Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Najua nikiwepo hamtanisema, lakin nikiwapa kisogo-kosa la mwisho..."Pakajimmy mwenyewe kumbe ndo huyu, sie tulidhani bonge la tall, kumbe kibushuti"...
Hahahaaaaa hawa hawaaminiki
Unadhani watakusema ukiwa upo?
Wakiwa zao kule salun ndio wanaanzaga kulopoka utasikia
Heheheeee eti anajiita PakaJimmy lol kifua kikuuubwa nikimpata atakomaje na likifua lake lazma amsahau mkewe
 
Last edited by a moderator:
halafu wewe uache kushinda humu! Kichenchede chako unakula nacho good tym sa ngapi?
Hahahaaaaa humuhumu sema jukwaa ndio tofauti
Siunajua kikitaka mautamu huwa nakieleka Jukwaa la Kikubwa kinapata raha then narudi chit chat
Wewe chako huwa saangapi Catherine ?
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa nachungulia nikaona kama umeniita vile. Uwe na usiku mwema mpenzi, ngoja nilale nizeeke vizuri.


Hahahaha uzeeke eeh....afu nilikutega kukwambia ukue lol.....wewe sahizi ukilala unazeeka tuuuu huyo mwanao hapo kwenye avatar ndio anakua tehe!
 
Unimwage Mara ngapi?
Hiyo itakuwa dola ya Arusha tu, maana us dola haina picha ka yako.
Hata hivo sitishiki.
Heheheee siku hizi hunioni kwenye glass ?
Glassr.jpg
 
Back
Top Bottom