Wanawake na watoto ndio wahanga wa majanga makubwa-afrika

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
nimejaribu kuangalia wahanga wa vita ya rwanda na burundi,ukienda kwenye kambi za wakimbizi utakuta ni wanawake na watoto kwa asilimia kubwa sana.

Nimejaribu kuangalia zoezi zima la UNYANYASWAJI WA KIJINSIA,nimegundua wahanga wakubwa hapa ni wanawake na watoto

Nimejaribu kuchunguza kwa makini sana katika janga zima la ukimwi,nimegundua wahanga wakubwa hapa ni wanawake na watoto,hata katika idadi ya walioambukizwa.

Nimeangalia pia hata katika milipuko ya mabomu ya mbagala,kwenye tv naona wahanga wengi hapa walikuwa ni wanawake na watoto

SASA JAMANI MIMI SIELEWI HAPA,kwanini haya yote yanatokea katika huo utaratibu?
 
Back
Top Bottom