CUTE
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 1,230
- 591
tulikua tunakuja kwako njiani Erickb52 akapiga simu na kusema hauko home so tukageuza ....kumbe ulikuwepo ,,,kweli huyu erick nimeamini anakuonea wivu sana
tulikua tunakuja kwako njiani Erickb52 akapiga simu na kusema hauko home so tukageuza ....kumbe ulikuwepo ,,,kweli huyu erick nimeamini anakuonea wivu sana
Hahahaaaaa humuhumu sema jukwaa ndio tofauti
Siunajua kikitaka mautamu huwa nakieleka Jukwaa la Kikubwa kinapata raha then narudi chit chat
Wewe chako huwa saangapi Catherine ?
Heheheee unamzidi Cantalisia ?eric mi changu huduma 24 hrz kama kituo cha polisi vile
Hahahaha uzeeke eeh....afu nilikutega kukwambia ukue lol.....wewe sahizi ukilala unazeeka tuuuu huyo mwanao hapo kwenye avatar ndio anakua tehe!
Najua nikiwepo hamtanisema, lakin nikiwapa kisogo-kosa la mwisho..."Pakajimmy mwenyewe kumbe ndo huyu, sie tulidhani bonge la tall, kumbe kibushuti"...
CUTE wajua jinsi gani nakosa raha juu yako loltulikua tunakuja kwako njiani Erickb52 akapiga simu na kusema hauko home so tukageuza ....kumbe ulikuwepo ,,,kweli huyu erick nimeamini anakuonea wivu sana
Heheheee unamzidi Cantalisia ?
Nawewe nawe lol hujalala tu?Hahahaaaaaaaaaa
Wewe ni man of respect!
Hufanani na hivi vitoto ka ki Erickb52.
Heheheee siku hizi hunioni kwenye glass ?
View attachment 58981
nashangaa sl, kibibi mie kuniambia nilale ili nikue kisheria haikubaliki. Nimekusamehe maana umeniambia una hangover!
Heheheee siku hizi hunioni kwenye glass ?
View attachment 58981
HahahaaaaaaHahahaaaaaaaaaaaa
Bahati njema picha ipo kwenye hiyo kitu haramu kwangu.
Nawewe nawe lol hujalala tu?