Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,332
- 4,951
Khaaaa!hee mtambuz asikwambie mtu harufu ya perfume inazungumzika. labda ungenijibu swali nililokuuliza mwishoni. huu ni ukweli labda wengine watapona kuna wanaume wasio jiheshimu hata chembe. mwanaume anarudi kwake chupi imeliwana shahawa, hapo mwanamke apate jibu gani?
kwamba alitoka kwa Anet so zile za mwishon ndo zinamalizikia, kasababu ya haraka. akiivua hadi aibu anaona. walah hata miye sifui. wanaume mjiheshimu kosa la kutembea nje ya ndoa lina uma[/QUOTE
Kuna wanaotembe anje ya ndoa na ni wasafi balaa chupi hazinuki kabisa jamani lols!!! anarudi home msafiiii hanuki kijasho cha mchana wala cha kwenye AC ofisini wala pafyum ya asubuhi! Msafi haswa.....lakini yupo hoi...kwa kutumika...unasikia kwa mbaaaali harufu ya laga mdomoni ...... kachelwa unamuuliza mwenzngu ulikuwa wapi anakwambia nilipita hapo kupata moja moto!!!!
Na badae sms inaingia vipi umefika kwa salama kwa mama Ngina wako? aliyetuma ni Joyce.....