Wanawake ndio wajibu hapa: ungefanyaje Kama unakutana na kisirani hiki…………?

hahahahahah lol
dahhh umenifanya nicheke kwa kwali lohhh
yeah natabia hiyo ya ku nena kwa lugha nikikasirika..
lakini haichukui muda..( siwezi kukasirika zaidi ya dakika 10 ) ndivyo nilivyo..
Hahahahaha,umenichekesha sana inabidi shem awe ameokoka ukianza kunena kwa lugha anakupa sapoti(joke)
Lzm itakuwa kila ukipata hasira nguvu ya roho mtakatifu inakujaa na unanena kwa lugha lol!
Hapo hata mgomvi wako hataelewa unachoongea inakuwa siri yako na roho mtakatifu,mbona raha,
Yani hapo na kesi inaishia hapo hapo,kwan hakuna ushaidi wa maneno uliyoongea!
 
ndo hapo sasa....
Thibitisha kuwa umenimiss vinginevyo najua unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa tupu!

he,,na mi wataka niweke sura yangu kama Radhia, yenye kuonyesha uso wa kukumiss...haa c'mon B.....u know tunathibitishaje lol
 
ndo hapo sasa....
Thibitisha kuwa umenimiss vinginevyo najua unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa tupu!

Nashukuru na kufurahi umelitambua hilo....lol.... Hint; Mbane mazima athibitishe!
 
Hawezi na anajua kuwa hawezi kwa kuwa ni mrongo tu...kuwa na kaka muongo shida sana

Pole dear.... naelewa... imagine wee waonana nae once in a while.... Mie ninaeishi nae? Nakonda but sio sababu ya diet...lol...
 
Pole dear.... naelewa... imagine wee waonana nae once in a while.... Mie ninaeishi nae? Nakonda but sio sababu ya diet...lol...
Pole mwaya, alimradi akirudi anakula wala usiwe na shaka, mchukulie hivyo tu ila siku akisema &unafikiri ww ndo pekee unajua kukorofisha.....' utajiju, sijui ni stroke utatoka nayo!
 
Hahahahaha,umenichekesha sana inabidi shem awe ameokoka ukianza kunena kwa lugha anakupa sapoti(joke)
Lzm itakuwa kila ukipata hasira nguvu ya roho mtakatifu inakujaa na unanena kwa lugha lol!
Hapo hata mgomvi wako hataelewa unachoongea inakuwa siri yako na roho mtakatifu,mbona raha,
Yani hapo na kesi inaishia hapo hapo,kwan hakuna ushaidi wa maneno uliyoongea!

hahahahahaha Canta umenifanya nicheke sana jamani looohh..
huwa hapendi tugombane nikiwa jikoni maana na masufuri yatagongwa hukooo
vyombo visafi lakini naviosha tena huku naongea... ye kaa kaa kimya ...nikimaliza
anauliza kabisa" umemaliza kwa sauti ya upole " unamwangaliaaa unacheka yameisha
hahahahahahha ikiwa usiku ni kitu kingine tena lol.. "Good memories" kwa kweli..
 
hapo ni kukaa kimya tuu...... usijipe stress kwa majibu yake, usijiangaishe kumpikia tena maana kama leo kakupa majibu hayo kesho atakupa mabaya zaidi ya hayo......
 
hii thread ya kikuda. eti wanawake tu ndo wachangie, uliambiwa huu mtandao wa kike? kwanini unyime watu uhuru wa kungea? siku nyingine utasema mke wako ndo achangie. umeniudhi sana na usirudie tena. Mia
 
hahahahahaha Canta umenifanya nicheke sana jamani looohh..
huwa hapendi tugombane nikiwa jikoni maana na masufuri yatagongwa hukooo
vyombo visafi lakini naviosha tena huku naongea... ye kaa kaa kimya ...nikimaliza
anauliza kabisa" umemaliza kwa sauti ya upole " unamwangaliaaa unacheka yameisha
hahahahahahha ikiwa usiku ni kitu kingine tena lol.. "Good memories" kwa kweli..
Hahahahaha,
Yani nimecheka kwa laud spika,
Unanikumbusha fiwi yetu bro akimzingua tu huo mtiti wake unaendana na kufanya kazi,
Mnaeza mkashangaa anaanza kudeki ndani anakung'utamavumbi huku anaongea mbaya,
Yani hapo watu wote mnatoka nje,mkiona kimya ndio keshapoa km hakumaliza kudeki ndio mnapotezea kwa kumalizia lol!
Haya mambo wala hayahitaji nguvu mkishajua busara inachukua nafasi na baadae mkikumbukia ni kuchekana kwa kwenda mbele!
 
Babu yangu Mtambuzi,

Mme ambaye nimeishi naye kwa muda mrefu ama mfupi ni dhahiri nitakuwa nafahamu tabia yake kama si kawaida yake ntachukulia amekorofishwa huko alikotoka ntamwacha mpaka atakapotulia huku akiendelea na huduma nyingine kama kuoga nk. akipoa hata kama alikula kwa kimada ataomba samahani, labda tu mme huyo awe amekuchoka hivyo ana anzisha visa vya kwapa kunuka bila donda.
 
Mie niko hapa tu nasoma maoni yenyu..............LOL
kama mkitaka msaada wa namna ya kukabiliana na kisirani hicho mwaweza kuni PM
 
hii thread ya kikuda. eti wanawake tu ndo wachangie, uliambiwa huu mtandao wa kike? kwanini unyime watu uhuru wa kungea? siku nyingine utasema mke wako ndo achangie. umeniudhi sana na usirudie tena. Mia

Sio mbaya kama ukijifanya mwanamke kwa leo.................au?...............LOL
 
Mie niko hapa tu nasoma maoni yenyu..............LOL
kama mkitaka msaada wa namna ya kukabiliana na kisirani hicho mwaweza kuni PM

Siku nikikutana na kisirani siwezi kuja babu kwani ulishaniusia maisha ya ndoa yana asali na shubiri. Labda siku tukifurushana.
 
Kwa vile na mfahamu alivyo na sio kawaida yake kuwa vile au kunijibu vile mkewe,
Nitamshukuru na kumwandalia kitanda tulale,
Kwani najua lzm kutakuwa na tatizo kubwa sana linalohitaji kuongelewa muda mwingine na sio wakati ule,
Kesho yake nitamtafutia mda mzuri na kumtaka tuliongelee swala hilo na nipate maelezo ya kutosha.

Safiiiiii! Ingekuwa inaruhusiwa mwanamke kuwa na waume zaidi ya mmoja, ningeleta mahari.
 
Kwanza kabisa kabla ya kufura kwa hasira na kuanza kumsema kwamba kala kwa hawara inabidi uongee nae kujua kama ana kitu kinachomsumbua. Inawezekana akawa na njaa ila akajibu hivyo kwasababu kuna tatizo ambalo pengine alitegemea uwe umeliona ila hujaliona.
Kwahiyo kama ni mimi ntaweka swala la chakula pembeni kwanza na kujaribu mazingumzo, hapo sasa kama haeleweki nampotezea. Na kesho yake akirudi atajikaribisha mwenyewe chakula.
 
Hebu fikiria kwamba, umepika chakula kizuri sana na unaamini mumeo mpenzi wako akirudi kutoka kazini na kula chakula hicho atafurahi, hata kama hatakwambia, ‘asante.' Lakini mume huyo anaporudi anajizungusha na hatimaye anasema kwamba, hatakula chakula. Unapomuuliza sababu anasema tu kwamba, ameshiba. Unapomuuliza amekula wapi, anaweza kujibu kiungwana kwa uongo kwamba, amekula chakula cha mchana saa mbaya, au alikuwa na ‘pati' ndogo pale kazini au chochote.

Mwingine hakujibu kiungwana kwa kiwango hicho, bali atafoka na kutoa kashfa. ‘unataka kujua nimekula wapi ili iweje?' anaweza pia kukuambia, ‘unafikiri ni wewe peke yako unayejua kupika?' Kuna majibu mengine, ambayo ni mabaya zaidi na yenye kukwaza zaidi ya hayo. Hebu niambie kama ni wewe unakumbana na kisirani hiki ungefanyaje?
nasubiri nikiwa mjamzito namnyanyasa ile mmbaya tena namwambia mimba yangu imempenda bosi wake wa kazini
 
Back
Top Bottom