Wanawake na wanaume wenye magari

Kipipi,yes,ukweli ni huo mnabisha kwa sababu ya jinsia na ndo mlivyo,pia hapa suala sio mwanamke wala msichana suala hapa ni malezi,hautaweza kujua hili mpaka uwe muathirika,as long as wewe ni mtendaji huwezi kuuona ukweli!
 
Tatizo ni wanadam ni kuwa hatukufundishwa namna ya kutatua tatizo,hasa nyie wanawake,ninaposema hivi ninamaana kuwa tatizo linapotokea huwa hamkubali kuwa ni kweli lipo na linasababishwa na globolaizesheni,mtu anaposema wanawake wa leo wanapenda hayo mambo aliyosema mtoa mada halafu wanawake wote wanakuja kupinga kisa wao ni wanawake mnakua mnaongeza tatizo badala ya kutafuta tiba,ni sawa na watu wanapiga kelele kuwalaumu waingereza kwa kutulazimisha kuhalalisha ushoga kisheria wakati mtaani kwake wamejaa na amekubali kwani amekaa kimya!

sasa kama sio kweli tukubali tu? Gari lako mi nilipendee nini?
 
Kipipi,yes,ukweli ni huo mnabisha kwa sababu ya jinsia na ndo mlivyo,pia hapa suala sio mwanamke wala msichana suala hapa ni malezi,hautaweza kujua hili mpaka uwe muathirika,as long as wewe ni mtendaji huwezi kuuona ukweli!

magari na malezi yamehusianaje? Kwamba ukilelewa kwenye familia kila mmoja anadrive lake na wewe utakuwa mpenda magari au?
 
magari na malezi yamehusianaje? Kwamba ukilelewa kwenye familia kila mmoja anadrive lake na wewe utakuwa mpenda magari au?

Malezi ndo yanamfanya mtu awe kama alivyo kwa maana ya mitazamo na namna anavyoyana maisha na jinsi unavyowasiliana na mazingira yako,kupenda magari ni moja ya tabia zinazotokana na malezi!
 
Malezi ndo yanamfanya mtu awe kama alivyo kwa maana ya mitazamo na namna anavyoyana maisha na jinsi unavyowasiliana na mazingira yako,kupenda magari ni moja ya tabia zinazotokana na malezi!

Hata umweleweshe vp hawezi kukuelewa huyo..Unachemsha mawe hapo..
 
hebu elezea vizuri hapo mwanafunzi nielewe. Elezea kwa mifano plz.

Kama mtu amelelewa kwenye familia inayozungumza na kutenda kwanamna ya kuelezea thamani na utu wa mtu uko kwenye vitu ni lazima watoto wa kike wa familia hiyo watakapotakiwa kuolewa au kuwa na boyfriend watampima kwa vipimo hivyo vya vitu,magari yakiwemo!
 
How did you measure this percentage?
Kutoka kwa wanawake niliokutana nao pamoja na wanawake wanaokutana na jamaa zangu na wanawake wanaonizunguka katika jamii ninayo ishi. Kama unataka kupata uhakika zaidi, waulize wanaume wenye hizo sifa utapata jibu.
 
Back
Top Bottom