Wanawake ndio wajibu hapa: ungefanyaje Kama unakutana na kisirani hiki…………?

Kwa vile na mfahamu alivyo na sio kawaida yake kuwa vile au kunijibu vile mkewe,
Nitamshukuru na kumwandalia kitanda tulale,
Kwani najua lzm kutakuwa na tatizo kubwa sana linalohitaji kuongelewa muda mwingine na sio wakati ule,
Kesho yake nitamtafutia mda mzuri na kumtaka tuliongelee swala hilo na nipate maelezo ya kutosha.

great answer, great wife. that is wt thy called wisdom, ningejua ulpo ningkupa zawadi, unajua jamii inatafuta wake kama nyie bd lack wapo wachache.
 
Hebu fikiria kwamba, umepika chakula kizuri sana na unaamini mumeo mpenzi wako akirudi kutoka kazini na kula chakula hicho atafurahi, hata kama hatakwambia, ‘asante.’ Lakini mume huyo anaporudi anajizungusha na hatimaye anasema kwamba, hatakula chakula. Unapomuuliza sababu anasema tu kwamba, ameshiba. Unapomuuliza amekula wapi, anaweza kujibu kiungwana kwa uongo kwamba, amekula chakula cha mchana saa mbaya, au alikuwa na ‘pati’ ndogo pale kazini au chochote.

Mwingine hakujibu kiungwana kwa kiwango hicho, bali atafoka na kutoa kashfa. ‘unataka kujua nimekula wapi ili iwejeanaweza pia kukuambia, ‘unafikiri ni wewe peke yako unayejua kupika Kuna majibu mengine, ambayo ni mabaya zaidi na yenye kukwaza zaidi ya hayo. Hebu niambie kama ni wewe unakumbana na kisirani hiki ungefanyaje?

akinijibu hivyo huyo atakua anataka shari,sijui nireact vipi ila kwa vile namuona kaja kishari so naweza kujifanya mjinga nikanyamaza na kumuacha tu lkn lazima nitatafuta kujua kiini cha hayo majibu maana yamekaa ka vile mtu aliyekuchoka choka hii.
 
Yaani-ni mnuno tu..mpaka apate adabu and aanze ku-act kama mtu mzima mwenye akili!yani..if you cant make it in time for dinner au hautaweza kula si bora uniambie mapema??i work my @$$ off for you afu unaleata dharau/kiburi??i am yo woman and you will treat me with the respect i deserve!upuuzi mwingine peleka kwa those 'other ones'!ebbo!
 
Nitachukulia kama sehem ya changamoto ktk ndoa na kutulia ila nitasubiri tumetulia kila m1 akiwa hana asira nimweleze jins majibu yake yalivyonhudhi kama ni mtu mwenye busara ataomba msamaha
 

...Tabia mbaya hiyo, wanaume tunafunzwa hata kama umevimbiwa ulikotoka, japo onja vijiko viwili kwa mkeo umridhishe utakula baadae.

Anyway, acha kina mama waendeleze majibu.
 
chakula akija atakuwa anajipakulia na kujipashia mwenyewe, ndio itakuwa mwisho wa kumuuliza
Au unamuonyesha chakula kilipo kwa mguu........... kama hivi:
Affair8-335x414.jpg
 
avatar20103_22.gif
hizi lips vipi tena preta? unamtega mume wa mtu hapa jf? zimekaa kimahaba sana hizi usishangae pm zikaongezeka
 
heri yenu mtakaonyamaza mpaka hasira ziishe,mie akinijibu vibaya hilo timbwili lake litakavyokuwa??? hata la asha ngedere lina afadhali..lol
 
Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kumjib mkewe wa ndoa hivyo hivyo lbd kama alilazimishwa kumuoa.Ningekuwa mimi kama ndo mara yake ya kwanza sitomjibu, nitamvumilia nione mwisho wake utakuwa upi?

Kama nilikuwa na zawadi basi ningekupa wewe uliyejibu hii sms, kwani umejibu katika uhalisia na busara ya hali ya juu. No comment.
 
Back
Top Bottom