamini mzuri mwambie weka mwingine huko afu tuone nani atashinda.

Wewe tazama hao ma Miss world siwanashidana na wanawake wenzao kuchaguliwa nani mzuri....Mbona hawaogopi kushindwa, sababu wanajiamini wazuri watashinda tu.

Leo unakuta mke wa mtu anaogopa mwanamke mmoja tu au wanne kushindano nao...Si ndo ajabu.
 
Fazaa,najua umeandika hili kwa yale unayoexpiriens,wala sipingani nawe na wala sikubaliani nawe,
Kilichopo natafakari mm wakati wangu ukifika nitakutwa na lipi kati ya hayo?
Ninachofanya ni kumwomba mungu aniepushie mbali mambo haya.
Hapo kwenye highllighted umeongea point nzuri sana, wewe omba mungu tu akusaide.

Lakini hata mungu pia anatazama anaweza asikusaidie. mana kitendo hicho cha kuwa na mke zaidi ya moja yeye ndo kikipa ruksa
 
Canta usilinganishe vijana wa zamani na wa sasa. wazee wa zamani ni noma aisee. Wana nguvu ukilinganisha na hao vijana wako.
Ambao wanashindia mihogo, biscut, soda tena ya azam. baga
Inawezekana coz ingekuwa wale wamama hawaridhishwi czan km pangekuwa shwari kiasi kile kwa uabazzi anaoufanya,
Maana umri na speed yake mmmh!na ukizingatia huyo mke mdogo bado ni bint!
 
Kuna ukweli ktk alichosema mwanzisha thread ila atofautishe zama.
Zama zileeee nature iliweza kudhibiti mwanamke - alizaa, akanyonyesha na kuzaa tena na kunyonyesha mfululizo hadi ama afe au afike menopause. Hiakuwa mali kwa mwanamke kumfuatilia mume kujua anafanya nini.Pia wanaume waliweza kuwa na rundo la wake/wanawake -na hata watumwa na wajakazi na wote walikuwa halali yake.Mfalme Suleiman alikuwa na wake 300 na concubines 700!
Siku hizi wanawake wako huru kutokuzaa, umri wanaishi miaka mingi, hawana kazi za shurba kiviiile... so muda mwingi wanahaha kujua waume zao wanafanya nini.

Pia wanaume wa siku hizi nanyi msijishebedue sana.Performances zenu zimeshuka inabidi mpunguze mishemishe
.NATURE HAINA UBAGUZI NI SWALA LA WAKATI TU.MTATULIA BILA KUPENDA KULIKO KWENDA KUJIAIBISHA HUKO MNAKOENDAGA
 
​mnnh mtoa mada kaa mbali na monitor yako mana isije toka ngumi ikapitia hapo wanakuja huko nimepishana nao weengi
 
OK nimekufahamu sana kwenye highlighted ya kwanza.

Highlighted ya pili, Ahh mfano ningekuwa mimi kama nimezaliwa mwanamke basi ningetoa ruksa....Mwanamke lazima ajiamini yeye kama ni mzuri, kuogopa ogopa mwanamke mwingine kuja kwenya life ya mme wake ni kwa sababu gani? Kama sikujiamini.

Hawajiamni ndo mana, kama wewe unajiamini mzuri mwambie weka mwingine huko afu tuone nani atashinda.

Wewe tazama hao ma Miss world siwanashidana na wanawake wenzao kuchaguliwa nani mzuri....Mbona hawaogopi kushindwa, sababu wanajiamini wazuri watashinda tu.

Leo unakuta mke wa mtu anaogopa mwanamke mmoja tu au wanne kushindano nao...Si ndo ajabu.
Kwanza maisha ya ndoa yanategemea ni ndoa ipi mlifunga,km ya kikristu hii kitu ya kuruhusu mume alete mke mwingine haipo na akifanya hivyo ni makosa hivyo hata mm sitamruhusu,km atafanya huko bila mm kujia atajua yy na mungu wake,
Ila km ndoa hiyo ni ya kiislam na mi nikawa mislam safi nitakuwa naelewa kuwa vyovyote itakavyokuwa mume anaruhusiwa kuwa na wake 4,hata akiwaleta nitakubali matokeo coz nalitambua hilo

Kuna kitu kipya nilikuwa sikijui,
Hivi linapokuja swala la ndoa kuna mshindano ili mume atulie?
Na je kuonesha kujiamin ni kumruhusu mume kuwa na wake wengine?
 
Canta usilinganishe vijana wa zamani na wa sasa. wazee wa zamani ni noma aisee. Wana nguvu ukilinganisha na hao vijana wako.
Ambao wanashindia mihogo, biscut, soda tena ya azam. baga
Sasa mbona kila kukicha wanajaza mimba totoz au wake zao na hizo nguvu, wanazipata wapi?

Hivi wewe uko sawa? Ulipima wapi hayo.

Afu wewe ukiona kiboko anarangi ya pink, ndo viboke wote watakuwa vile.

Usijekosea step...Kuna wengine wanaspeed kuliko babu zao, usiseme sijakuambia.
 
Hapo kwenye highllighted umeongea point nzuri sana, wewe omba mungu tu akusaide.

Lakini hata mungu pia anatazama anaweza asikusaidie. mana kitendo hicho cha kuwa na mke zaidi ya moja yeye ndo kikipa ruksa
Naamini atanisaidia,kwani siku zote kile umwombacho mungu ndicho akupacho,
Na siku zote kile akifikiriacho mtu ndicho humtokea,
So naamini mungu atanisaidia na km ikitokea yakanikuta basi mungu anajua ninao uwezo wa kutoka ktk jaribu hilo na nitatoka tu.
 
Kuna ukweli ktk alichosema mwanzisha thread ila atofautishe zama.
Zama zileeee nature iliweza kudhibiti mwanamke - alizaa, akanyonyesha na kuzaa tena na kunyonyesha mfululizo hadi ama afe au afike menopause. Hiakuwa mali kwa mwanamke kumfuatilia mume kujua anafanya nini.Pia wanaume waliweza kuwa na rundo la wake/wanawake -na hata watumwa na wajakazi na wote walikuwa halali yake.Mfalme Suleiman alikuwa na wake 300 na concubines 700!
Siku hizi wanawake wako huru kutokuzaa, umri wanaishi miaka mingi, hawana kazi za shurba kiviiile... so muda mwingi wanahaha kujua waume zao wanafanya nini.

Pia wanaume wa siku hizi nanyi msijishebedue sana.Performances zenu zimeshuka inabidi mpunguze mishemishe
.NATURE HAINA UBAGUZI NI SWALA LA WAKATI TU.MTATULIA BILA KUPENDA KULIKO KWENDA KUJIAIBISHA HUKO MNAKOENDAGA
Aisay point taken, lakini hazitutishi sana mana kupata aibu juu ya kinene cha mwanamke ni bora kuliko kukikosa kinene chake...Mimi sitaviwachia mpaa pale nikona kweli vimenishinda.

Na kwanini vinishinde, sitashindano navyo tu...Sometimes ushindi haupatikani mara moja, mpaa uwe una rudi rudi.

.
 
​mnnh mtoa mada kaa mbali na monitor yako mana isije toka ngumi ikapitia hapo wanakuja huko nimepishana nao weengi
Asay hawa ubaya wao ukiwapa ukweli hawataki...wanataka tukapige vya nje nje labda.
 
Naamini atanisaidia,kwani siku zote kile umwombacho mungu ndicho akupacho,
Na siku zote kile akifikiriacho mtu ndicho humtokea,
So naamini mungu atanisaidia na km ikitokea yakanikuta basi mungu anajua ninao uwezo wa kutoka ktk jaribu hilo na nitatoka tu.
Hebu muombe mungu akupe ufalme hapo tuone kama atakupa...Si kila unacho omba mungu anakupa.

Mana wengine wanaomba mungu wakati washida tu.

Na si kila unacho fikiria basi kinatokea.
 
Kuna haka kawimbo nimekakumbuka........

"Eee.. jamani, mwanadamu hatosheki,
Hata ukimpa nini, milele hatoridhika eee..............."
Nani anaye sema binadamu hatosheki? Ubaya wako unasikiliza sana nyimbo...hayo ni mashiairi tu baba.

Inawezekana hawatosheki na mke mmoja, wakipata wawili watatu au wanne wanatosheka kabisa.
 
Fazaa mi nakubaliana nawe,
kwani mwanamke asyegombana na mme wake,mme humpa heshima na chherish ya ajab,
lakin wenye midomo mirefu huishia kuumia tu,
kifupi swala la tabia ya mtu ni jambo linalohitaji maombi na sio kupambana na mtu ambaye mmkutana ukubwani,
ntaendelea...
 
Kwanza maisha ya ndoa yanategemea ni ndoa ipi mlifunga,km ya kikristu hii kitu ya kuruhusu mume alete mke mwingine haipo na akifanya hivyo ni makosa hivyo hata mm sitamruhusu,km atafanya huko bila mm kujia atajua yy na mungu wake,
Aisay sijaona hii point nimebidi kuirudia mana pale nilikuwa na haraka na kazi zangu...Hebu kwanza nikulize wewe unamfata Yesu sio.

Hebu pekua pekua utakuta kunasehemu Yesu anasema; Ndoa ni siku zote baina ya Mme mmoja na mke mmoja ...Mpaka hapo niko na wewe afu tafuta baada ya pale alisema nini.....Alisema God allowed polygamy because of the hardness of the hearts of men....Yani hata Jesus hajakata, wewe nitafutie wapi kwenye Bible inasema mwanaume haruhusiwi kuo zaidi ya mke mmoja.

Narudia wapi kwenye Bible imesema mwanamme haruhusiwi kuo zaidi ya mke mmoja.

Si ndo nilikuelezeni tokea mwanzo msilete mambo ya kidini kwenye hii thread, mana nazo point zitawakera sana nasitaki twende kwenye kidini sana.

Hii thread tuongelee ki akili akili tusepekue vitabu vya dini mana mkileta hizo za ki dini dini tawashindeni tu...Mana mimi huwa nakuja na point haswa, ukikimbilia mambo ya dini.

Siku njema.
 
Kuna ukweli ktk alichosema mwanzisha thread ila atofautishe zama.
Zama zileeee nature iliweza kudhibiti mwanamke - alizaa, akanyonyesha na kuzaa tena na kunyonyesha mfululizo hadi ama afe au afike menopause. Hiakuwa mali kwa mwanamke kumfuatilia mume kujua anafanya nini.Pia wanaume waliweza kuwa na rundo la wake/wanawake -na hata watumwa na wajakazi na wote walikuwa halali yake.Mfalme Suleiman alikuwa na wake 300 na concubines 700!
Siku hizi wanawake wako huru kutokuzaa, umri wanaishi miaka mingi, hawana kazi za shurba kiviiile... so muda mwingi wanahaha kujua waume zao wanafanya nini.

Pia wanaume wa siku hizi nanyi msijishebedue sana.Performances zenu zimeshuka inabidi mpunguze mishemishe
.NATURE HAINA UBAGUZI NI SWALA LA WAKATI TU.MTATULIA BILA KUPENDA KULIKO KWENDA KUJIAIBISHA HUKO MNAKOENDAGA

Hahahaha,dah imebidi nicheke tu maana mrembo wangu kacheka sana
baada ya kusoma hapa na kuniita nije kuona,sijui ana maanisha nini.
 
Back
Top Bottom