cartura
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,026
- 788
Halafu mlivyo wa hovyo nikupa huduma hukumbuki hata kuomba msamaha, mnapotezea tu.
kila mtu akiamua kusitisha huduma patatosha hapo?

nyumba kubwa acha awape vidonge vyenu, nimesoma wadada na wamama wengi hapa walikuwa wanawashambulia wanaume wakati mtoa mada alitaka ufafanuzi wenu
Wao wanasema wanaume hawaridhiki, but thats not true, sio wote wapo hivyo, wengine hujikuta circumstances zinawalazimisha kuwa hivyo. Just imagine mwanamke anataka eti mwanaume wake atoe masufuria kwenye nyumba ya kupanga pale uani akae kwenye kigoda achukue steel wire aanze kusugua ukoko wa ubwabwa! Kwani umefunzwa wapi we mwanamke? Huna baba? Huna makaka au wajomba ukaona mfano wa jinsi waafrika tunavyoishi katika mazingira yetu? Kwa nini wenzio wasikusaidie? Wanawake mtalalamika sana maana sio kuwa wanaume hawaoni mapungufu yenu sema sie ni watu wenye busara na maamuzi. Ndo maana unaweza kukuta mtu kaamua kuwa mlevi au anashinda ofisini mpaka wkend! Na wengine hujichukulia nyumba ndogo wanaojua mapenzi ni uwajibikaji japo hiyari ni wakati wa kuchagua nani wa kumpenda ila ukishampenda unakuwa duty bound na kuna sanctity to marriage. Sio rahisi kama wanawake wengi humu wanavyofantasize mapenzi. Kuna uwajibikaji pia, kwani mnaenda kitchen partie kwa fashion au kujifunza uwajibikaji kwenye ndoa? No wonder mie ni mmoja ya wanaopinga kitchen parties maana mtu anakuja kuingia kwenye ndoa bila kujua wajibu wake wakati alifanyiwa party ya kumfuna. Au huwa mnafuata zawadi ya vyombo? Kwani wadada wa siku hizi ukiingia nyumba yake hata kijiko hana eti anakula restaurant! Kupika zero, ukimpa unga apike ugali unakuja mbichi, ndo maana hata ukienda hoteli kubwa wanazokimbilia kula unakuta the chef ni mwanaume!

hakuna anayefantisize mapenzi hapa we unaongelea mambo ya kizamani wakati huo wanawake hawana kazi wanakaa tu ndani sa hizi watu wanaenda kazini na tunahudumia familia wote so kama wewe ulioa ili ufuliwe nguo na kupikiwa sio wote walioa kwa ajili hiyo
kila mtu akiamua kusitisha huduma patatosha hapo?
Tliza hasira mama, mijanaume ya
kiafrica ndivyo ilivyo..... Wanaoa ili wapate wakuwafulia na kuwapigia pasi, kuwazalia, n.k.....
Ndo maana ndoa za siku hizi hazidumu....maana bibi zetu ndo waliweza
vumilia hayo.....
Wanasahau hayo
yute mke atayafanya in the name of love, na si kwa
kuwa ni 'wajibu'.......
hakuna anayefantisize mapenzi hapa we unaongelea mambo ya kizamani wakati huo wanawake hawana kazi wanakaa tu ndani sa hizi watu wanaenda kazini na tunahudumia familia wote so kama wewe ulioa ili ufuliwe nguo na kupikiwa sio wote walioa kwa ajili hiyo
Usiwe unafikiri ndani ya box! Pia jaribu kusoma vizuri uchanganue ninachokisema. Hata hivyo sijaoa ili nipikiwe, nadhani am the best cook more than my wife for sure. Hata hivyo pole kama umekwazika maana najua wanawake mtakuwa mmeshavimba sura. Ni mitizamo tu, by tha way my wife is busy more than you can imagine thats why i always try to remind her to take a break and go for lunch ana majukumu mazito sana. Ila nyumbani hajawahi kushindwa kutekeleza majukumu yake kama mke, am very happy and lucky to have a real woman like her, hata kujifungua alikataa kupigwa kisu na leo yupo poa kama kabinti. Otherwise usipate wasiwasi, kama we hayo huyawezi na mumeo hajawahi kuwa na tatizo then its fine kila mtu na ndoa yake kwani furaha yatokana na makubaliano yenu.
SI ndo nashangaa, my hubby is busy, I am busy too; na wakati mwingine niko busy zaidi yake; kuna ubaya gani vyombo akiosha house girl au kwa kuwa wamekariri mke ni trekta basi lazima lilimishwe.
Ndio maana nikakwambia wewe mgeni kwenye taasisi ya ndoa. Alokwambia kuwa wote wanapigwa visu kwa ku opt nani???
huniheshimu mimi.
sikiliza wanaume mna mambo ya ajabu sana, wake zenu tunavumilia sana. kwani wewe hujawah kuskia mwanaume akidai mimi nafuliwa chupi na mke wangu lakn jana nimeifua mwenyewe? ulimuuliza kwanin?
Haya huyu hapa ndo mke mwema: Kitabu cha Mithali, sura ya 31, kuanzia msitari wa 10
10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11 Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
12 Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
13 Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14 Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
15 Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
16 Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17 Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
18 Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
19 Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia.
20 Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21 Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22 Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23 Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24 Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.
25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
26 Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.
28 Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,
29 Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.
31 Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
Wao wanasema wanaume hawaridhiki, but thats not true, sio wote wapo hivyo, wengine hujikuta circumstances zinawalazimisha kuwa hivyo. Just imagine mwanamke anataka eti mwanaume wake atoe masufuria kwenye nyumba ya kupanga pale uani akae kwenye kigoda achukue steel wire aanze kusugua ukoko wa ubwabwa! Kwani umefunzwa wapi we mwanamke? Huna baba? Huna makaka au wajomba ukaona mfano wa jinsi waafrika tunavyoishi katika mazingira yetu? Kwa nini wenzio wasikusaidie? Wanawake mtalalamika sana maana sio kuwa wanaume hawaoni mapungufu yenu sema sie ni watu wenye busara na maamuzi. Ndo maana unaweza kukuta mtu kaamua kuwa mlevi au anashinda ofisini mpaka wkend! Na wengine hujichukulia nyumba ndogo wanaojua mapenzi ni uwajibikaji japo hiyari ni wakati wa kuchagua nani wa kumpenda ila ukishampenda unakuwa duty bound na kuna sanctity to marriage. Sio rahisi kama wanawake wengi humu wanavyofantasize mapenzi. Kuna uwajibikaji pia, kwani mnaenda kitchen partie kwa fashion au kujifunza uwajibikaji kwenye ndoa? No wonder mie ni mmoja ya wanaopinga kitchen parties maana mtu anakuja kuingia kwenye ndoa bila kujua wajibu wake wakati alifanyiwa party ya kumfuna. Au huwa mnafuata zawadi ya vyombo? Kwani wadada wa siku hizi ukiingia nyumba yake hata kijiko hana eti anakula restaurant! Kupika zero, ukimpa unga apike ugali unakuja mbichi, ndo maana hata ukienda hoteli kubwa wanazokimbilia kula unakuta the chef ni mwanaume!
BADILI TABIA ndio maana mimi siku zote huwa namshukuru sana Mungu kwa kunipa watoto wa kiume. Manake wa kike ningemuonea huruma san kwa jinsi ambavyo angekabiliwa na majukumu mengi.daaaaaaah wanawake mna kazi mpaka chupi mnawafulia..........
kweli kuwa mwanaume rahaaaaaaaaaaa...............
duhhhhhh
Tuongee na facts; ni wanaume wangapi wanaosha vyombo nje kwenye nyumba za kupanga??? Hizi ni adithi za ku support tabia mbaya za wanaume. Mi sijawhi kuona mwanaume mwenye mke anaosha vyombo Tz; tuongee ukweli si adithi za mapokeo.
BADILI TABIA ndio maana mimi siku zote huwa namshukuru sana Mungu kwa kunipa watoto wa kiume. Manake wa kike ningemuonea huruma san kwa jinsi ambavyo angekabiliwa na majukumu mengi.
Sidhani kama wataweza,hili ni suala la kimaumbile zaidi!