Wanawake na wanaume weupe. . . . !!

Hata Mimi, nimekuwa nikijiuliza sana, hivi weupe una nini? Utakufa mwanamke ni mbaya tu wa sura, kisa mwupe peeee utakuta wanaume wanapishana kila Siku. Jamani wakaka ebu tujuzeni kwani huwa mnachanganyikiwa nini?
 
Beauty ipo kwenye jicho la beholder..pamoja na hayo sijawahi kuvutiwa na mwanaume mweupe..#don't ask me why#
 
Nafikiri mkijikuta mmeunganishwa na nguvu ya penzi la dhati mambo ya rangi hayatokuwa na nafasi.
 
black is beauty kwangu mm.........wakaka weusi au maji ya kunde wanavutia kuliko wale ma white bwana (kwa wadada si jui yupi anavutia black or white)........... ila asikuambie mtu kitu cha hebu jitokeze simama mbele za watuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
ubaguzi wa rangi hadi africa wazeeeeeee sio ishu rangi ni moja tu ya vitu vinavyo tutofautisha ili ttusifanane kama maharagwe ta soya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom