Wanawake ndo tunasababisha waume zetu kutoka nje.

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Wanawake ndo chanzo kikubwa cha wanaume zetu kufanya mapenzi nje. Sababu wanawake wengi wanajifanya hawapendi kufanya mapenzi kitu ambacho si kweli. Wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi ila wanaogopa kuonyesha wanaume zao eti wataitwa malaya. Huo ni ujinga mtupu kuleni kitu roho inapenda.

Mimi binafsi na admit kwamba napenda sex na mpenzi wangu analijua hilo hivyo na wenzangu muwe wakweli pia. Msilete mambo ya siyo wanawake wote wanapenda NI KWAMBA WOTE TUNAPENDA SEX. Wewe unae andika comment yako sasa fikiria kwanza huja andika.
 
ila sisi wanawake kuna ambao wanajifanya hawapendi sex kumbe ndo makahaba, utaona tu wata comment labda leo waogope.
 
Wewe kama unapenda sex ni vizuri sana, penda fanya binuka ng'ang'ania, fanya kila kitu lakini usidhani sex peke yake ndo inamfanya mwanaume asitoke. Mpe sex 24 7 afu usimuheshim, usimpikie, usijishughulishe katika swala zima la maendeleo na wala usifanye mwanamke anayotakiwa kufanya kama mwanamke halisi ndani ya nyumba, ukalie sex uone kama atatajirika kwa sex unayompa. Nyumba au mapenzi hayajengwi kwa sex peke ake na neno mapenzi ni muunganiko wa vitu vingi sana na sex ikiwa kati ya hayo. Wewe ndo ungefikiria sana.
 
Kweli sisi wenyewe ndio tunaosababisha ila kumtuliza mwanaume kunahitaji zaidi yakuzipeleka kitandani!Ongeza kumjali..kumpenda kwa maneno na matendo..kumheshimu..kumbembeleza..kumsifia..kumfanya ajihisi yeye ndo yeye kwako..kumpa moyo anapoonyesha kushindwa au kukata tamaa..na mengineyo!
 
Lizzy hapo umefafanua, unafanya yote hayo, then unamalizia kwa sex kama msisitizo au kukolezea au sio.
 
Wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi ila wanaogopa kuonyesha wanaume zao eti wataitwa malaya.

You got it right. Wanawake wengi huwa ni very passive kwenye suala la kufanya mapenzi. Hiyo ni dhana potofu isiyofaa kabisa kwenye ndoa.
 
wanawake wengine ndugu wa upande wa wanaume wanakuwa hawawapendi,hilo pia sio jambo zuri,hata m.me akitenda makosa utaenda kushtaki wapi?,pengine mama mkwe akija una kasirika mpaka mwenyewe anaelewa.ingawa s.times hata umfanyie m.mme akiwa mtu wa kutoka nje,atatoka tu.ilimradi ndoa s.times ni kizunguzungu.
 
Wewe kama unapenda sex ni vizuri sana, penda fanya binuka ng'ang'ania, fanya kila kitu lakini usidhani sex peke yake ndo inamfanya mwanaume asitoke. Mpe sex 24 7 afu usimuheshim, usimpikie, usijishughulishe katika swala zima la maendeleo na wala usifanye mwanamke anayotakiwa kufanya kama mwanamke halisi ndani ya nyumba, ukalie sex uone kama atatajirika kwa sex unayompa. Nyumba au mapenzi hayajengwi kwa sex peke ake na neno mapenzi ni muunganiko wa vitu vingi sana na sex ikiwa kati ya hayo. Wewe ndo ungefikiria sana.

sasa mi mbavu zangu jamani... have mercy...

Siku hizi nacheka peke yangu kama chizi vile...
 
ni kweli kabisa mwanamke huyo huyo wakatiwa uchumba alikuwa anakupa raundi tatu au nne leo ndani ya ndoa utasikia tumeshazeeka sasa sex ya nini so mzee mbunye unaiona akiwa anavaa tu ileeeee mnakaa wiki mbili ndo kwa taaabu anakupa tena akikojoa yeye basi anakuacha mwenyewe uangaike. hakupikii tena hapigi nguo zako pasi tena muda wote saluni na kitchen party. WANAWAKE MBADILIKE
 
sasa mi mbavu zangu jamani... have mercy...

Siku hizi nacheka peke yangu kama chizi vile...

Hahaaaa cheka tu mpenzi maisha yenyewe mafupi. Bora mtu ujibu bila kufikiria, coz ukifikiria kwa undani swala hili then utoe jibu mh jibu lake litafanana hivyo. Jiulize wanaofundisha Kpty wengi wao walisha achika pamoja nakutoa service yakutosha na sarakasi zote. Sex haikeep mwanaume tena ukizidisha ndo kwanza unageuziwa mgongo.
 
Wewe kama unapenda sex ni vizuri sana, penda fanya binuka ng'ang'ania, fanya kila kitu lakini usidhani sex peke yake ndo inamfanya mwanaume asitoke. Mpe sex 24 7 afu usimuheshim, usimpikie, usijishughulishe katika swala zima la maendeleo na wala usifanye mwanamke anayotakiwa kufanya kama mwanamke halisi ndani ya nyumba, ukalie sex uone kama atatajirika kwa sex unayompa. Nyumba au mapenzi hayajengwi kwa sex peke ake na neno mapenzi ni muunganiko wa vitu vingi sana na sex ikiwa kati ya hayo. Wewe ndo ungefikiria sana.
Kuna wanaume wengine hata waoe makungwi/walimu wa kitchen part lazima watoke nje na kutoka njee sio kwamba hupendi bali mwenzio anakaugonjwa flani kangono. (tafuta mwanaume anayemwogopa mungu/mcha mungu afu play your part as a woman nakuapia hatatoka nje kwa waliokwisha olewa imekula kwao)
 
mtoa sredi mjanja sana . . . . ha ha ha ha ha
kawatimua watu fulani wasi-comment hapa

sio sex tu ndugu yangu kuna wengine hapa utawasikia wanadai SINA MPANGO KABISA NA WANAUME KTK MAISHA YANGU lakin fuatilia utekelezaji wa maneno yake ujionee tofauti
 
Mi nadhani mtoa mada hazungumziii kama sex pekee ndio itamfanya mume asitoke nje, ila anaizungumzia kama sababu moja wapo kati ya nyingi ambazo zinaweza kumtoa nje jamaa especially kama mwanamke anafanya kila kitu vizuri ila ktk sex tu ndo anafanya kama alivyoelezea
 
Back
Top Bottom